kodi

  1. JamiiForums Tanzania Kodi ya biashara iko vipi Tanzania

    Nimefanya biashara ya vitenge kutoka Holland. Nilishirikiana na wenzangu mzigo ulishukia Ghana. Kwakuwa nilikuwa ninaanza, wateja walikuwa wananifuata nyumbani. Nimewasiliana na kiwandani watakuwa wananitumia mzigo bandari ya Dar. Mzigo ni mkubwa, ni mpango wa kufungua duka la wholesale...
  2. JamiiForums Tanzania Waoaji kulipa kodi badala ya mahari

    Ni takribani miezi minne sasa hakuna ndoa iliyofungwa katika kijiji kimoja la jimbo la Kano, nchini Nigeria tangu chifu wa eneo hilo kuanzisha malipo ya kodi ya harusi. Ado Sa'id, ambaye ni chifu wa kijiji cha Kera kaskazini magharbi mwa Nigeria, amewataka mabwana harusi kulipa kodi ya kiasi...
  3. JamiiForums Tanzania Ni bidhaa zipi zisizo na kodi?

    Ni bidhaa zipi zinazoingia ndani ya Tanzania kutoka nje ya nchi bila kodi Tanzania? Kwa mfano pedi za wanawake nasikia hazina kodi ila sijaprove.
  4. JamiiForums Tanzania Makusanyo ya kodi yazidi kupaa

    KATIKA kipindi cha miaka minne ya uongozi wa Rais John Magufuli, makusanyo ya kodi yameongezeka kwa kiwango cha kuridhisha. Mafanikio hayo yametokana na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kuweza kukabili changamoto mbalimbali, zilizokuwa zikiikwamisha kukusanya kodi mbalimbali nchini. Hayo...
  5. JamiiForums Tanzania Una mtaji ila hauna pesa ya kodi ya fremu? Zijue biashara zisizohitaji fremu

    Siku hizi watu wengi sana kinachowakwamisha sio kwamba hawana mitaji, wengi mitaji wanayo ila shida ni 1 tu inakuja kwenye suala la fremu wapi atapata pesa ya pango la chumba cha yeye kufanya biashara yake. Fremu tunajua kila mtu bei zake zilivyo na kadri frem inavyokua sehemu yenye wateja ndio...
  6. JamiiForums Tanzania Stempu za kielektroniki zasaidia kutoza kodi stahiki

    Moja ya mifumo inayotumiwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) katika ukusanyaji wa mapato ni pamoja na stempu za kodi za kielektroniki ambao ni mbadala wa stempu za karatasi za kubandika zilizokuwa zikitumika hapo awali. Mfumo huu mpya ni maalumu kwa bidhaa zote zinazostahili kutozwa ushuru...
  7. JamiiForums Tanzania Serikali iache kuchezea pesa za walipa kodi, Pesa za uchaguzi Serikali za Mitaa zirudishwe hazina mara moja

    Watu hawajajitokeza kujiandikisha uchaguzi wa nini? Hakuna uwanja sawa wa kufanya siasa kati ya upinzani na ccm uchaguzi wa nini? wapinzani wanachaniwa form zao uchaguzi wa nini? Watendaji wanakimbia ofisi kisa upinzani uchaguzi wa nini. Yote aya uliyataka mwenyewe baada ya kuzuia siasa mpaka...
  8. JamiiForums Tanzania Amenifungia nguo na kuweka kwenye begi eti nimpishe kwake japo kodi nalipa mimi

    Mkuu Naomba unisaidie kuomba ushauri huko Ni week sasa nimempisha lakin anaomba msamaha nirudi Ishu yenyewe iko hivi, mwaka huu nilimpata Dada mmoja nesi tukapendana nilikuta amepanga nyumba, nami kwakuwa nilikuwa kwenye shughuli za kikazi maeneo yale nilikuwa nimefikia nyumba ya wagen kabla...
  9. JamiiForums Tanzania DOKEZO TRA mulikeni hawa Wachina, wanahujumu uchumi wetu. Hawalipi kodi ipasavyo

    Salamu wakuu, Hili nimekutana nalo jana, japo imekuwa sio ngeni ila hii niliipokea kwa uchungu mkubwa sana (sijui kwa vile ni Wachina), kama mzalendo ikabidi ‘nipachimbe’ sana. Wanauza bidhaa kwa kile wanachoita ‘bei ya kiwandani’ hivyo mteja unategemea unafuu wa bei, na kwa kuzingatia hilo...
  10. JamiiForums Tanzania Msaada: Ushuru wa Bandari ni kiasi gani?

    Habari, Kwa utashi, uzoefu, ujuzi na hekima zenu tafadhali naomba kufahamishwa taratibu na gharama za Ushuru wa Bandari wakati wa kutoa gari kwa Port ya Dar Es Salaam. Nimejipigapiga na kuagiza kagari toka Japan ambako gharama yake ya Ushuru wa TRA kwa mujibu wa TRA Calculator ni kama 4Million...
  11. JamiiForums Tanzania Kukatwa kodi kwa mizigo

    Habarini wana jamvi, Ningependa kufahamu kama kuna suala la kukatwa kodi na TRA pale unapoagiza mzigo toka Ebay au Amazon, mizigo kama simu, nguo, perfumes N.K, nitashukuru sana kwa msaada wenu wenye experience na hiki kitu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…