Leo tuweke mafaili ya ofisini pembeni na tuzungumze ukweli ambao Human Resources (HR) wako hatakuambia kamwe.
Tangu tukiwa shule ya msingi tulikaririshwa fomula moja ya kijinga sana: "Soma sana, piga kazi kwa bidii, bosi atakuona, utapanda cheo na kutoboa kimaisha tuu."
Ila Kwenye ulimwengu...
Tatizo kubwa CCM haijiamini kama Chama tena! ndiyo maana wanatumia dola . Yaani wameshidwa kushindana kwa hoja za maendeleo na makada na viongozi wengi hawana vipaji vya kushinda kwa hoja. Kingine wamempa nguvu sana mwenyekiti kiasi kwamba sasa wanawekwa machawa na ndugu watupu na kwasababu...
Rais Trump amedai kuwa Iran imeipa Marekani kile alichokiita “zawadi kubwa sana” kupitia wajadiliana wake, akihusisha suala hilo na mafuta na gesi.
Kwa mujibu wa Trump, makubaliano hayo yanahusiana na eneo nyeti la mlango wa bahari wa Hormuz, njia muhimu ya usafirishaji wa mafuta duniani.
Hata...
Habar za mda huu ndugu
Kuna kitu nimekuwa nikikigundua kuhusu maisha yangu kadiri ninavyozidi kukaa na kujitafakari mimi ni mtu ambaye mara nyingi napenda kuwa busy na kujishughulisha na mambo yangu mwenyewe.
Maisha yangu mengi yanajengwa na nidhamu ya kazi, kujifunza, na wakati mwingine...
Madhila ya vita ya Iran na Marekani/Israel yameanza kuonekana tangu mwanzo mwa mwezi huu kwenye usafiri wa ndege
Baada ya airport za Qatar na Dubai kufungwa tickets za ndege zilipanda maradufu.. Imagine ticket ya ndege kutoka China kurudi Bongo ilipanda kutoka 2M mpaka 10M
Hii vita haina...
Nilikuwa napenda kuwasilisha changamoto yangu kubwa ni upande wa chuo ambacho nimesoma "Chuo cha Taifa cha Utalii/ National College of Tourism- NCT), tumekuwa na changamoto kubwa ya upataji wa Ajira Serikali kupitia Mfumo wa Ajira Portal ya Serikali, kutotambua Course ambazo tumezisome katika...
Anonymous
Thread
changamoto
chuo
forum
habari
jamii
jamii forum
jamii forum.
kubwa
mda
upande
yangu
Siku Tanzania ilipoamua kuwa yoyote anaweza kulelewa na baadae kupewa uongozi halafu akili atazipata huko huko katika uongozi, ndiyo siku tuliyoanguka kama taifa.
Mfumo wa nchi na wananchi kwa ujumla wanachanganya uzoefu na akili. Mtu yoyote ukimpa afanye jambo kwa muda wa kutosha, uzoefu...
Mvua kubwa Dar imeanza kunyesha usiku mkubwa kwenye saa 7 hivi
Tujuzane maeneo ambayo yameathirika na mvua hii ili mamlaka zijue pa kwenda kutoa msaada wa haraka ikiwa utahitajika
Inashangaza kuona Waziri Mkuu akitoa taarifa ambazo hazijafanyiwa uchunguzi mbele ya umati wa watu.
Katika sekta ya afya nchini Muunguzi na mkunga ni kiungo muhimu sana, ni vibaya na aibu kuona viongozi wenye dhamana wakiwazungumzia vibaya.
1. Mnaua taaluma ya uuguzi na ukunga inchini
2...
Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zinapatikana. Zimebaki pc 7.
Bei ya Khanga: sh 20,000/=
Bei ya Jumla: Ukichukua kuanzia 3 kila moja utapata kwa sh 18,000/=.
Tunapatikana tabata kinyerezi/Msasani (Biashara ni ya Mtandaoni), tunafanya delivery.
Mkoani tunatuma kwa gharama za mteja.
Delivery...
Mnamo 1989, house boy wa ki-Thai aliyekuwa akifanya kazi katika jumba la kifalme la Saudi Arabia huko Riyadh aliiba mamia ya pauni za vito, ikiwa ni pamoja na almasi ya bluu ya karati 50. Alisafirisha nyara hizo hadi Thailand ndani ya vacuum cleaner kupitia kampuni ya usafirishaji ya DHL.
Saudi...
Kwanza nianze kwakusema hakuna anayefurahia mauaji yanayotokea kwa raia wasio na hatia pande zote mbili Iran na Israel,kwakuwa wao ni victim tu au wahanga tu
Twende kazi.....
Mzee wa hovyo Trump alidhani kwamba kutokana na uzoefu ambao unafahamika siku zote,kwamba ukimuondoa kiongozi...
Vihusishi 'na' na 'kwa' vinakosewa sana katika matumizi kiasi cha kuleta mkanganyiko katika mawasiliano ya kila siku.
Kwa mfano, mtu anasema "Nilisafiri na gari", badala ya "Nilisafiri kwa gari". Ukisema nisafiri na gari unamaanisha wewe unatembea mwenyewe na gari linatembea mwenyewe, Wala...
Haya makanisa kwanza yapo kibiashara zaidi.
Nikweli makanisa yote yapi kibiashara lakini ya kilokole yapo kibiashara nje nje bila kufichwa utaambiwa live.
Hii ni mifano michache tu
•Kumuona mchungaji,Mtume au nabii Hela.
•Kuombewa hela
•Utauziwa maji,sabuni,mchanga,vitambaa, mafuta nk...
Mvua kubwa inayoendelea kunyesha Nairobi imeleta maafa makubwa baada ya watu 23 kuthibitishwa kufariki kufuatia mafuriko yaliyosomba baadhi ya maeneo ya jiji. According to emergency reports, zaidi ya magari 70 yamesombwa na maji huku nyumba na biashara nyingi zikiharibiwa na mafuriko. Rescue...
Wabillahi taufiq,
Nimeona taarifa za kusilimu kwa watu maarufu wa mitandaoni bongo hivi karibuni, kuanzia Pierre Liquid, Snura majanga na Gigy money.
Watu wakisilimu taarifa zao hujaza sana mitandaoni kuanzia kusilimu kwao, kufunga ndoa za Kiislamu na kwenda kuhiji Mecca.
Sijawahi kuona...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.