kubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Sabaya onyesha kuwa na njaa na dhiki za kisiasa. Atamka hadharani kuwq hata akipelekwa gerezani kwa uonevu CCM ni dude kubwa

    Huu ni upumbavu na ujinga. Unapelekwa gerezani kwa kesi ya unyag'anyi wa kutumia silaha ya kubumba. Alafu unasota gerezani mpaka unakuwa hoi Unatoka gerezani na mahakama inathibitisha kuwa haukufanya kosa la kunyag'anya mali kwa kutumia silaha. Kwa upuuzi na dhiki za kisiasa unatamka...
  2. Wajue watu hawa wenye IQ kubwa walioamua kuwa Wakristo

    Katika ulimwengu wa leo, kuna watu wanaofikiri kwamba wanaomwamini Yesu Kristo na kuwa walokole ni “watu wenye ufahamu mdogo” au "wenye changamoto ya afya ya akili." Lakini historia na ukweli wa sasa unashuhudia vinginevyo. Kuna watu wanaotambulika kuwa wana kiwango cha juu cha akili (high IQ)...
  3. K

    Kosa kubwa la Polepole ni kuongelea CCM kuliko taifa

    Kosa kubwa la Polepole ni kuongelea CCM kuliko taifa. Kama kwa nyakati hizi unaongelea kumwaga oil ya CCM na kupuuza utekaji, haki na demokrasia kwa ujumla wake utakosa watu wa kukusikiliza. CCM pamoja na kujigamba hawafiki hata 50% ya Watanzania. Chadema wanasikika kwasababu wanaongelea mambo...
  4. Jinsi nilivyogundua machimbo yaliyofichwa Kariakoo na kuanza biashara yangu bila kuwa na stoki, duka wala gharama

    “Kariakoo sio soko. Ni vita ya akili. Wachache wanaotoka na faida ni wale wanaojua wapi pa kuchimba.” — Sehemu ya maneno niliyosikia kwa fundi mmoja nikiwa nimepotea Kariakoo mwaka 2019. KILICHONIKUTA SIKU YA KWANZA KARIAKOO Mwaka 2019 nilikuwa na wazo tu la biashara — kuuza viatu mtandaoni...
  5. Ujenzi na ubomoaji wa hoja: Janga kubwa kwa viongozi wetu

    Naanza kumaizi kuwa upo umuhimu wa jamii yetu kujifunza maarifa ya ujenzi wa hoja ili kupunguza mitindinganyo ya hoja inayoendelea jambo linalowapa nafasi wachache wanaojua kujenga na kubomoa hoja hata kama wakisimamia hoja dhaifu. Nimefuatilia majibizano mengi ya hoja na nilichoweza kubaini ni...
  6. Mama Mkwe ni Rais wa Nchi, yeye kama Mume ni Waziri wa Wizara kubwa kuliko zote, Mke wake naye anaenda kupata Ubunge.

    Kwani tukisema nchi inakaribia kuwa ya ki Falme au ki Monarchy tutakosea? ======================================== Katika familia zenye hadhi kubwa ya kisiasa na utawala hapa nchini, huwezi a kuacha kuitaja familia ya Mohamed Mchengerwa. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (TAMISEMI) Tawala za Mikoa...
  7. Marekani na Uingereza walifanya kosa kubwa la kimkakati kuungana na USSR dhidi ya Hitler na Ujeruman yake

    Katika vitu Wamarekani wataendelea kuvijutia ni kuungana na USSR chini ya Stalin kumpiga vita Hitler, lile huenda lilkuwa kosa kubwa la kimkakati la muda mrefu. Hata kama Hitler alikuwa anawaua Wayahudi, wangemuacha kwanza au wamsaidie auangushe utawala wa USSR kisha baadaye ndipo washughulike...
  8. R

    GE2025 Mh. Nchimbi: Tuchagueni tutaleta Katiba Mpya! Tuna tatizo kubwa- Mzaha kwa watanganyika!

    Mbona nilikuwa naona kama anaweza kuwa mwenzetu! Hawa watu hawako serious na watanganyika, .....ona mzaha anaowafanyia majuha wa Tanganyika! Eti tuchagueni tutaleta katiba!
  9. Ajali ya Behewa la Machuma imesababisha Foleni kubwa hapa Kituo cha SGR

    Wakuu! Kuna behewa lililokuwa limebeba machuma limeanguka hapa Kituo cha SGR, Dar es Salaam na kusababisha foleni kubwa ya magari eneo hilo.
  10. Offer kubwa ya printing tshits na kofia

    Habari Wadau, Atl printing ndani ya mwezi huu wa Tisa tuna offer ya printing Tshirt (Sports,Polo na First & Time) logo kwa 15,000 TU, na kofia kwa 10,000. Pia kwa nahitaji ya printing kwa Promotion Material zote pamoja na Large format utajipatia kwa bei nzuri. Tunapatika Congo & Rufiji, Dar...
  11. Huenda H.Polepole akawa na shida kubwa zaidi ya hii kimaadili na kiakili, na huenda mwisho wake ukawa mgumu zaidi ya mwanzo wake katika historia

    Wewe Polepole hebu msikilize vizuri hapa Mgombea Urais wa CCM Dkt Samia Suluhu, Mtakumbuka nimeingia madarakani kukiwa na changamoto kubwa ya Uhuru wa habari nchini. Nimechukua hatua za makusudi kuhakikisha uhuru wa habari unaimarika kwa kuweka wazi utashi wa kisiasa na misingi ya kisheria...
  12. GE2025 Kishindo cha Balozi Dkt Emanueli John Nchimbi na Eng Ezra John Chiwelesa kinasubiliwa kwa hamu kubwa Biharamulo 6/9/2025

    Wanabiharamulo na wananchi wote wa Mkoa wa Kagera mnaalikwa kushiriki kwa wingi katika mkutano mkubwa wa hadhara tarehe 6/9/2025 katika Uwanja wa Mpira wa CCM Biharamulo Mjini. Mgombea Mwenza wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Balozi Dkt. Emanueli John Nchimbi, atapanda jukwaani...
  13. T

    TRA Butu, watu wananunua magari ya zaid 2B bila kutoa source ya fedha zao wala kulipa kodi, kazi yao kubwa imebaki kupambana na mawinga

    TRA imekuwa shirika butu Linaacha watu wakifanya wapendavyo bila kuulizwa. Watoto wa vigogo wanapora na kula keki ya taifa wananunua magari ya bilioni, wakiishi maisha ya kifahari bila kulipa kodi wala kuulizwa vyanzo vyao vya fedha. Serikali inapoteza mapato, huku TRA ikipambana na mawinga...
  14. Tanzania ina watu wengi magenius sana wenye IQ kubwa hususani vyuoni lakini serikali halijui jinsi ya kuwatumia

    Mbeya University of Science and Technology (MUST) Hiki chuo mnakifahamu? Moja ya vyuo vyenye watu magenius hapa Tanzania ni pamoja na hiki chuo. Ubunifu unaofanyika kwenye hiki chuo unaweza sema ni wanafunzi wa Kichina, kumbe ni wa hapahapa Bongo. Kwa mtu anayejua chuo cha MUST nadhani...
  15. Wajue wanawake na wanaume waliovunja rekodi ya kufanya mapenzi na idadi kubwa ya watu duniani!

    Orodha fupi ya wanawake waliowahi kudaiwa kuvunja rekodi ya kuwa na wanaume wengi zaidi kimapenzi (hasa kupitia filamu au matukio ya watu wazima): Wanawake waliotajwa kwenye rekodi za “gang bang” Annabel Chong (1995, Los Angeles, Marekani) Alidai kufanya ngono na wanaume 251 mfululizo ndani...
  16. Huyu Dada anayejiita Aminata aliyesema Baba yake ni kinana , hakutumia Akili amejiharibia sehemu kubwa sana ya Maisha yake.

    Huyu , Aminata nilimwambia njia aliyoitumia kumbagaza Mzee Kinana haikuwa sahihi. Hata angekuwa baba yake kweli lazima angejitafakari Sana kabla ya kufanya maamuzi hayo. Pole Sana Aminata Elimu yako haijakukomboa .
  17. Polepole ana akili kubwa sana anachofanya NI kujitengenezea mazingira mazuri Sana ya kuja kuwa mgombea urais 2045.

    Kwa sababu kausoma mchezo kaona asilimia kubwa ya Hilo kundi la wanamtandao anaowataja wengi wao NI watu wazima wenye zaidi ya Miaka 60 na kama mnavyojua umri tuliopewa na Mungu average NI Miaka 70 so ashajua Miaka 20 ijayo wengi wao watakuwa washarudisha namba kwa mola. Hiyo NI move nzuri Sana...
  18. Tanzania ni miongoni mwa nchi 10 zinazoongoza kwa Deni Barani Afrika DENI LA TAIFA LA NJE (EXTERNAL DEBT🇹🇿)

    Nchi 10 za Africa zenye highest external debt kwa mujibu wa data za 2025 1. South Africa – USD 176,314 million (Sep 2024) 2. Egypt – USD 155,204 million (Sep 2024) 3. Tunisia – TND 128,856 million (Sep 2024) 4. Mauritius – MUR 96,713 million (Dec 2024) 5. Angola – USD 50,260 million (Dec 2023)...
  19. Fadlu Davis; Yanga wana ubora kwenye match kubwa kuliko sisi

    "Niwe tu muwazi bado Nahitaji Mchezaji mmoja mwenye X Factor kwenye eneo la ushambuluaji, najua tumepata sapoti kubwa Sana kutoka kwa Rais Mo Dewji na mchango wake Msimu huu umekuwa mkubwa Sana" "Natumai sasa tunapoelekea mwishoni mwa usajili Jayrutty anaweza kutusaidia kumpata Mchezaji huyo...
  20. Watanzania hasira zimekuwa kubwa sana jamaa kapata ajali ya pikipiki ambayo ni ya CCM imemlalia wanampita wakimwambia mitano tena.

    Siku hizi naona kama pikipiki za CCM zile za samia watu waliopewa wanaanza kuogopa kutembelea hata wakipeleka kwa mafundi na mafundi nao hawa zitaki,Mtaani zikipaki zinatengwa na wanazengo. Sasa kuna tukio limetokea jamaa kada mtiifu kapata ajali pikipiki anayotumia ikamlalia hakuna hata...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…