Funzo: Ukizidiwa kubali yaishe, sio kuanzisha ligi

Funzo: Ukizidiwa kubali yaishe, sio kuanzisha ligi

Kipenzi Changu

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
59,544
Reaction score
139,869

Hili ni funzo kubwa sana katika maisha, kama kuna mtu kakuzidi uwezo nyoosha mikono kubali kwamba amebalikiwa. Badala ya kuanzisha ligi naye, jifunze kupitia kwake ili nawe uwe bora zaidi
 
Jeuri ya mashindano bila uwezo mwisho wake huwa ni aibu na kujidhalilisha tu.
 
Uko sahihi kama ilivyo hiyo video hapo juu, unachotakiwa ni Ku play low Hadi na wewe utakapopata huo uwezo...
 
Watafute mbegu ya kuotesha tako?
Ndio masista duu wa kibongo sikuhizi, wanaotesha makalio but generally mto mada Nafikiri alikuwa na maana ya kwamba usishindane na mtu aliyekuzidi vingi, pambana mdogomdogo na ww uwe kama yeye ili ukishindana nae uwe nae ligi moja...
 
Back
Top Bottom