kubeba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Fuata moyo wako lakini usisahau kubeba akili yako

    Moyo pekee (Bila Akili) Huleta maamuzi ya kukurupuka, matatizo ya kifedha, au kubaki kwenye mahusiano mabaya kwa sababu ya hisia tu. Akili pekee (Bila Moyo) Hufanya maisha kuwa ya kuchosha, yasiyo na furaha, na yenye kufuata taratibu tu bila msisimko. *Ruhusu moyo uchague unachokipenda, lakini...
  2. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa takwimu hizi, Huyu hakustahili kubeba EPL

    Yaan8 ni kipofu Hata mashabiki wake ni vilaza
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kuna ukweli biashara ya kubeba mizigo kwa kirikuu imeyumbishwa na maguta ya Kichina

    Hapo zamani biashara hasa za hardware walikuwa wanatumia sana kirikuu kubeba cement, mabati, nono, n.k. lakini sikuhizi tunazidi kuona kasi ya maguta yakichukua nafasi hii wafanyabiashara wanaoenda kununua vitu kama maduka makubwa nao hawachezi mbali wameanza kuyaelewa maguta Pia kirikuu...
  4. JamiiForums Tanzania System ya kubebana na kubeba watu wasiokuwa na uwezo ndio imefikisha Tanzania hapa

    Tanzania Ina system ya kubebana na kubeba watu wasiokua na uwezo ndo imefisha nchi hapa akitoka Jaji kuongea anaongea kama mtu wa darasa la saba au hajawai kwenda shule kabisa. Tanzania hii huna mtu yoyote kwenye system hata Kama una uwezo umesoma kiasi gani kama huwezi kujipendekeza au kua...
  5. JamiiForums Tanzania Meli ya Iran iliyokua inatumika kubeba na kushambulia kwa drones yagaragazwa

    Hii meli ilikua imejificha baharini, kazi yake kutuma mamia ya drones, imekutwa huko huko na kufutwa kwenye uso wa dunia. Yaani Iran imesambaratishwa na kuachwa hoi kabisa, kiasi kwamba hivi karibuni itakua mnyonge wa yeyote anayetaka kuipiga, hata kainchi ka Afrika kataweza kujipigia...
  6. JamiiForums Tanzania Samia Suluhu akataa kuzindua Stendi Kuu mpya ya Mailimoja Kibaha

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amekataa kuzindua stendi kuu mpya ya Mailmoja Kibaha mkoani Pwani, akiwa katika ziara yake mkoani humo. Hatua hiyo ameifikia kutokana na kupata wasiwasi wa utekelezaji wa mradi kuwa na baadhi ya mapungufu ambapo amedai baada...
  7. JamiiForums Tanzania Songwe: Wanawake watishia kufanya mgomo wa kubeba mimba hadi ujenzi wa Zahanati ukamilike Wilayani Mbozi

    Wanawake katika Kijiji cha Kilimampimbi, Kata ya Kilimampimbi Wilayani Mbozi Mkoani Songwe wametishia kufanya mgomo wa kubeba mimba mpaka ujenzi wa Zahanati ya Kijiji ukamilike ili kuepuka changamoto wanazopitia wakati wa kujifungua. Wakizungumza na EATV baadhi ya Wanawake kijijini hapa...
  8. JamiiForums Tanzania Wezi waliojifanya maafisa wa polisi, wamepora pesa kwenye gari la kubeba Pesa huko Italia

    Tukio hili limetokea mchana kwenye barabara moja huko Italia baada ya wezi kuisimamisha gari ya pesa na kuipora.. wawili wamekamatwa... Tukio hili limenikumbusha filamu moja ya Money heist inayoitwa HEAT ============== Genge lenye silaha limefanya shambulio la mchana kwenye gari la...
  9. JamiiForums Tanzania Gen z sahauni kiongozi kuachia madaraka kwa maandamano yenu ya kubeba mabango ya mabox mlochora na makapen

    Wakuu huu ni ukweli mchungu kiongoz kama rais sio mchezo kumtoa mzee tusijidanganye na tusifarijiane hilo jambo haliwezekan na halitowezekana kwa stail ya maandamano ya aman zaid ni kupoteza muda tuh kwa kubeba mabango mliyochora na makapen mtachelewa sana
  10. JamiiForums Tanzania Huduma za Mwendokasi zarejea kubeba abiria Mbagala-Gerezani

    Baada ya siku 21 tangu kusitishwa kwa huduma ya mabasi yaendayo haraka katika barabara ya Mbagala kuelekea Gerezani na Kivukoni kufuatia uharibifu uliotokea wakati wa maandamano ya Oktoba 29, huduma hiyo imeanza rasmi kurejea leo kwa kubeba abiria. Katika baadhi ya vituo vya Kilwa Road, mabasi...
  11. JamiiForums Tanzania Vifaa vya kubeba kwenye maandamano #D9

    Habari wakuu, katika maandamano usisahau kubeba vitu hivi 1, maji na vyakula kama mikate kama ukiweza beba maji mengi kwenye hivi vimfuko vya kandoro ukawagawaia wenzako kwenye maandamano, ukifika tu usilaze damu zisambaze kwa wenzako ili kujipunguzia mizigo. 2, Dawa na kama vidonge na vifaa...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aongoza Kikao Maalumu cha Kamati Kuu. CCM yaazimia kujitathmini na kujipanga vyema kubeba dhima ya kuliongoza Taifa

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge. Ameongoza kwa...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Mabasi ya Mwendokasi Mbagala yaanza majaribio kubeba abiria

    Hii siyo kwamba mtoto anaringishiwa nyonyo wakuu? Jana Ajira elfu 41, leo Mwendokasi Mbagala inaanza kubeba abiria kuna vimatukio flani hivi kama vya kupoza moto. === Ni rasmi mabasi yaendayo haraka (BRT) awamu ya pili barabara ya Mbagala (Kilwa), yameanza majaribio leo, Msemaji wa Serikali...
  14. JamiiForums Tanzania Unataka kubeba Mimba? Soma hapa

    Kama umekuwa ukihangaika kwa muda mrefu kutafuta njia ya kupata ujauzito bila mafanikio, kuna tiba rahisi, salama na ya asili ambayo inaweza kukusaidia. Hii ni njia ambayo wamama wengi wameitumia na kufanikisha kupata mtoto. Unachohitaji si vitu vingi. Ni viungo vya kawaida vinavyopatikana...
  15. JamiiForums Tanzania Hata kama wanabeba Hivi unaweza kubeba watu wote hawa kila mkoa ? 😳

    Hata kama wanabeba Hivi unaweza kubeba watu wote hawa kila mkoa ? 😳 Cc Lucas Mwashambwa
  16. JamiiForums Tanzania Mnawakumbuka tigo??wazee wa pikpik waliitutesaa sana wakaanza kubeba majukumu ya traffic kabla hawajatolewa resi loh

    n mda sasa leo nimewakumbuka wazee wa tigoo walikuwa wanakamata pikpik na wengine walijilimikisha kabisa mishahara vs bodaboda yaan wakifika kijiweni boda incharge anakuwa ashakusanya mafao wanawapa haitoshi wakanza kuvamia na magari yetu Mungu fundi walifanya matukio kadhaa machafu wakapigwa...
  17. JamiiForums Tanzania Wanaocheka au kubeza CCM kubeba watu kwa magari kuwafikisha kwenye mikutano yao ujumbe wenu ni huu

    Rais Samia Suluhu amejua kuteka nyonyo za Watanzania. Eti "Watu wanasombelewa kwa costa kupelekwa Kawe"..Hili sio jambo la aibu hata kidogo ndugu zangu wa Chama cha Mapinduzi, bali kitendo hiki kinaonesha mapenzi makubwa ya CCM kwa wananchi wake.Fikiria, kuna wanachama wakereketwa haswa wako...
  18. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania China yazindua mpango wa kwanza wa “Roboti anateweza kubeba Mimba”

    Mkurugenzi wa kampuni ya roboti nchini China amezindua mpango wa kwanza duniani wa “roboti mjamzito” – kifaa kitakachokuwa na tumbo la uzazi la kisayansi na kuuzwa kwa takribani dola 14,000. Bei hii ni ndogo mno ukilinganisha na gharama ya kupata mama mbadala (surrogate) binadamu, ambayo huanzia...
  19. JamiiForums Tanzania Hivi Bodaboda wanashindwa kubeba kitu gani?

    Wakuu, Hivi hapa duniani kuna kitu ambacho bodaboda hawezi kubeba? Maana hawa jamaa wanabeba hadi mafriji na ukiwaita wabebe futniture wanabeba Yaani pamoja na udogo wa bodaboda lakini hawa jamaa wanaweza kubeba kila kitu.
  20. JamiiForums Tanzania Kutatengenezwa Multiplanetary rockets hapa Tanzania inayoweza kubeba mzigo kati ya tone laki 5 na tone million 10

    Moja ya njia ya kuweza kufaidika na space economy ni kutengeneza Multiplanetary rockets itakayokuwa na uwezo wa kubeba tone million 1 na zaidi it sound awkward ila lazima iwezekane Hizo rockets zitakuwa za aina nyingi na tofauti na kwa ùchache zitakuwa na sifa zifuatazo Kiwango cha chini cha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…