kondomu

  1. Frumence M Kyauke

    Ifahamu kondomu

    Kondomu ni kifaa/ zana iliyotengenezwa mahususi kuvalisha uume au kuwekwa ukeni wakati wa kujamiiana.Nazo hubana kutokana na umbile la uume au uke. Kondomu hizi zipo za aina tofauti kutokana na muda na vipindi zilipotengenezwa, nazo ni kama ifuatavyo:- Awamu ya I – zilizotengenezwa kwa mimea...
  2. Analogia Malenga

    California, Marekani: Kuchomoa kondomu bila taarifa wakati wa tendo yatangazwa kuwa kosa kisheria

    Gavana wa jimbo la California Gavin Newsom amesaini sheria inayopiga marufuku utoaji wa mipira ya kondomu bila makubaliano iliyowasilishwakatika muswada ulioitwa "stealthing". Sheri ampya inaongeza kipengele katika ufafanuzi wa sheria ya jimbo hilo kuhusu ngono na hivyo kuifanya California kuwa...
  3. Fbn

    Je, kondomu nayo sio plastiki?

    Wizara inayoshugulikia mazingira imepiga marufuku kama mirija ya kunywa juice na vingine. Ila sasa tunajiuliza tunazuia vipi vitu ambavyo ni pato. Sawa na sigara na hatari za kiafya. Watumiaji wa kondomu ni wengi kuliko watumiaji wa bizaa za plastic. Kwa maana plastic inaweza kurudiwa...
  4. mshale21

    Iringa: Kondomu zaadimika, Baraza la Madiwani lazua mjadala

    Suala la kuadimika kwa mipira ya kiume(kondomu) limezua mjadala mkali kwenye Baraza la Madiwani Halmashauri ya Manispaa ya Iringa, ambapo madiwani hao wamedai linakwamisha mapambano dhidi ya UKIMWI na kudai kuwa mipira hiyo haipatikani kwenye nyumba za wageni na maeneo ya starehe.
  5. robinson crusoe

    UKIMWI umeua Waafrika kuliko COVID-19; mbona haujalazimishwa kutumia kondomu, mbona viongozi wa dini wanapinga?

    Nahisi viongozi wetu wana usahaulifu au uelewa usiolingana na wananchi wa nchi hii. Viongozi wa dini wamepinga matumizi ya kondomu miaka yote, lakini hatujawahi sikia serikali ikiagiza wakamatwe. Dini zote kubwa hapa nchini, hawataki kuruhusu waumini wao kutumia kondomu. Kosa la Gwajima lina...
  6. and 998 others

    Mauzo ya Kondomu yamepungua sana

    Katika biashara yangu ya duka la dawa. Mauzo ya Kondomu yamepungua ghafla kwa miezi miwili mfululizo. Kwa wastani nilikuwa nauza kondomu 150 kwa siku. Ila kwa Sasa nauza kondomu 6 kwa wiki. Chanzo Ni COVID-19?
  7. mwalidebe

    Mke wangu anatoka maji ukeni baada ya kutumia Kondomu aina ya Salama

    Ndugu zangu nawasalimu nyote. Wiki mbili zilizopita nilikutana na mke wangu kwa tendo la ndoa na tukatumia kondomu kama kinga kuzuia ujauzito. Toka tulipotumia Kondomu mke wangu anatokwa na majimaji sehemu za siri. Je, wakuu shida inaweza kuwa nini? Mimi nimekuwa mwaminifu kwake la ningekuwa...
  8. F

    Kisa cha mapenzi: Kama asingetumia kondomu huenda angelea mtoto asiyewake au kupata maradhi

    Kevin alikua akifanya mapenzi na Aisha wakitumia kondomu. Waliendelea tendo kwa muda wa dakika tano. Ghafla Aisha akamwambia kevin avue mpira ili waendelee kufanya mapenzi bila mpira wa kondomu. Kwa vile Kevin hakujua hali ya Asha ya UKIMWI na pia hakutaka kumpa mimba. Kevin alikataa...
  9. and 998 others

    Uvaaji Kondomu uboreshwe

    Kama ilivyo msisitizo katika kuvaa barakoa nashauri elimu itolewe uvaaji wa kondomu usisitizwe wakati wote kujiepusha na maambukizi japo unapunguza utelezi.
  10. Analogia Malenga

    Mipira ya kondomu yenye hitilafu yazua hisia kali Zambia

    Mbunge mmoja wa Zambia amelinganisha usambazi wa mipira ya kondomu nchini humo na glavu kutokana na bidhaa hizo mbili kushindwa kuafikia viwango vya usalama na ‘mauaji ya kimbari’. ‘’Kile ambacho wizara ya afya inakifanya ni mauaji ya kimbari'' mbunge Mwansa Mbulakulima aliambia BBC. Unapoweka...
  11. Analogia Malenga

    Waganda waishtaki Marie Stopes baada ya kondomu walizotumia kupasuka

    Raia watatu wa Uganda wameishtaki mamlaka ya dawa nchini humo pamoja na shirika la kimataifa la Marie Stoppes kwa kupata magonjwa ya zinaa na ujauzito baada ya kutumia kondomu ambazo hazikuwa na ubora. Taasisi hiyo isiyokuwa ya kiserikali ilisambaza kondom ambazo baadae mamlaka ya dawa...
  12. Kaka Pekee

    Kondomu kujaa na kuziba mitaroni!

    Nimepita baadhi ya Vichochoro hapa Mitaa ya Manzese Mitaro Inaonekana Imeshiba hadi kurudisha Chenji huku asilimia kubwa ya Unavyoweza kuviona pembezoni au ndani ya Maji hayo vikielea ni Mipira ya Kiume (Kondomu). Hii ikanikumbusha siku niliyomuona mtoto mmoja akipuliza Kondomu kama...
Back
Top Bottom