kuacha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Ni bora Vijana Watanzania tungepigania Maslahi ya nchi yetu sababu huko kwenye kushabikia mpira muda wote hatujapa tija ya kutosha kwenye maisha yetu

    Licha ya sisi vijana kushabikia Simba na Yanga muda wowote bado hutujafanikiwa kutambulika kimataifa kama nchi ya Nigeria na nchi zingine za Afrika Magharibi na Kaskazini wanaofanya vizuri kwenye Soccer na pia hata kwenye kupigania mustakabali wa maisha yao hawapo nyuma. Bora hata jirani zetu...
  2. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI ili la kuacha Halmashauri ziwapangie Ajira Mpya vituo vya kazi, limezalisha Rushwa ,hususan Rushwa ya Ngono !!

    Sijui Hilo wazo alilitoa nani, ni wazo la kijinga kupindukia. Nani asiyejua Halmashauri zetu zilivyo?. Mdogo wangu ananipigia simu, Brother Kuna MTU hapa ananilazimisha mapenzi ndio Sasa anipangie Kituo kilicho Maeneo ya Mjini. Mdogo wangu anaenda mbali anadai, Kuna Rafiki yake katembea na...
  3. G

    JamiiForums Tanzania CCTV video: Wizi wa vitu ndani ya magari, usijenge mazoea ya kuacha vitu ghali kwenye gari,

    kukumbushana sio mbaya, tahadhari muhimu kuliko kusubiri yakukute Muda mwngi katumia kusubiri watu wapite, 2:00 kapiga tukio
  4. B

    JamiiForums Tanzania UTATA: Kazi ya kampuni mkataba miaka miwili 50 milioni versus laki 7 serikalini mkataba wa kudumu

    Ungelikua ni wewe mkuu ungeenda ipi? kati ya hizi mbili Mimi binafsi ningeenda hiyo private company kwa sababu Najiamini naweza kufanya biashara. Mara kibao huwa naona zinatoka kazi kama hizi za short term lakini vijana wanakimbilia serikalini. 👉huwa sijui ni kwanini ni uoga? wakuogopa...
  5. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dawa ya kuacha punyeto hii hapa

    Dawa ya kuacha punyeto hii hapa Nenda kwenye duka za asili nunua unga wa kibiriti upelele changanya na mafuta ya mizeituni, nunua chumvi ya mawe walau nusu. Weka chumvi ya mawe kwenye maji usiku jitahidi usiogee bafuni, jitamwagie hayo maji yaenee mwilini pote...ukimaliza jifute Na taulo safi...
  6. Kijana asiye na makuu

    JamiiForums Tanzania Tatizo la laini kuacha kusoma nikiwa naperuzi intaneti au nafanya matumizi mengine ya simu

    Habari wana JF, Nilichukua simu samsung s21 ultra hz used from dubai kama miezi 2 hv imepita ipo frexh sehem zote sema kimbembe kwenye laini aloo. Ninaweza kuwa naongea na simu au sometime nacheza gem afu ghafla tu laini inaacha kusoma naambiwa no simcard na laini imo afu kusoma tena mpaka mda...
  7. Kijana asiye na makuu

    JamiiForums Tanzania Laini kuacha kusoma ghafula tu nikiwa katikati ya kuperuzi intaneti au hata matumizi mengine

    Habari wana JF, Nilichukua simu samsung s21 ultra hz used from dubai kama miezi 2 hv imepita ipo frexh sehem zote sema kimbembe kwenye laini aloo. Ninaweza kuwa naongea na simu au sometime nacheza gem afu ghafla tu laini inaacha kusoma naambiwa no simcard na laini imo afu kusoma tena mpaka mda...
  8. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Resilience ya 4R za Samia Put 2Test: Kuacha Waandamane, She Has Everything 2Gain & Nothing 2Lose, Kuwazuia, She has Everything 2Lose, Nothing 2Gain!

    Wanabodi, Asubuhi hii nimeguswa na bandiko la mwana jf huyu, Naishauri serikali Kesho isije Ikatumia mabavu, iache CHADEMA wafanye maandamano yao kwa Amani Naunga mkono hoja, Hata mimi, kwanza nimeyaunga mkono haya maandamano Kufuatia Umuhimu wa Maandamano ya UKUTA: Nimehamasika, Nitashiriki...
  9. F

    JamiiForums Tanzania Ni hatari kuacha watu wengi kufuatilia Siasa na Uongozi wa Nchi! Wazindike kwa burudani kama Mipira n.k

    Kenya Kila mtu ni mwanasiasa, anajua Katiba na anaweza kuchambua Financial Bills na kumpinga Rais na Serikali yake muda wowote tena kwa hoja thabiti. Nenda Jacaranda kwenye Bunge la Mtaani la akina Nuru Okanga uone hoja zao.Bunge la Tulia Ackson linasubiri! Kenya kwenye burudani kama mpira na...
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kumekucha: Wanawake watakiwa kuacha Kupenda Kutumia 'Vilainishi' wakati wa Tendo la Ndoa bila Maelekezo Maalum ya Madaktari

    Kama ni mtumaji wa mitandao ya kijamii hususan Instagram, utakubaliana na mimi juu ya ongezeko la watu wanaouza vilaini (lubricant) kwa ajili ya kusaidia wanawake wasipate michubuko wakati wa tendo la ndoa. Kila mmoja akiuza bidhaa ya aina yake, njia tofauti zimekuwa zikitumika katika...
  11. M

    JamiiForums Tanzania KWELI Makamu wa Rais akishika nafasi ya Rais kwa muda wa miaka 3 au zaidi ataruhusiwa kugombea kipindi kimoja tu

    Nimeona mjadala kuhusu mihula anayoruhusiwa kugombea makamu aliyeshika madaraka ya Urais kutokana na kuchukua kiti katikati ya muhula baada ya Rais aliyekuwepo madarakani kushindwa kuendelea aidha kwa kufariki akiwa madarakani, kujiudhuru au sababu za kiafya. Mjadala umechagizwa na kauli ya...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Muonekano wa mchezaji wa Senegal Keita Baldé, baada ya kuacha kujichubua

    Muonekano wa mchezaji wa Timu ya Taifa ya Senegal Keita Balde, baada ya kuacha kujichubua na kurudi kwenye rangi yake ya asili. Pia, soma: Naby Keita mchezaji wa mpira zamani liverpool kasimamishwa kucheza mpira kwa kiburi
  13. Abdul Said Naumanga

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Mahakama Kuu Yabaini Upendeleo Kamati ya Taifa ya Maadili ya Mawakili, Yamtaka AG Kuacha Matumizi Mabaya ya Mamlaka

    Mahakama Kuu ya Tanzania masijala kuu ya Dodoma imebaini upendeleo katika muundo wa Kamati ya Taifa ya Maadili ya Mawakili (National Advocates Ethics Committee) baada ya Wakili Peter Madeleka kuwasilisha shauri la kikatiba akipinga wajumbe wa kamati hiyo, akidai wana mgongano wa kimaslahi...
  14. USSR

    JamiiForums Tanzania Utekaji wa kisiasa utaisha pindi wanasiasa kuacha kutukanana kushililisha viongozi wa kitaifa

    Wapo watu wameapa kutetea na kulinda viongozi kwa jasho na damu na hata udhalilishaji ni kosa kisheria kiusalama halikubaliki. Chadema kimekuwa chama cha kutuma vijana wasio kiwa na maadili kutukana viongozi bila kujua wanalindwa na matusi,dhihaka za kila namna Ukija kutukana jua utajificha...
  15. KijanaHai

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, kumfungulia Biashara mkeo unaweza kuacha kutoa pesa ya matumizi nyumbani?

    Wanaume kwenye familia imekuwa ni jukumu la msingi kuhudumia familia lakini bado wanaume ndo wenye jukumu la kuhakikisha ndoto za familia na maendeleo mengine yakue kwa kipato anachopata. Lakini naomba kuuliza endapo mwanaume hasa waliopo kwenye ndoa je unapoamua kutafuta mtaji na kufungu...
  16. Kadodo1

    JamiiForums Tanzania Okoa maisha ya uwapendao kwa kuacha matumizi ya nishati zisizo safi za mkaa

    Okoa maisha ya uwapendao kwa kuacha matumizi ya nishati zisizo safi za mkaa, kuni na nyinginezo. Matumizi ya nishati zisizo safi husababisha athari za kimazingira zinazopelekea mabadiliko ya tabianchi kama kuongezeka kwa joto, mvua zisizokuwa na mpangilio, ukame pamoja na uharibifu wa mfumo wa...
  17. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Wazee kumshauri Tundu Antipas Lissu kupumzika au kuacha siasa kabisa

    ni kwa upendo na mapenzi makubwa, wazee wa mkoa wa singida wanapanga kukutana, kujadili na kuamua mustakabali wa siasa za kijana wao mpendwa Tundu Antipas Lisu kutokana na hali yake ilivyo, hasa baada ya kuthibisha mwenyewe juu ya utimamu wa mwili wake, ukilinganisha na majukumu na kazi nzito...
  18. G

    JamiiForums Tanzania Bill Gates na Mark Zuckbereg walikuwa matajiri walipoamua kuacha masomo, kijana usifuate kila unachoambiwa na motivational speakers, Utaangukia pua.

    Mark Zuckbereg - Facebook, Whatsapp, Instagram, n.k. Bill Gates - Microsoft Tayari walikuwa wametengeneza pesa, wana wafadhili wa projects zao...Wewe kijana unaetaka kuacha masomo kitu pekee unachomiliki kilaptop na simu unataka kuwaiga fikiria mara mbili, do your research. Sio hivyo tu, hawa...
  19. Bonsipele69

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Napenda kuacha pale mpenzi anapokosea mara kwa mara. Hali hii inanigharimu kwenye mahusiano yangu

    Hey folks, Mimi ni mwanaume mpole, mwenye hisia sana na ninaejali kupitiliza. Nimekuwa na tabia hii huwa nakereka sana na tabia ya mpenzi kurudia kosa moja mara kwa mara hali hii hupelekea kutamka neno tuachane mara kwa mara japo haimaanishi kuwa nimetamka kwakuwa simpendi wala kumuhitaji...
  20. mdukuzi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Aliyemuoa mtoto wa Rais Hussein Mwinyi ndio kaoa,sie wengine tulioa ili mradi tusije kufa bila kuacha watoto

    Mwanamke anakupa stress ukienda kwao mlango wa jikoni ukiupiga teke unadondoka. Choo mlangoni wameweka gunia au khanga Kanyumba kenyewe ka slope sebuleni ndio stoo ya kutunza udaga. Ukimleta mjini akaanza kutakata anaanza maringo bila kujali umemsitiri. Huyu mwamba wa Arusha aliyeoa mtoto wa...
Back
Top Bottom