kubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kwanini Samia anatumia nguvu kubwa kutetea uongozi ambao hakuugharamia?

    Kwa hali ilivyotokea Leo sikutegemea mama ametoka povu vile heee🙄 kulalamika suala la Ndugai ni kutokujiamini yeye ndiye Rais ingetosha tu kuwaeleza Watanzania kwamba amesamehe yote na kwa kuwa uongozi hakuutafuta hategemei malumbano ya kugombea kiti Cha Urais na Watanzania wangemuomba aendelee...
  2. JamiiForums Tanzania Ni aibu kubwa kwa Waziri Mwigulu kusema Serikali ndiyo hulipa madeni

    Hii ya leo hakika bwana Waziri Nchemba ni zaidi ya utovu wa nidhamu kwa walipa kodi! Unatoa wapi uthubutu wa kudai Serikali ndiyo hulipa madeni na si wananchi?! Kwamba bila kodi ya wananchi Serikali bado ingeweza kulipa deni?! Hii ni zaidi ya dharau kutoka kwa mtu aliyeshiba. Ukweli ni...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Balozi Mchumo: Watanzania limeni Mianzi, ina soko kubwa Duniani

    INBAR welcomes Mr. Ali Mchumo as its fifth Director General Video courtesy of MAELEZO March 2019 – The International Bamboo and Rattan Organisation, INBAR, is delighted to confirm the appointment of Mr. Ali Mchumo as its new Director General. Mr. Mchumo will take up his position at the end of...
  4. JamiiForums Tanzania Computer4Sale Laptop aina mbalimbali zinauzwa

    HP MIN LAPTOP 300,000/= TU INa RAM 2 GB HDD 160 SCREEN SIZE 10.1 Refuerbished Ina Kaa na charge Masaa 10 Call Me 0716889489
  5. A

    JamiiForums Tanzania Nyumba hii ni ndogo au kubwa?

    Naomba kuuliza nyumba yenye urefu na upana wa futi 30 hiyo ni nyumba ndogo au kubwa?
  6. S

    JamiiForums Tanzania Issue kubwa ni watu kutaka kutimiza ndoto zao za urais 2025 baada ya Mwendazake kuondoka

    Yatasemwa mengi na mtasikia mengi, ila issue kubwa ni watu kuutaka urais wa nchi hii mwaka 2025. Wakati Magu yuko hai, walikosa ujasiri wa kuonyesha hadharani mtatamani yao na kwa Mama, bado hawajaanza, ila ili wapate hiyo fursa(waanze) ni lazima Mama asigombee (bahati mbaya alishasema...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Nimekubali Tanzania Kuna chuki kubwa, upo umezekano tunauana kimya kimya

    Nimemsikiliza Mwingira, nimemsikiliza Nape,nikamsiliza WA zamani wa Jumuhia ya wazazi wa CCM, nimemsikiliza huyu mzee mwanajeshi mstaafu kiongozi wa organizashen ya mambo ya nje, nikamsikiliza Gwajima, nikaona ushahidi wa Makomandoo, nikaona namna sabaya alivyotesa, Makonda alivyotesa, Muro...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Hivi kweli kupenga makamasi kwa kutumia kitambaa na hajaa kubwa kwa kutumia tissue na kupiga chafya kwa kutumia kiganja,ni usafi na ndio kustaarabika?

    Kwa wengi tuliokulia mijini, bila shaka tumeshiriki katika kuyafanya haya na huenda bado tunaendelea kutekeleza huu utamaduni wa kimagharabiki ambao tunauona ni sahihi na ndio kustaarabika. Tusione aibu na tujadiliane hapa kama kweli hii tabia ya kupenga makamasi na kisha kuweka kitambaa cha...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Kutulia na mwanamke mmoja ni kati ya discipline kubwa ambayo wanaume wengi hatuiwezi

    Kutulia na mwanamke mmoja ni kati ya discipline kubwa ambayo wanaume wengi hatuiwezi. tujitahidi
  10. JamiiForums Tanzania Wale Wanasimba SC na wana Yanga SC mliokuwa 'mkinishambulia' JF nilipokuwa 'nikimsifia' Kibu Denis kuwa ni Hazina Kubwa mpo wapi leo?

    Kudadadeki GENTAMYCINE sijawahi Kumpenda na Kumsifia Mchezaji Mbovu au Mchezaji ambaye hafanyi kile nilichomsifu nacho. Nikisema au Nikichambua huwa nakuwa nina uhakika kwani hata huo Mpira wenyewe naujua na isitoshe nimeucheza vile vile tena katika Ngazi zote Muhimu za awali Mashuleni, Mtaani...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu kujenga nyumba ndogo pembeni kabla ya kumalizia nyumba kubwa

    Wakuu habarini za mihangaiko, nimejenga nyumba kubwa ya vyumba 3 nimeishia kuweka lenta lakini kutokana na kupanda Kwa gharama za vifaa vya ujenzi kuna uwezekano wa kuchukua hata miaka miwili Hadi kumaliza. Kuna wadau wamenishauri ili nitoke kwenye upangaji basi nijenge chumba kimoja na sebule...
  12. JamiiForums Tanzania Serikali Kubwa Ni mzigo

    Nimesikia kuwa serikali ya Tanzania ina mipango ya kupanuka kidogo kuongeza Wizara moja au mbili hivi. Serikali yoyote kubwa sana yenye wizara nyingi huwa siyo mzigo tu kwa nchi, bali pia ni serikali ambayo huwa haina ufanisi kutokana na baadhi ya maeneo ya utendaji kuingiliana. Kipindi cha...
  13. T

    JamiiForums Tanzania "Kuna gharama kubwa ya kujifanya shujaa"

    "Kuna gharama kubwa ya kuwa shujaa" Kesi ya Mbowe ilipoanza tulisikia watu mbalimbali wakihudhuria mahakamani na wengine kushinikiza aachiwe, tulishuhudia mabalozi kutoka nchi za Marekani, Ujerumani na Ubelgiji wakihudhuria na kutoa matamko mbalimbali lakini Leo yupo pekee yake na makosa yake...
  14. JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole: Wahuni hawatashinda, CCM ni taasisi kubwa inayoweza kupambana na wahuni.

    Kitu kimoja nina hakika ni kwamba wahuni hawatashinda lakini kitu kimoja nina imani kubwa sana ni kwamba ni Chama Cha Mapinduzi (CCM) pekee ndio kina uwezo wa kitaasisi na kidhamira wa kukabiliana na wahuni. Kazi ni kwetu wana CCM. #ujamaaniimani #kaziinaendelea #kataawahuni...
  15. JamiiForums Tanzania Kumekucha: Foleni kubwa zaonekana kwenye ukataji wa ticket

    Wachagga wamejitokeza kwa wingi sana leo jumapili kwenye ofisi mbalimbali za mabasi kwaajili ya kukata tiketi kuelekea kaskazini mwa nchi kusherehekea msimu wa sikukuu za Xmass na Mwaka mpya!! Wachagga mko vizuri
  16. B

    JamiiForums Tanzania John Mnyika ni Mwanasiasa aliyefanya kazi kubwa na Katika mazingira magumu 2019, 2020 na 2021 Nchini Tanzania

    Nikiri niliwahi kupoteza Imani na Mnyika kipindi Dr. Slaa anatimkia CCM Kwa mgongo WA kuachana na siasa. Nilidhani kijana huyu atasaliti dhamira na Imani ya Watanzania dhidi yake lakini niombe radhi nilimwazia vibaya. Kati ya watu waliosimama Katika mazingira magumu ni huyu kijana. Alisimama...
  17. JamiiForums Tanzania Nashauri Rais Samia apate mapumziko, amefanya kazi kubwa sana, tangu mwezi march hajapumzika

    Afya ya Rais ni muhimu. Kazi ya Urais ni ngumu, kiongozi wa nchi halali isipokuwa masaa mchahe sana, wakati mwingine analala akiwa safarini, wakati wote kiongozi anapokea taarifa mpya kutoka ndania na nje ya nchi, Wakati wote atatakiwa kutatua changamoto au kutoa maelekezo, yamkini asipate muda...
  18. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya yazindua eneo la kupaki meli, ambalo ndio eneo kubwa kuzidi yote Kusini mwa jangwa la Sahara, tumewazidi hata SA

    Inawezekana isiwe rahisi kumeza, ila ndio ukwel wenyewe................. Kenya has unveiled a modern shipyard at the Mtongwe Navy base in Mombasa, making her the first country in sub-Saharan Africa with such a facility. Kenya Shipyards Ltd (KSL) has the capacity to handle vessels of more than...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Nape ni aibu na fedhea kwa CCM, kuachwa kwake kutaleta aibu kubwa ndani ya CCM

    Kwa muda mrefu nimekuwa ni adui wa kauli na utendaji usiofata misingi wa Nape Nnauye. Kauli zake Mara nyingi zinaonesha ni mtu anayejisikia, mtu ambaye anaamini kwamba bila yeye CCM haiwezi kusonga mbele,kwa kifupi anajiona ni mungu mtu ndani ya CCM. Nape anachotakiwa kujua ni kwamba chini yake...
  20. JamiiForums Tanzania Mbinu kubwa ya Bank kupata faida kubwa kuliko mtu binafsi

    Wakati mwingine tumekuwa tukijiuliza kwanini bank inapata faida kubwa kuliko sisi? Je ni mbinu gani bank wanazotumia kupata faida kubwa? Uhalisia ni kwamba hakuna mbinu kubwa, mafanikio yao yanatokana na wao kuthamini shilingi pamoja na kuwa makini katika mahesabu. Tizama tofauti ya mahesabu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…