Kombe la Shirikisho (CAFCC) au Loser Cup limefutwa?

Johnny Sack

JF-Expert Member
Jan 21, 2017
8,834
18,837
Kombe la Shirikisho ambalo ni shindano pendwa la Yanga limefutwa?
Maana sisikii tena likizungumziwa hata wachambuzi wala mashabiki
Vip hili kombe limefutwa au ndio kuwa halina mvuto kabisa hadi limesahaulika na kila mtu?
 
Hujui?
 
Miaka hii mitatu hamna raha kabisa.
 
Kombe la Shirikisho ambalo ni shindano pendwa la Yanga limefutwa?
Maana sisikii tena likizungumziwa hata wachambuzi wala mashabiki
Vip hili kombe limefutwa au ndio kuwa halina mvuto kabisa hadi limesahaulika na kila mtu?
Timu ya Simba ilichoma uwanja na bado ilitembeza gari kinyume nyume kutoka Bunju hadi Temeke sababu ya kombe hilo hilo. Ila ajabu haikuwahi kuambulia kitu.
 
Back
Top Bottom