kubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Serikali iingilie kati suala hili . Athari zake ni kubwa kwa Taifa zima. Leo mimi ngefungwa tu kwa kweli

    Nimekuja kunywa chai hapa kwenye Hotel. ni sehemu tuilivu na ya kuheshimika. nimemwagiza mhudumu kaniletea nilivyohitaji nami nikanywa nikajisikia sasa nipo vizuri kushika njia kwenda kuangalia namna ya kuweza lijenga taifa. nimemwita aniletee chenji yangu. Hapo ndo ameanza chenga ambazo hazina...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Kumfungulia biashara mwanamke ni kosa kubwa la kiufundi linalofanywa na wanaume wa kizazi hiki

    Nani kawaroga enyi wanaume wa ki,zazi hiki? Unaanzaje kufanya ujinga huu wa kumuandaa mwanamke ili akuache baadaye? Ndiyo! Kumfungulia mwanamke biashara YAKE ni maandalizi muhimu ya kutaka akuache siku za usoni. Kwasabb unampa uwezo wa kiuchumi ili asimame peke yake. Mwanamke ili atulie kwenye...
  3. U

    JamiiForums Tanzania Kisiasa Bi Sara alifanya kosa kubwa la kimkakati na aliponzwa na Moyo wake huruma

    Wadau hamjamboni Ni hoja ya Kisiasa ukiamua kuijadili hivyo Ni hoja ya kidini ukiamua kuijadili hivyo Ni hoja mchanganyiko pia ukiamua iwe hivyo Ni mada inayomuhumu Bi Sara mamake na Isaka Kwangu Mimi naileta kama hoja ya Kisiasa Uamuzi wa Sara uliompatia haki Mumewe ya Kufanya kile...
  4. JamiiForums Tanzania Hitimisho langu: Ujinga ni tatizo kubwa sana kwa Watanzania

    Amani iwe nanyi! Kama kichwa cha mada kinavyosema, kwa muda mrefu sasa nimegundua kwa nini mwalimu nyerere alitamka kuwa moja wa maadui wakubwa wa Tanzania ni ujinga! Nasikitika kusema pia, kuwa hatujaweza kumuondoa huyu adui ujinga! Mwana jf samurai katika uzi unaoelezea Mhe Rais kufanya...
  5. JamiiForums Tanzania Nashauri Royal Tour izinduliwe Nchi nzima. Kumbe ina faida kubwa kwetu Watanzania kiasi hiki? Sikuwa najua

    Ule uzinduzi wa Marekani ulikuwa na faida sana kwa wale ambao tulipata nafasi ya kwenda kuhudhuria kule na kuhamasisha. Ingawa tulikaa siku chache sana lakini si haba. Wengi wameweza kufanya kitu nyumbani. Wengine wamepaua,wamenunua tugari,viwanja n.k mimi nimeangalia wanaopinga hii ni wivu tu...
  6. JamiiForums Tanzania Siri kubwa ya wapemba na wachaga kumpisha Mkinga ni mkinga kuuza kwa faida ndogo, umoja, bidii, kuheshimu wateja na nidhamu ya matumizi ya fedha

    Hao ndio wakinga bwana, hawaishi kukushangaza kwa jinsi walivyoimeza Kariakoo ambalo ndilo soko kubwa Tanzania nzima. Zamani ilishazoeleka hio sehemu wamejaa wachaga na wapemba na makabila mengine madogo madogo kama waha (hawa huwa wanalazimisha mno waonekane wanalingana na wenzao wakubwa)...
  7. JamiiForums Tanzania Zitto kabwe hana usafi wowote kujinasibu kuwa anafaa Urais. Alishawahi kupata kashfa kubwa ya kuhongwa pesa

    Nimeshangaa sana kuona kwenye mitandao ya kijamii Zitto akijinasibu kuwa eti ana uwezo, elimu na kila hali ya kuwa rais wa JMT. Watanzania wengi wanajua kabisa hafai hata kiduchu maana ni oppoturnist, mpenda fedha na mnafiki. Nani atampa kura yake Zitto Kabwe? Huko nyuma ziliwahi kuwekwa...
  8. JamiiForums Tanzania Onyo kwa wanawake Dodoma: Ni kosa kubwa sana kubinuka wakati umepanda Pikipiki😂

    Ni onyo kali sana kutoka Jeshi la Polisi Tanzania mkoani Dodoma. Je kuna athari yoyote ya kiusalama kama mteja akikaa kwa style hio ya kujibinua? inahatarisha usalama wake?
  9. S

    JamiiForums Tanzania Kodi kubwa kwenye mafuta ndio chanzo kikuu cha bei ya mafuta kuwa juu nchi hii

    Waulizeni watawala wanatoza kodi kiasi gani kwa kill lita moja ya mafuta yanayoingia nchini ndio mtajua nini hasa chanzo cha hizi bei kuwa juu. Sasa kwakuwa kodi ziko juu, issue ya vita inafanya bei ambazo teyari ziko juu, ziwe juu zaid na hiki ndio kinatutesa leo hii. Suluhisho ni kwa...
  10. JamiiForums Tanzania Watu wazima 25+: Ukiachana na kufiwa, ni TUKIO gani kubwa liliwahi kukutoa machozi hadharani 😭

  11. JamiiForums Tanzania Kuna hekima kubwa yenye mantiki juu ya asilimia kubwa ya vijana kukosa pesa za ziada

    Ni vyema vijana tukashukuru mfumo wa maisha uliopo ambao sio rafiki kwa sisi vijana kumiliki pesa nyingi katika umri mdogo. Kama tunavyojua ujana una mambo mengi na pesa ni lugha ya dunia combination ya vitu hivi viwili yaani pesa na ujana matokeo yake kwa vijana wachache yaweza kuwa mazuri ila...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Uzalendo na moyo wa kuchapa kazi ndio sifa kubwa ya vijana wa China

    Wakati wachina wanaadhimisha siku ya taifa ya vijana, vijana kutoka nchi za Afrika ambao wamekuwa wakiishi China na kufanya kazi pamoja nao, wamekuwa wakitoa maoni mbalimbali kuhusu wanavyowaona wenzao wachina. Maoni ya vijana wengi kutoka Afrika kuhusu vijana wa China yanafanana, na karibu kila...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kifo cha hayati Magufuli kuwa moja ya ajenda kubwa uchaguzi 2025. CCM itapasuka na mengi yataibuka

    Inaonekana kuna wanaCCM wengi wapo kimya lakini bado wanaamini kuwa hakikuwa kifo cha kawaida na wanataka kujua nini kilimkumba hayati JPM mpaka umauti ukamkuta katika mazingira kama yale. Ila kuna Wengi wana siri kubwa maana hata kama alikuwa mgonjwa nini ilikuwa sababu ya kuficha ugonjwa na...
  14. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tunajiandaa na kampeni kubwa kabisa ya kutoa chanjo ya UVIKO

    Rais Samia amesema zoezi la uchanjaji limekwenda vizuri lakini kwa sasa kumekuwa na kasi ndogo hivyo serikali imejipanga kuja na kampeni kubwa zaidi ya kuhamasisha uchanjaji ili kujikinga na virusi vya corona Rais amesema hayo alipokuwa katika baraza la Eid, Dar es Salaam
  15. JamiiForums Tanzania Lissu alifanya kosa kubwa kumsingizia kifo huyu jamaa

    Ni aliyepata kuwa mlinzi mahsusi wa JPM bwana Oscar. Jamaa ni bomba na anaendelea na majukumu yake kama kawaida. Keep RIP JPM!
  16. JamiiForums Tanzania China: Bwawa kubwa namba 2 duniani karibu kukamilika...

    Endeleeni kusema gesi gesi gesi Jionee mwenyewe
  17. JamiiForums Tanzania Zelensky: Tumewapa hasara kubwa hurusi

    Ukrainian President Volodymyr Zelensky said the Ukrainian army has already destroyed more than 1,000 Russian tanks, nearly 200 Russian aircraft, and almost 2,500 armored fighting vehicles. Despite these losses, Russian troops still have equipment to launch additional attacks, Zelensky said...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa huu ndio wakati wako kutupatia skendo za ufisadi kama huko nyuma ulivyofanya

    Miaka ile ukiwa bungeni ulilisaidia taifa lako kuibua madudu mengi sana. Na ulikiri wazi kuna jamaa zako Usalama wa taifa walikuwa wanakuvujishia nyeti hizo. Sasa hivi umekiri harufu za ufisadi kurudi kwa kasi ya 5g. Huu ndio wakati wa kuwalipua mafisadi. Wasiliana na jamaa zako ili wakupe...
  19. JamiiForums Tanzania Waziri wa Utalii, una kazi kubwa sana

    Waziri wa Utalii (simfahamu kwa jina) una kazi kubwa kukuza utalii nchini. Njoo na strategy na products za nyongeza kwenye utalii (eg. Sports, conference, medical, religious tourism) kujazia zilizopo hizi za wildlife, beach na mountain climbing/view. #Royal tour imekusogeza kwenye kutumbuliwa...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Mwijaku: Arusha ndio mji pekee Mlima Kilimanjaro unapatikana

    Akihojiwa na mwandishi wa habari wa kituo kimoja cha tv katika uzinduzi wa filamu inayotangaza vivutio vya kitalii Tanzania. Mwijaku ameulizwa kwa nini uzinduzi wa filamu ya Royal Tour unafanyika Arusha? Amejibu kwa sababu mkoa wa Arusha ndio mji unaopatikana mlima Kilimanjaro. Mwijaku amekuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…