kubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Jealous ya Ali Kiba yapata anguko kubwa licha ya views nyingi, sababu ni hizi

    Ni takribanai wiki 2 kasoro tangu video ya Kiba itolewe lakini tumeshangazwa kuona mfalme (kama ajiitavyo) katoa kaze 2 mfululizo (jealous & ndomboloo) ila kashindwa kutetea kwa vitendo kiti chake walau kwa kushika namba 1 kwenye trending videos za youtube, Ni ajabu na wengi wamebaki vinywa wazi...
  2. JamiiForums Tanzania SoC01 Maendeleo ndani ya Jamii ni chachu kubwa katika kuinua Uchumi wa Nchi

    Ni Vema tungeanza kwa kutambua maana halisi ya neno MAENDELEO. "Maendeleo ni mabadiliko yanayo onekana kuboresha hali ya binadamu na mazingira kwa ujumla".Kuna ngazi tatu za kimaendeleo; Maendeleo Binafsi,Maendeleo ndani ya Jamii na Maendeleo ya Nchi kiujumla.Aina zote hizi za maendeleo...
  3. JamiiForums Tanzania Nimegundua unaweza kuwa na Elimu kubwa ukawa na IQ ndogo

    Najaribu kutafakari yanayoendelea sasa mjadala kuhusu chanjo ya COVID na jinsi baadhi ya watu, viongozi wa dini na wanasiasa wanavyolichukulia jambo hili kwa wepesi na kuhoji uhalali wake ilhali wao wenyewe walishachanjwa toka utotoni. Je, wasingechanjwa wangekuwa hai leo? Utamtumainije Mungu...
  4. JamiiForums Tanzania Ubovu wa barabara Kisukulu Maji Chumvi - Segerea ni kero kubwa

    Ndugu wanajamvi Nawasalimuni kwa jina la jamhuri ya muungano. Nimeona niamke na hoja hii kwani wakazi wa kisukulu tumejikuta kwenye mateso ya muda mrefu. Kwa wale wasiojua kisukulu ni wapi, Kisukulu ni kata inayoangukia kwenye jimbo la uchaguzi la segerea wilaya ya ilala kwa utambulisho zaidi...
  5. JamiiForums Tanzania Kuna dalili kubwa sana za wagonjwa wengi wa Corona hapa Ifakara kata ya viwanja sitini kitongoji cha Minarani

    Hatua za haraka zichukuliwe na viongozi na mamlaka zinazohusika na afya. Kuna idadi kubwa ya watu wenye mafua makali na vikohozi vikali. Wengine wakidai kusikia maumivu maeneo ya koo. Hiyo hali mimi nilikutana nayo. Kichwa kuuma, maumivu kwenye koo ukimeza mate au chakula, mafua makali na...
  6. JamiiForums Tanzania Ukweli Mchungu kwa Wanasimba: Televisheni ya Yanga kuwa na Thamani kubwa kuliko Klabu ya Simba ni upumbavu

    Naam kuweka uelewa sawa ni vyema nikafupisha mada. Lakini sitakuwa sawa kama sitowapongeza wanamsimbazi kwa ubingwa na hatua kubwa waliyopiga kwenye soka kwa miaka hii minne. Lakin pia niwapongeze kwa wapenzi wa timu ya Simba kwa support yao isiyokatika kwa timu yao. Tumekuwa tukifuatilia...
  7. JamiiForums Tanzania Walitumia nguvu kubwa kuwatisha watu juu ya chanjo, leo wanashangaa wananchi kuogopa chanjo

    Toka chanjo imetoka, serikali chini ya Magufuli imekuwa inaweka hofu kwa wananchi juu ya usalama wa chanjo. Rais alisema waziwazi kauli za kupinga chanjo. Alisema kama wazungu wanaweza kutengeneza chanjo basi wangetengeneza chanjo ya UKIMWI. Watu kama Kigwangalla wakatoa kauli kupinga chanjo...
  8. JamiiForums Tanzania Taifa lipo kwenye hofu kubwa. Chanjo sio suluhu ya kuondoa hofu

    Hali ni mbaya sana uraiani. Watu wana hofu kubwa. Watu hawana imani na chanjo. Japokuwa wamepewa matumaini kuwa chanjo ya Jonhson ni single shot. Watu wakiugua mafua sababu ya kibaridi cha kiangazi wanapata hofu ya kufa wanadai ni Corona. Watu wanapiga nyungu lakini wana hofu ya kifo. Hii...
  9. JamiiForums Tanzania Hii ndio orodha ya watu ambao wapo kwenye hatari kubwa ya kupatwa na malaria

    Habari wadau! Amini usiamini lakini huu ndio ukweli waru awa wapo kwenye hatari kubwa ya kupatwa na malaria kuliko watu wowote. 1. Wajawazito 2. Vibonge 3. Wakimbiaji (joggers) 4. Watu wenye bustani za maua nyumbani kwao 5. Walevi 6. Wanaopenda kuvaa night dress nyeusi au nguo nyeusi wakati wa...
  10. N

    JamiiForums Tanzania SoC01 Nini kifanyike kuondoa fikra ya kuajiriwa miongoni mwa wimbi kubwa la vijana Tanzania

    NINI KIFANYIKE KUONDOA FIKRA YA KUAJIRIWA MIONGONI MWA KUNDI KUBWA LA VIJANA TANZANIA. UTANGULIZI. Suala la ukosefu wa ajira limekua tatizo kubwa sio Tanzania tu bali dunia nzima. Tanzania ina idadi kubwa ya vijana ambao hawajaajiliwa pia bado kila mwaka idadi kubwa ya vijana wanahitimu...
  11. JamiiForums Tanzania Nawashwa kwenye njia ya haja kubwa

    Habari wadau.. Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu.. Nina kama mwezi sasa nasumbuliwa na kuwashwa kwenye njia ya haja kubwa.. Nimeshameza dawa za minyoo lakini tatizo bado lipo.. Kwahyo naomba mwenye kujua tatizo hili na dawa yake anambie..
  12. JamiiForums Tanzania Maliwato si lazima yachukue nafasi kubwa kwenye nyumba

    Ni mpangilio tu lakini maliwato yanaweza kuchukua nafasi ndogo yenye mpangilio mzuri. Hii ni sehemu ya faragha hivyo watu wawili au watatu kukutana ni wakati wa kumhudumia mgonjwa. Swahiba mmoja aliweka ceiling fan maliwato, hata kama kuna joto si unaoga maji ya baridi!
  13. JamiiForums Tanzania Mambo 5 ya kuyajua kwenye mapenzi pindi yanapobadilika usipate athari kubwa

    Hukizunguzia mapenzi hakuna yaliyomuacha kila mtu yamemgusa kwa namna moja au nyingine. hapa chini nmeandika mambo 5 ambayo unatakiwa kuyajua ili uhepukane na athali kubwa za mapenzi. 1) MWAMINI MWENYEZI MUNGU Ukimuamini mwenyezi mungu utakuwa mtu wa subla, na subla...
  14. JamiiForums Tanzania Serikali ijitathimini, kuna wimbi kubwa la vijana kuacha kazi ndani ya kipindi hiki cha miaka 7

    Nina washkaji zangu kadhaa nilisoma nao wameacha kazi za serikali. Na jana nimekutana na mwanangu nilikua nae room moja chuo ameniambia ameacha kazi aliyokua anaifanya huko serikalini. Nilipomhoji akanambia ishu ni maslahi ilihali muda mwingi anautumia kazini, hata muda wa kufanya shuguli...
  15. JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM isitumie nguvu kubwa kuwabana wapinzani wanaodai katiba mpya, tukipata katiba mpya wanufaika wakubwa ni wafuasi wa CCM wenye hali duni

    Suala la taifa letu kuwa na katiba mpya tusiliangalie kwa upande mmoja tu wa shilingi. Katiba tuliyonayo ina mapungufu makubwa sana ambayo hayamnufaishi mwananchi wa kawaida mwenye maisha duni. Wananchi wanahitaji katiba itakayowapa nguvu ya kuonekana kuwa wana maamuzi kwenye nchi yao...
  16. JamiiForums Tanzania Kauli ya Mwigulu kuhusu Burundi ni hatari kwa Usalama wa Taifa. Serikali ijitenge nae!

    Mh Rais Mama Samia suluhu Hassan bado hujastuka tu kuwa mtu huyu ni hatari katika utawala wako? Waziri wako anadharau amri ya Rais ambayo jana tu asubuhi umemuagiza yeye mwenyewe atwambie kwamba umesikia manung'uniko yetu na kwamba umeziagiza wizara zikae zishughulikie malalamiko yetu wananchi...
  17. JamiiForums Tanzania WHO: ni nchi 10 tu duniani zilizofanikiwa kuwapatia chanjo wananchi wake kwa idadi kubwa

  18. JamiiForums Tanzania IMF na Benki ya Dunia ni taasisi kubwa ambazo hujidhihirisha na watu wanoteuliwa kuwakilisha nchi katika masuala ya fedha

    Hizi Taasisi kubwa kama IMF na Benki ya Dunia huwa wana taratibu za kujidhihirisha kabla ya kumpokea mgeni kutoka nchi fulani ambae huteuliwa kuwa waziri wa fedha. Dr Phillip Mpango ni mwenyeji katika taasisi hizi za fedha duniani. Ukiongelea masuala ya uchumi na Dr Mpango hupati shaka kwamba...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Kuna Nini Mbona Kuna Wimbi Kubwa Sana La Wahindi Wameingia Tanzania Katika Muda Mfupi?

    Kuna Wahindi wengi sana tena wale wa hali ya chini wameingia Tanzania katika siku mbili hizi wamejazana kwenye hotel/Guest za mitaani. Uhamiaji kuweni makini tujue ni wawekezaji au wamekuja kuchukua kazi za Watz wakawaida!!
  20. JamiiForums Tanzania Kama nguvu kubwa ikitumika kunyamazisha mijadala Basi Mambo yanarudi Kama awali

    Ukiona hakuna Uhuru wa kukutana Hadi vikao vya ndani ujue Hali unarudi kuwa ngumu soon as possible. Kuna unafuu ulianza kuonekana kwenye uchumi. Watu kuachiwa, kesi kufutwa, Wakulima kulipwa mazao ya biashara kwa keshi haswa pamba na Bei kupanda kutoka 800 kilo Hadi 1500. Ilikuwa NI dalili...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…