kubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ajali tano kubwa zaidi zilizowahi kutokea Tanzania

    Kila nikiangalia yanayoendelea Uturuki naogofywa na hii dunia japo yenyewe ni majanga ya asili, watu 16,000 mpaka sasa wamefariki. Nimejifunza pia duniani janga lililoondoka na watu wengi kwa muda mfupi ni mafuriko ya mto Yangtze yaliyoondoka na maisha ya watu milioni 3.7 huku tetemeko...
  2. JamiiForums Tanzania Asilimia kubwa ya Wabunge wa JMT, kama siyo sababu ya ukilaza, basi wana wivu kwa mbunge Mpina

    Ninachoendelea kukiona Bungen ni kile nilichowahi kusema humu, Asilimia Kubwa ya Wabunge wetu aisee ni Vilaza sana, na pamoja na ukilaza, wengi wao ukilaza unawafanya wamchukie yule mtu ambaye anaonekana ni Mwenye Upeo mkubwa. Jamani Ndugu zangu Wabunge, Kua Mbunge sio kupiga makofi, sio...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Serikali iwe makini na kuchunguza hizi 'Sick Sheet' za ujauzito kwa watumishi, asilimia kubwa ni za mchongo

    Ndugu Habari za wakati. Bila kupoteza muda acha ninielekeze moja kwa moja kwenye maada hapo isemayo : Serikali iwe makini na kuchunguza hizi Sick Sheet za ujauzito kwa watumishi wa Wanawake. % kubwa niza mchongo. Wadau Sick Sheet ni likizo iliyotolewa kwa sababu ya ugonjwa. Na kwa utaratibu wa...
  4. JamiiForums Tanzania Joti kawachapa fimbo Moja tu, Twitter hakukaliki

    Ujumbe mdogo tu wa Joti umewatoa nyoka wote pangoni. Nimewaona wanavyompopoa Huko twita, huyo ni Joti tu CCM ni dude kubwa sana, Ufipa yote inapambana na Joti. Sasa huyo ni Joti vipi CCM wakiamua kufunga Busta nyie si mtajiua, muanze kusingizia mmetekwa? Kwanini wapinzani hamtaki wenzenu wawe...
  5. JamiiForums Tanzania Kashfa kubwa Wizara ya Ardhi: Bilioni 375 zatumika kugharamia semina na uratibu

    BUNGENI: Mbunge Hawa Mwaifunga amesema Wizara ya Ardhi imekopa Zaidi ya Tsh. Bilioni 345, bila Kamati kuwa na Taarifa ya Mkopo huo na kuhoji Matumizi na vipaumbele vya Wizara. Mkopo huo umeidhinishwa kwa matumizi ya Upimaji wa Vijiji 250 kwa Miaka 5 kati ya zaidi ya Vijiji 9,000 vinavyopaswa...
  6. JamiiForums Tanzania Sakata la Plea Bargain limenikumbusha Kisa hiki cha Wezi

    SAKATA LA PLEA BARGAIN LIMENIKUMBUSHA KISA HIKI CHA WEZI Anaandika, Robert Heriel Nyakati nasoma, nakumbuka shuleni kulikuwa na magenge ya Wezi. Kila shule inamagenge ya aina hizo. Yapo magenge ya Siri na yale ambayo yapo waziwazi. Ingawaje wapo Wezi binafsi WA kujitegemea ambao hufanya...
  7. JamiiForums Tanzania Hili swala la bangi serikali iliangalie upya..kwa Sasa duniani bangi nibiashara kubwa mno ,tunajipa umaskini bila sababu !

    Hakuna kitu kinaniacha hoi kwa serikali kuruhusu pombe Kali ambazo zinaua watu zimejaa madukani!! Kama kitoko,k vant ,nyagi,john walker ,master,na nyingine kibao watu wanakauka mapafu ,afu inaenda kung'ang'ana na .. zao la bangi ambalo ni mmea TU ,biblia inayataja yote kama majani ya kondeni ...
  8. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kilimo ndiyo fursa kubwa ya ajira

    Huu ndio uongozi ======== "Sensa ya hivi karibuni inaonesha vijana ni takribani asilimia 34 ya watu wote milioni 61 na hali hii inaleta changamoto nyingi, kama ukosefu wa ajira na nyinginezo. Kwahiyo tumefikiri wanaweza kuingizwa kwenye uzalishaji kwenye sekta ya kilimo na tumeanza kutengeneza...
  9. JamiiForums Tanzania Nahisi kuna Watu wanapendelewa katika Mabadiliko na Uhamisho yafanywayo na 'Boss Kubwa' kutokana na Ushkaji na Uchawa

    Tena nahisi kuna Wengine hupigiwa hadi Simu na Kuulizwa kwa Kubembelezwa kama si Kudekezwa huku Wengine kwa Kuwakomoa au Chuki Kwao wanapelekwa ( wanatumwa ) mbali. Hivi Kijana kama Niki wa Pili unamtoaje Kisarawe na kumpeleka Kibaha? Kwanini kwa Umri wake asipelekwe huko Wilaya ya Mpakani kwa...
  10. JamiiForums Tanzania Kali Ongala (almasi iliyojificha kwenye tope) ndio Arteta asiyeaminiwa pale Azam. Azam ikitaka kuwa kubwa wampe timu.

    Aliichukua timu kwa muda anashinda karibu kila mechi. Akawapiga Simba na Alikuwa awapige na Yanga sema refa alikuwa upande wao. Lakini Kama kawaida wivu, ushamba na kutokujua wakampa timu mzungu wa % za kugawana timu imeanza kupoteana. Timu yenye kila kitu inakosa akili kubwa kiongozi. Kali...
  11. JamiiForums Tanzania Hivi binadamu akiishi milele si maji na hewa na sehemu kubwa ya ardhi vitaisha ili kumtengeneza?

    Habarini. Ukiangalia mwili wa binadamu na wanyama utaona kuwa ni mpangilio tu wa elements ambazo zipo kwenye mazingira tunayoishi. Asilimia zaidi ya 60 ya binadamu anaundwa na Oxygen. Elements zingine zinazofuata ni Carbon, Hydrogen na Nitrogen. Zingine zilizopo kwa uchache ni sodium , potasium...
  12. JamiiForums Tanzania Arusha: Ongezeko kubwa la omba omba mjini, je ni mradi wa watu?

    Siku za hivi karibuni kumekuwa na Ongezeko kubwa la omba omba katikati ya jiji la Arusha, kulinganisha na miaka miwili iliyopita. Miongoni mwa omba omba hao ni wazee, vipofu, viziwi walemvu wa miguu na mikono Watoto, na baadhi yao wanaojifanyisha ni walemavu. Hali hiyo imekuwa kero sehemu...
  13. JamiiForums Tanzania Kwanini Watangazaji wa Redioni wanatumia nguvu kubwa mno kutushawishi tucheze Bahati Nasibu zao?

    Mtangazaji wa Bahati Nasibu ya EFM ( Mshindo Milionea ) utamsikia..... Fanya upesi ucheze Mshindo Milionea kwa kuweka tu Shilingi Elfu Moja yako ushinde Shilingi Milioni Moja ili Kesho Baba mwenye Nyumba wako akakufukuza kwa Kukudai Kodi yake na Ukaibika Mtaani. Mtangazaji wa Bahati ya Clouds...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Ushirikiano wa afya kati ya China na Afrika wapiga hatua kubwa katika miaka 60 iliyopita

    Kwenye kitongoji kilichoko kusini mwa mji mkuu wa Ethiopia, Addis Ababa, kuna jengo moja la kisasa linalong'aa chini ya anga ya bluu na mawingu meupe. Jengo hili ni awamu ya kwanza ya mradi wa Makao Makuu ya Kituo cha Kudhibiti na Kukinga Magonjwa cha Afrika (Africa CDC) unaofadhiliwa na China...
  15. JamiiForums Tanzania KKKT ni kanisa kubwa kuliko mtu, Kiburi kimemponza Mchungaji Kimaro

    Kanisa ka Kiinjili, la Kilutheri Tanzania, KKKT ina historia , na ni taasisi ya muda mrefu. Ina taratibu na kanuni zake , mchungaji au mtumishi atafanya mbwembwe zake zoote lakini lazima awe ndani ya utaratibu wa Kanisa. Mtumishi akiwa na Karama au upako lazima aongozwe na hekima, na siyo...
  16. JamiiForums Tanzania Saa kumi asubuhi nimepishana na katoto kadogo kana begi kubwa mgongoni, hivi shule za namna gani hizi?

    Saa kumi asubuhi nimepishana na katoto kadogo kana begi kubwa mgongoni, hivi shule za namna gani hizi? Nimeumia sana moyoni!
  17. D

    JamiiForums Tanzania KKKT ni kubwa kuliko Mch. Kimaro, msihuzunike kuna jambo hamlijui, viongozi wake hawajakurupuka

    Naomba nianze kwa kuwapa pole waumini ambao walibarikiwa na mchungaji kimaro! Kazi ya kitume ni kama mvua, inanyesha kwa wakati wake na kupisha kwa muda ili shughuli zingine zifanyike, mpate muda wa kupanda, kuvuna, na hata kuezeka panapovuja. Yamkini mvua ya mahubiri ya mchungaji kimaro...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Taa kubwa zenye rangi mbalimbali zawashwa kwenye Bustani ya Datang Furong mjini Xi’an China

    Taa kubwa zenye rangi mbalimbali zawashwa kwenye Bustani ya Datang Furong mjini Xi’an China, ili kusherehekea Sikukuu ya Spring
  19. JamiiForums Tanzania Ushauri wa lishe kwa watu wenye Shinikizo kubwa la damu (Hypertension)

    Watu wenye changamoto ya shinikizo kubwa la damu hupaswa kufuata masharti sahihi ya mlo ili kupunguza athari za ugonjwa huu, pamoja na kusaidia katika udhibiti wake. Kwa kuzingatia umuhimu wa lishe kama sehemu ya mkakati muhimu wa kuboresha afya kwa watu wenye changamoto hii, Shirika la afya...
  20. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu, Martin Luther Jr wa Tanzania ambae ni tatizo kubwa la Rais Samia na CCM yake. Tumuunge mkono

    Huyu Bwana kwa hakika ndiye tatizo kubwa Kwa Rais Samia na CCM yake. Ametangaza kuwa, Sasa anarudi nchini kwake baada ya kukaa uhamishoni nchini Ubelgiji kwa takribani miaka karibu 6 Ssasa. Tena kaweka wazi kuwa anakuja kujiunga na wenzake CHADEMA na wengine kupambania demokrasia, uhuru na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…