Afu demu awe mcharuko asee unaweza kupungua kilo 2 kwa kila saa.
28 huna mke hujaoa unasubiri nini? Malaya wengi wameongua na hao hao wa mtaani ndio wanaojipanga ikifika usiku.
Kwanini usiende zako kagera ukachukua zako mtoto wa kitutsi ukaenjoy bila stress
Mwisho, wito kwa serikali wazuie...
Wakati Tanzania ikiungana na mataifa mengine duniani kuadhimisha Siku ya Kondomu jana Februari 13, 2026, imebainika kuwa bado kuna changamoto ya uelewa kuhusu matumizi sahihi ya kondomu, huku takwimu zikionesha kushuka kwa matumizi kwa asilimia tano nchini.
Licha ya jitihada zinazoendelea za...
Mzuka wana JF , hii ni laivu naileta kwenu toka kwa pm yangu hapa JF. ni mwenzetu wa ke tumejuana mda tu....ushauri jamaniiii
Habari kaka samahan naomba unipostie ficha jina langu lakin msinicheke usiku wakata tunafanya mapenzi tulikua tuna fanya na kondom kila mda jamaa ananiambia niitoe...
Ilikuwa asubuhi na mapema nilifungulia redio moja maarufu sana hapa nchini (jina kapuni), mara akasikika motivational speaker mmoja (naye jina kapuni) akisema:-
"ukitaka kufanikiwa kimaisha angalia changamoto inayoikumba jamii yako then igeuze kuwa fursa halafu jikite kwenye biashara moja...
Mwanamke mmoja nchini Kenya ambaye amehifadhiwa jina lake, alijikuta katika wakati mgumu sana uliopelekea Afya yake kuzorota mpaka kukaribia kufa.😳😳
Ni baada ya kujiingizia ndizi ukeni ambayo ilizama moja kwa moja na kushindwa kuitoa.😳🤯
Baada ya hapo, alianza kusikia maumivu makali huku ndizi...
Saa 12 asubuhi, mtu kashuka kitandani, hajafikiria maji wala sabuni, lakini tayari yuko kwenye daladala. Jamani, unajua ananuka kama amegaragara na mwanamke halafu akaamua kwenda moja kwa moja kazini? Hakuna hata sekunde ya kufikiria kuwa wenzako pia wanapumua?
Najua wanaume hatupaswi...
Utaskia hua inaniwasha, mara ooh huwa inanisababishia fangas, ooh nina aleji na harufu yake ntapata mafua sasahivi n.k,
nini kifanyike ili jamiii hii ya wanawake na wanaume pia wapende kutumia kondomu wakati wa kufanya mapenzi?
huenda leo hii asubuh, kuna mtu kaamka na maambukizi ya vvu...
Eti wakuu mume aliyesahau kinga (kondomu) kwenye mfuko wa suruari yake ni wa kufokewa kweli?
Unarudi home mtu kaiona tu basi imeshakuwa nongwa anabwata siku nzima hadi majirani wanasikia.
Hivi wakuu huyu mume si wa kupongezwa huyu, maana anamaanisha anaijali familia yake hataki kuiletea...
Wanachuo wanatumika zaidi ya madada poa ni wajuaji, wabishi na wajeuri now days wanajiita feminist ni uchafu mtupu.
Ona Binti wa kidato Cha nne au aliemaliza darasa la Saba inatosha.
Utapata mke wa kulea watoto wako na kupata malezi Bora
Wanachuo wa kike ni takataka
Assalam Aleikum,
Nimekuja Festival toka ijumaa jioni sasa leo kwenye moja-mbili nimeopoa binti Afisa Burudani II nikajiburudishe ila Kondom adimu pharmacy hata maduka madogo ya mitaani (kuanzia stendi kuu, Kijenge hadi Njiro).
Wanadai mzigo ndio umepakiwa Dar unakuja na mabasi ya usiku...
Unaweza kuingia sehemu za kupumzikia wageni mathalani hotelini, guest house au lodge usikute box au pakiti ya kondomu mezani, hata sabuni siku hizi mpaka uombe kwa muhudumu tofauti na kipindi cha nyuma vyote unavikuta chumbani.
Na wakati huo mtu anaweza kuwa na mchepuko mmoja tu Lakini anatumia...
Nimepata kukutana na marafiki zangu kadhaa na wamekuwa wakidai kuwa, wao hawapendi kabsa kutumia kondomu wakiwa kwenye faragha zao, huku wakidai kuwa mafuta au vilainishi vilivyomo ndani ya Kondomu zinawafanya wapate upele pamoja na miwasho.
Naomba kuuliza, Je ni kweli matumizi ya Kondomu...
Nchini Tanzania, serikali inatoa kondomu bure ili kuhamasisha ngono salama na kupambana na kuenea kwa virusi vya UKIMWI. Hata hivyo, hedhi, ambayo ni hali ya kibiolojia isiyoepukika kwa wanawake na wasichana, mara nyingi haipati msaada sawa. Hii imekuwa ikiniacha nikijiuliza, ikiwa kondomu...
Mwanza. Ni jambo ambalo halikutarajiwa na wengi na isivyo bahati, uwe mgeni ama mwenyeji hapa mjini Mwanza ukipita pembezoni mwa mazingira ya shule za msingi Kitangiri A na C zilizopo pembezoni mwa uwanja wa CCM Kirumba kuanzia majira ya saa moja jioni utakutana na makundi ya wanawake wanaofanya...
Condoms za siku hizi zimekuwa ndogo, zinabana na zinatoa harufu mbaya
Yaani nikivaa kondom siku hizi inaweza funika tu nusu ya uume nusu ikaingia ukeni bila kufunika uume wote
Sijui kuna agenda ya kutuua kimya kimya, kwa kututengezea kondomu zinazovutia na kumtosha kila mwanaume na zisizo na...
Mbunge wa Ilemela (CCM), Dk Angelina Mabula ameitaka Serikali kujenga uzio katika Shule ya Msingi Kitangili iliyopo mkoani Mwanza ili kuokoa maisha ya watoto wanaochezea kondomu katika uwanja wa mpira.
Akiuliza swali la nyongeza bungeni leo Jumanne Aprili 23, 2024, Dk Mabula amesema eneo hilo...
Hii vita dhidi ya maambukizi ya Virus vya ukimwi inaenda kuwa next level sasa!
Unahisi ni jambo sahihi sehemu za kazi kuwekewa Mipira ya Kondomu?
===
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Afya na Masuala ya UKIMWI imeshauri serikali kuongeza nguvu ya mapambano dhidi ya virusi vya UKIMWI katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.