kongamano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Rukwa: Polisi Wazuia Kongamano la Katiba Mpya, Askofu Mwamakula aahidi Kupatikana kwa Katiba mpya hivi karibuni

    Hivi ndivyo ilivyokuwa baada ya Polisi wenye mitutu kufika kwenye ofisi za Chadema Mkoani humo na kuzuia Kongamano kubwa la Katiba mpya lililokuwa na wazungumzaji kadhaa, akiwemo Baba Askofu Mwamakula. Hata hivyo Baba Askofu Mwamakula amewaahidi Wananchi mkoani humo kwamba Katiba Mpya...
  2. JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi mkoani Mbeya laandaa kongamano la injili litakaloongozwa na Mwl. Christopher Mwakasege

  3. JamiiForums Tanzania Diaspora waanza kupanda ndege ili kuwahi Kongamano la miaka 60 ya Uhuru lililoandaliwa na CHADEMA

    Mmojawapo ni huyu anayeitwa Rehema Mugogo , ambaye tayari ana tiketi mkononi ili kuwahi Kongano hilo lililo gumzo kote duniani , litakalofanyika kwenye ofisi za Makao Makuu ya Chadema , Kinondoni nje ya Jiji la Dar es Salaam .
  4. JamiiForums Tanzania Waziri wa Afya, Dkt. Dorothy Gwajima kumwakilisha Rais Samia kwenye Kongamano Nchini Urusi

    Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Dorothy Gwajima anatarajia kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan katika Kongamano la tatu la Kimataifa la Wanawake litakalofanyika nchini Urusi kwa siku tatu kuanzia Oktoba 13-15, 2021...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Kongamano la uwekezaji katika sekta ya misitu kufanyika Iringa Novemba 10 - 12

    Mkoa wa Iringa ambao una miliki 40% ya misitu ya nchini Tanzania unatarajiwa kufanya Kongamano kubwa la wawekezaji na wadau wa sekta ya misitu tarehe 10 hadi 12 Novemba 2021. Akizindua maandalizi ya Kongamano hilo Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mh Queen Sendiga alisema ‘’ Mkoa wa Iringa ni kinara wa...
  6. JamiiForums Tanzania Pamoja na kuzuia kivuko kufanya kazi, Kongamano la Katiba Mpya lafana Ukerewe

    Kama tulivyowahi kueleza huko nyuma, nguvu ya umma haijawahi kuzuilika kamwe, hii ni kwa sababu binadamu si kama mifugo kwamba unaweza kuiburuza utakavyo. Bavicha inaendelea na makongamano nchi nzima kama ilivyopangwa . Hapa ni Ukerewe , 10/10/2021
  7. JamiiForums Tanzania Dodoma: Waziri Mkuu awataka vijana kuchangamkia fursa za kiuchumi

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ametoa rai kwa Vijana kuchangamkia fursa za kiuchumi zilizopo kupitia sekta mbalimbali zikiwemo Kilimo, Maliasili, Utalii, Ujenzi, Uchukuzi, Mawasiliano, Nishati, Madini, Viwanda na Biashara. Amesema hayo leo akiwa katika Kongamano la Tano la Taifa la Uwezeshaji...
  8. JamiiForums Tanzania Kutoka Julius Nyerere International Convention Centre: Kongamano la Maudhui ya wazawa Kushiriki Mradi wa Bomba la Mafuta ECOP

    Mgeni Rasmi, Waziri wa Nishati na Madini Mh. January Makamba, wengine ni naibu waziri wa nishati na Madini
  9. JamiiForums Tanzania Kongamano la Katiba mpya lafanyika Tarime kwa amani na utulivu

    Siku zote tumesema humu na kurudia mara nyingi sana kwamba , HAKUNA MAHALI POPOTE KATIKA DUNIA HII AMBAPO SHETANI ALIWAHI KUMSHINDA MUNGU , japo wapagani wametupuuza mara zote lakini ukweli huu hauwezi kupingwa . Pamoja na RC wa Mara kumwaga majeshi yote barabarani na mitaani , ikiwa ni pamoja...
  10. JamiiForums Tanzania Musoma: Polisi Wazingira ofisi ya CHADEMA kulikopangwa kufanyika kongamano la Katiba Mpya

    Hii ndio taarifa mpya inayosambaa duniani kwa sasa , kwamba Baada ya polisi kutumwa na RC kufanya usafi kwenye ofisi za Chadema , walipofika wakaizingira ofisi hiyo na kuiweka chini ya ulinzi na kuzuia kongamano hilo muhimu kufanyika . Mungu ibariki Chadema
  11. S

    JamiiForums Tanzania Polisi: Kufanyia kongamano la Katiba ni kuvunja Katiba na sheria za nchi

    Hawa ndio Polisi wetu na hii ndio Tanzania chini ya Raisi Samia. Jisomeni wenyewe maneno haya ya RPC wa Mkoa wa Mara:
  12. JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi lazuia kongamano la wananchi la katiba lililokuwa lifanyike Dar es Salaam

    Hii ndiyo Taarifa waliyoisambaza usiku huu, sasa ni dhahiri Jeshi la polisi linapaswa kuvunjwa na kuunda upya ama IGP afukuzwe kazi. USA pamoja na Ugaidi wa kweli uliofanyika Kabul bado wanaendelea na kazi waliyoianza , ndio iwe suala la Hamza ?
  13. JamiiForums Tanzania Kongamano la Wananchi la Katiba kufanyika Lamada Hotel tarehe 28/8/2021

    Hii ndio Taarifa iliyotolewa na waandaaji wa kongamano hilo Magwiji kadhaa wa Mambo ya katiba watakuwepo na watatoa mada MUHIMU : Tufuate mwongozo wa WHO wa kujikinga na Corona
  14. JamiiForums Tanzania Wanakijiji Pombambili wafanya kongamano kupinga kuuzwa kwa Messi

    Wanakijiji wa Kijiji Cha Pombambili, wamefanya kongamano kupinga kuuzwa kwa Messi kwenda PSG. Kongamano limefanyika leo kijijini hapo na kuhudhuriwa na mashabiki wengi sana wa Barcelona wakiwa wamevalia jezi zao maridadi. Kwa kweli wameumizwa sana
  15. JamiiForums Tanzania Singida: DC Mwenda ashiriki kongamano la wakulima

    MHE MWENDA ASHIRIKI KONGAMANO LA WAKULIMA-SINGIDA Mkuu wa Wilaya ya Iramba Mkoani Singida Mhe Suleiman Yusuph Mwenda ametembelea Kongamano la wadau wa Alizeti lililofanyika Singida Mjini na kuzungumza masuala mbalimbali ikiwemo kuwaeleza wadau wote kuwashirikisha wakulima wengi zaidi katika...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Tuliwazuia kufanya Kongamano, wameamua kuelekea kwenye nyumba za ibada ambayo ni haki ya kikatiba pia

    Kwenda kanisani kufanya Ibada Ni haki ya kikataba ndani ya Jamuhuri ya Muungano ya Tanzania. Wanaotaka katiba wamenyimwa kufanya makongamano, bila kuathiri Hali ya usalama wameamua siku ya ibada wavae t-shirt zao za kutaka katiba mpya. Naamu waumini wameamua kufanya t-shirt za katiba mpya kuwa...
  17. P

    JamiiForums Tanzania Kongamano la Katiba Mpya Liendelee: Mnyika achukue nafasi ya Mbowe

    John Mnyika ajitathmini kama Katibu Mkuu wa CHADEMA na kuendeleza mipango ya Kongamano la Katiba Mpya licha ya yaliyotokea ili tujue kama kweli mashitaka ya ugaidi dhidi ya Freeman Mboye yana mashiko. Kama tatizo ni "ugaidi" wa Mbowe tu, basi sioni kwanini CHADEMA isiendelee na ratiba yao ya...
  18. JamiiForums Tanzania Ikiwa Mbowe hakukamatwa kwa sababu ya Kongamano la Katiba Mpya, wengine wameshikiliwa kwa kosa gani?

    Polisi Tanzania, nadhani kwa sasa ndio Taasisi inayotia aibu zaidi duniani, Walimkamata Mbowe na wenzake kwa kuandaa kongamano la Katiba mpya, mitaa yote ya Mwanza walimwagwa polisi na hotel kulikopangwa kufanyika kongamano hilo ikiwekwa chini ya Ulinzi mkali kuanzia ndani hadi nje na...
  19. JamiiForums Tanzania Baada ya RC Mwanza kuzuia Kongamano la Katiba kutokana na COVID-19, tunaamini onesho la muziki la Fally Ipupa pia litazuiwa kwa sababu hizo hizo!

    RC wa Mwanza jana katangaza kuwa kuanzia leo, mikusanyiko inayoruhusiwa jijini Mwanza ni ile inayouhusiana na ibada na misiba ili kuzuia kusambaa kwa maambukizi ya korona. Assume yupo sahihi kuwa imekuwa proved scientifically maambukizi ya korona hayawezi kutokea ibadani na misibani. Sasa...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Mbowe na wenzake wanyakuliwa na Polisi usiku wa manane, haijulikani wako kituo gani

    Usiku majira ya saa tisa, Polisi walivamia Hoteli aliyokuwa amefikia Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa na wageni wengine pamoja na wenyeji wao. Waliochukuliwa: 1. Freeman Mbowe 2. John Pambalu 3. John Heche 4. Rose Mayemba 5. Masenya(Mwenyekiti BAVICHA Ilemela) 6. Steven Odipo 7. Dr. Rwaitama 8. Seti...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…