kombe

Kömbe is a kind of börek from [[Sivas, Malatya Province Turkey. It exists in both the cuisine of Turkey and that of Azerbaijan and is popular among both Turkish and Azerbaijani people.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ligi ya Muungano kuanza kutimua vumbi Aprili 23, 2024

    Ligi ya Muungano limerejea sasa litaanza kutimua vumbi 23/4/2024 Kwa Tanzania bara zitashiriki team mbili ambazo ni Simba na Azam pia upande wa Tanzania visiwani zimetoka KMKM naKVZ. Yanga hatashiriki mashindano haya kwa kuwa hakualikwa labda angealikwa angebeba kombe lenyewe na mtani msimu huu...
  2. JamiiForums Tanzania CAF Confederation Cup yafutwa. Msimu ujao kutakuwa na mashindano mawili tu

    Msimu wa 2024/2025 kutakuwa na mashindano ya African football league na CAF champions league. African football league itahusisha timu 24 ambazo zitatoka kwenye zone tatu kulingana na rank zao za CAF. Zone 1) North Africa Zone 2) West / Central Africa Zone 3) South / East Africa Kwa sheria...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Nimezidi kuumia baada ya kuona Mamelodi amepangwa na Esperance nusu fainali. Yanga ilikuwa inaenda fainali, hata kushinda kombe

    Nimeona draw ya nusu fainali ya CAFCL nimezidi kuumia. Mamelodi ambaye ndio kapewa nafasi yetu amepangwa na timu dhaifu ya Esperance. Kwa tuliyoitazama Esperance ilivyokuwa hatua ya makundi na robo fainali, huu ni mteremko kwa Mamelodi. Mamelodi anaenda kushinda nje ndani na kutinga fainali...
  4. G

    JamiiForums Tanzania Tukomae kutoa aibu ya kuwa nchi isiyo na kombe , Yanga na Simba za sasa zinaweza! Ligi ya Mabingwa ni kwa wazito wenye pesa nyingi na connections

    Ni meza yenye vinywaji ghali ukionekana unataka kuitikisa wata deal na wewe, mfano ni Yanga alitaka kudiriki kutikisa meza, chap akashughulikiwa. Mwaka jana Yanga alifika fainali ya shirikisho lakini ikawa ni heshima kubwa sana, Hapa nchini hakuna timu iliyowahi kufikia fainali ya kombe la...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Vituko vya mamelodi mwaka 2016 alitolewa Champions league kisha akaenda akatolewa kombe la shirikisho. Maajabu akatwaa ubingwa wa champions league

    Mamelodi sundowns ni timu yenye CV ya ajabu sana. Imewai kutwaa kombe la africa mara moja mwaka 2016. Na hiyo mara moja walitwaa kwa vituko vingi sana. Vinachekesha. Baada ya kushindwa uwanjani waliamua Mpira uchezwe na wanasheria wa mamelodi mahakamani Mwaka huo 2016 mamelodi alishiriki...
  6. JamiiForums Tanzania Robo Fainali CAFCL: Simba kukutana na Al Ahly, Yanga yapangwa na Mamelodi Sundowns

    https://www.youtube.com/watch?v=Wi1gdJiCIt4 The Quarter-Final draw for the 2023/24 TotalEnergies CAF Champions League and TotalEnergies CAF Confederation Cup will be conducted Today, 12 March 2024. The draw will be conducted in Cairo, Egypt starting with CAF Confederation Cup at 14h00 Cairo...
  7. JamiiForums Tanzania Msimu huu kombe la ligi kuu na tuzo zake hampati hata moja

    Bingwa. Yanga Kocha bora. Gamondi Kipa bora. Diarra Beki bora. Yao Kiungo bora. atatoka Yanga MVP . atatoka Yanga Simba sijui mtapata nini msimu huu.
  8. J

    JamiiForums Tanzania Kombe la Shirikisho (CAFCC) au Loser Cup limefutwa?

    Kombe la Shirikisho ambalo ni shindano pendwa la Yanga limefutwa? Maana sisikii tena likizungumziwa hata wachambuzi wala mashabiki Vip hili kombe limefutwa au ndio kuwa halina mvuto kabisa hadi limesahaulika na kila mtu?
  9. S

    JamiiForums Tanzania Utaratibu za zamani uliruhusu timu ambayo sio Bingwa wa Ligi kushiriki Kombe la Club Bingwa?

    Naombeni majibu kwani kama sikosei, zamani kama sio Bingwa hushiriki hili kombe. Mwenye majibu ya uhakika atusaidie.
  10. JamiiForums Tanzania FAINALI: Yanga Vs Mamelod Sundowns, nani kulibeba kombe?

    Kwa pira la mtani jana, basi kuna uwezekano wakatinga fainali na ikawa Yanga vs Mamelod. Je, unatupa karata kwa nani? Asee watani jana mlijua kutukomesha. Soka safi lenye matokeo chanya. Lile liPacome, sijui Aziz K asee so nice. Kipa safi kabisa na defence ya maana. Pale kati mliupiga mwingi...
  11. JamiiForums Tanzania Matokeo ya ushirikiano kati ya China na Afrika yafanya Kombe la Afrika kung'aa zaidi

    Michuano ya 34 ya Kombe la Mataifa ya Afrika inaendelea nchini Cote d'Ivoire. Kwenye lango la kuingia katika Uwanja wa Olympic wa Abidjan, mji mkuu wa kiuchumi wa Cote d'Ivoire, mashabiki kutoka nchi mbalimbali waliokuwa wamevalia bendera za nchi zao na kushikilia pembe ya kupuliza wamejaa...
  12. JamiiForums Tanzania FIFA⚽ kutangaza Ratiba ya mechi za Kombe la Dunia la FIFA 2026: 🇹🇿Tanzania yahitaji kushinda mechi zote zilizobakia, kushiriki

    Watanzania wenzangu, ngoja nibaeleze. Kutoka kwenye Vyombo vya habari- FIFA itatangaza ratiba ya mechi za Kombe la Dunia la FIFA 2026™ leo Jumapili, tarehe 4, mwezi wa 2 2024 saa Tano usiku. Tangazo hili litaonyeshwa moja kwa moja mubashara kwenye tovuti ya FIFA.com na FIFA+1, na pia...
  13. JamiiForums Tanzania Simba imeyaheshimisha mashindano ya Kombe la Mapinduzi

    Wakati kuna katimu kanajifanya kana "besi" la kusema mashindano ya kombe la mapinduzi hayana maana na kwamba yana gundu, Simba haikusikia kelele za vyura hao na badala yake imeyapa mashindano ya Kombe la Mapinduzi heshima inayostahili. Ukiacha kombe itakalobeba leo na zawadi za pesa, nadhani...
  14. JamiiForums Tanzania Kombe la Mapinduzi linatukumbusha haya ndiyo "Mapinduzi ya Zanzibar"

    Kuna wakati mtaani kulikuwa na msemo wa "Mapinduzi ya Zanzibar" kumaanisha mambo yanayotokea yasiyoeleweka au yanayochanganya kiasi cha kuvuruga akili za watu. Tumeona katika nusu fainali hii ya Simba vs Singida maana halisi ya msemo huo. Tukianzia, dakika za nyongeza zilitajwa 8 halafu...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Kombe la Mapinduzi limekaa kimapindu sana

    Kama unadhani kombe la Mapinduzi ni rahisi, basi waulize APR na Singida. Kombe linaitwa Mapinduzi, maana yake muda wowote utarajie Mapinduzi. Mashindano ya kombe hili ni magumu sana.
  16. JamiiForums Tanzania Kamati ya mashindano ya kombe la Mapinduzi inahujumu mashindano na kuyafanya yawe kituko mbele ya mataifa mengine yaliyo serious na kukuza soka

    Kamati ya mashindano ya Kombe la Mapinduzi ilikuwa na nafasi kubwa ya kufanya haya mashindano yawe na heshima na hadhi ya juu kimataifa, lakini figisu na kukesa weledi kunafanya mashindano yaonekane kituko hasa kwa timu wageni tunaowaalika. Ushauri wangu kwa kamati ya mashindano haya, isiundwe...
  17. JamiiForums Tanzania Kombe la Mapinduzi ni mnada wa wachezaji wa Zanzibar

    Wazanzibar wana akili nyingi sana kuliko wale wenzao wa kuleee. Baada ya kuua ligi ya muungano baadae wakagundua kuwa walikosea. Ligi ya muungano ilikuwa sehemu ya wazi ya kuviona vipaji kutoka Zanzibar na kuvisajili kwenye timu za bara (ajira). Baada ya walevi na ulevi wao wa kuuchukia...
  18. JamiiForums Tanzania Mkumbuke tu Kombe La Mapinduzi Lina Ile Laaana kama Community Shield ya Uingereza.

    Habari wana Jukwaa. Weekend inaanza. Ila hapa nataka niwakumbushe kitu kimoja kua msijisahau kua Team ambayo hua inabeba Kombe La Mapinduzi Mara Nyingi hua haibebi Kombe La Ligi Kuu Tanzania Bara. Hii ni sawa na COMMUNITY SHIELD ya Epl Team ambayo hua inabeba ile ngao mara nyingi hua haibebi...
  19. JamiiForums Tanzania Refa wa Kombe la Mapinduzi kanichekesha sana!

    Nilikuwa nacheki highlights za mechi ya Singida na JKU kwenye Kombe la Mapinduzi. Kuna goli la Singida lilikataliwa wakazua mzozo na Refa. Refa kumaliza soo akamlima mchezaji wa Singida Hamad Waziri kadi ya njano huku anamrushia matusi. Inaonyesha kuna maneno ya kuudhi ambayo Waziri alimtamkia...
  20. JamiiForums Tanzania Jinsi Simba ilivyodondosha points kizembe ambazo zingerahisisha safari ya Kombe la Dunia

    Jana wakati nashushia pilau langu kwa mvinyo, nikaanza kukumbuka points ambazo Simba imezidondosha KIZEMBE SANA katika hii misimu minne iliyotumiwa na FIFA kujua timu za kwenda Kombe la Dunia. Nimegundua Simba ingekuwa makini, leo hii tunapoongea hapa ingekuwa na point si chini ya 70 na hivyo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…