kubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Bunge lingekuwa na akina Luhaga Mpina japo 50 tu, nchi ingepiga hatua kubwa sana

    Kinachotuponza sisi watanzania wengi ni unafiki na ukigeugeu Nashukuru Mpina toka awe mbunge ana msimamo usiobadilika. Huyu bwana anatimiza wajibu wa bunge kusimamia serikali. kwelikweli Sijaanza kumsikia leo toka Enzo Za JK huyu bwana Yupo straight hamung'unyi maneno. .Pamoja na Chuki na...
  2. JamiiForums Tanzania Tuanze na Wasanii maana asilimia kubwa yao wanapotosha Jamii na serikali inatoa macho

    Iko wapi maana ya Msanii kuwa ni kioo cha jamii, Wasanii wa kileo ndo basi tena tena hawa wabana pua ndo kabisa. Ndo maana wabana pua sijaona hata mmoja ambaye anaweza kuingia hata kwenye siasa maana wakiingia kwa siasa muda wote ni kuzungumzia mapenzi. Serikali mbali na kuweka wizara ya...
  3. JamiiForums Tanzania Malipo ya waamuzi katika ligi kubwa za ulaya

    Haya leo tuangazie namna gani marefarii katika ligibza wenzetu wanavyolipwa. Sijajua kwa huku kwetu wanalipwaje lakini kwa wenzetu malipo yao ni kila mechi. Katika ligi kuu ya Uingereza, mwamuzi hulipwa Euro 1300 ambayo ukiibadilisha kwa pesa ya madafu ni sawa na Shilingi Milioni 3,302,550 kwa...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Ni kipi kinawafanya developers wa nairaland kutokuibadilishia muonekano ?

    Nimekuwa mtembeleaji wa hii forum kubwa kabisa nchini Nigeria kama sio Africa kwa miaka mingi sana sasa Kinachonishangaza ni kwa nini hawataki kuifanyia mabadiliko ya kimuonekano kama wanavyofanya jamii forums mara kwa Mara Je zipo sababu za msingi kwa wamiliki wa mtandao huu kutokutaka...
  5. JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi kwa Rais kufanya Maamuzi ya Kiserikali katika Sikukuu Kubwa za Kiimani?

    Nategemea na hata Sikukuu ya Idi (ya Wiki Mbili zijazo) na ile ya Krismasi bila kuisahau ile ya Idi al Haji na zenyewe pia Rais Samia ataendeleza huu Utamaduni aliouanzisha leo wenye kutuachia Maswali mengi Vichwani wale Binadamu Wachache sana tuliobarikiwa Akili Kubwa na Mwenyezi Mungu. Je...
  6. JamiiForums Tanzania Kichekesho: Yanga ndio timu kubwa Afrika Mashariki

    Champion League ndio kilele cha mafanikio ya mpira. Asante mzee wa jambia kwa kuweka kumbukumbu klia. Tuendelee na pasaka
  7. N

    JamiiForums Tanzania Watu wa Tanzania tuna uwezo wa kulifanya taifa letu liwe kubwa?

    Taifa lolote duniani linajengwa na watu wenye Historia, maono, tamaduni zenye nguvu na lugha inayowaunganisha pamoja. Tangu taifa letu lizaliwe umaarufu wetu ni nini kama taifa, watu wetu wana uwezo wa kulifanya taifa kuwa na nguvu ya kisiasa, kiuchumii, kisanaa na kijamii. Watu wetu wanaheshimu...
  8. JamiiForums Tanzania KWELI Magego ya juu yaking'olewa bila kuwa na utaalamu wa kutosha huweza kusababisha upofu na kifo

    Hivi ni kweli kuwa ung'oaji wa magego (Meno ya kutafunia) ya juu usiozingatia utaalam huweza kupelekea upofu au kifo kwa asilimia kubwa?
  9. JamiiForums Tanzania Ndugu zangu ambao Hatujafunga mfungo wa Ramadhan/Kwaresma tunapaswa kuishi kwa Tahadhari kubwa sana

    Nimesikitishwa sana na kitendo cha kijana Hassan kumchoma kisu mwenzake kisa kamuomba maji ya Kunywa. Ndugu zetu mlioko katika mifungo, mbona mna makasiriko sana kipindi hiki cha mwezi wa toba? Nashangaa sana kuona mtu akasirika kisa mwenzie anakula.. mnahukumu vipi wakati nyie si Waumbaji...
  10. JamiiForums Tanzania Simba SC haiwezi kuwa kubwa bila kupigana na wakubwa

    Lazima tukiri kuwa tumepata mpinzani mgumu kwenye hatua ya Robo Fainali, na pengine ni mpinzani mgumu zaidi tangu tuanze kushiriki hatua hii. Hapa unamzungumzia bingwa mtetezi, unamzungumzia mshiriki wa Club World Cup, unazungumzia timu yenye wachezaji waliotoka Nusu Fainali ya Kombe la Dunia...
  11. JamiiForums Tanzania Endapo filamu za 18+ zikiruhusiwa kutengenezwa Tanzania, wimbi kubwa la kuaibisha makabila halitaepukika. Hili lisije tokea kabisa!

    Sipati picha kwamba itokee na haya mambo yapewe vibali kwamba filamu hizi zinaweza kutengenezwa kama ilivyo kwa nchi zingine, hali inaweza kuwa mbaya sana kikabila. Nadhani itakuwa ni next level na itaathiri jinsi watu watavyokuwa wakionekana kwenye fikra za watu wengine kwenye suala zima la 6...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania yaongoza Afrika Mashirika kwa kasi kubwa kuhamia kwenye magari ya umeme

    Kwa mujibu wa ripoti ya E-Mobility Alliance, ambayo ilitolewa mwezi uliopita, inaonyesha kuwa kuna angalau magari 5,000 ya umeme (EVs) nchini Tanzania Ingawa uagizaji na utumiaji wa magari ya umeme yana changamoto nyingi kwa nchi Tanzania serikali imeanza kuweka nguvu kutanua wigo wa watumiaji...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Hii ni aibu kubwa kwetu Waafrika, Yaani nchi 50 kutoa club moja ya Simba

    Katika mashindano ya CAF Champions League zinaenda timu 8 robo fainali ila cha ajabu kati ya timu hizo timu 1 tu ndio inatoka Sub Sahara Africa, Simba Sports Club Yaani nchi 50 za Sub Sahara zimeshindwa kutoa timu zaidi ya Simba kwenda robo fainali, Zambia, Malawi, Nigeria, DRC, Gabon, Sudan...
  14. JamiiForums Tanzania Recycling ya viongozi,Rais asilaimiwe idadi ya watanzania ni kubwa sawa na UK na S.Africa ila watanzania wengi hatuna uwezo kichwani

    Kuna watu wanashangaa kila siku majina ya wateuliwa ni yale yale na kumlaumu Rais . Idadi ya watanzania inakaribiana na South Africa,na UK. Lakini wenzetu wana vichwa,wanaweza kuunda mabaraza ya mawaziri hata manne Tukubali sisi uwezo wetu wa kufikiri ni mdogo,tuko milioni 60+ ila kati ya hao...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Ubadhilifu wa fedha za vijana, walemavu na wanawake ni lawama kubwa kwa isiyokwepeka kwa ccm

    Tumesikia kiasi kikubwa cha fedha zilizotengwa kwa vijana, walemavu na wanawake zikiwa zimetafunwa ktka halmashauri, na hili limekuwa likifanyika waziwazi kwa makada wa chama kukopeshana kwa kigezo cha vyama badala ya uwezo wa kibiashara. Leo hii ni deni hili linalowalemea Wananchi. Ccm walipe...
  16. JamiiForums Tanzania Madogo wa mastaa bongo wenye talent kubwa

    Tabia za haya madogo kuiga fan za mabrother au masistet wao sio nzuri hata kidogo. Kwani ni lazima kila mtu awe star, wengine wabaki mashabiki tu. Sasa mbaya zaidi unakuta lidogo linamwuigiliza kakaye/dadaye mpaka linamfunikaa. Hii hali inaumiza sana na hawa hapa ndio madogo wanaowakimbiza...
  17. JamiiForums Tanzania Hivi hili bomu kweli viongozi hawalioni? Unemployment rate imekuwa kubwa mno

    Hivi imefika hatua kweli nafasi moja inagombaniwa na watu zaidi ya mia moja? Leo nimeenda kufanya interview ya kufundisha hesabu shule inaotwa st James English medium IPO banana kitunda Cha ajabu nafasi moja tu inayotakiwa nimekutana na watu zaidi ya mia tena hesabu. Nimeahilisha sijafanya...
  18. JamiiForums Tanzania Kodi kubwa zinawanyima fursa Watanzania kumiliki Simu bora na za Kisasa

    Tanzania ina kiwango kikubwa cha kodi na ushuru inaotoza kwenye simu za mkononi ikilinganishwa na mataifa mengine duniani. Viwango hivyo vinaelezwa kuwa juu kuliko mataifa mengi ya kusini mwa Jangwa la Sahara, Mashariki ya Kati na kaskazini mwa Afrika, Ulaya, Asia hata Amerika Kusini, hatua...
  19. JamiiForums Tanzania Foleni leo hatari Posta na maeneo ya karibu kuelekea Ikulu jijini Dar es Salaam

    Jamani mnaokuja mjini jipangeni haswa, barabara zimefungwa fungwa haswa zielekeazo Posta hadi Ikulu
  20. JamiiForums Tanzania Hii cover ya wimbo wa roho wa Christian Bella (ft Fid Q) aloifanya TGUN TOZZY kwenye BSS imenikumbusha miaka ile Lil Wayne kwenye MTV UNPLUGGED

    Hello bosses and roses, Huyu dogo TGUN TOZZY ni complete package ya perfomer. Jamaa anaweza kutengeneza vibe fln kwenye rap ambalo wachache tu huweza kufanya. Nimeona cover ya Roho (christian bella ft fid Q) ilofanywa na TGUN na mwenzake aisee imenikumbusha mbali sana enzi hizo za MTV...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…