kodi

  1. J

    GE2020 Tundu Lissu amewahoji wafanyabiashara wanavyolipa kodi TRA kama nani?

    Makamu mwenyekiti wa CHADEMA ambaye ndio mgombea urais wa JMT wa chama hicho mh Tundu Lissu amewahoji wafanyabiashara wa pembejeo sokoni kariakoo namna wanavyolipa kodi zao TRA. Lissu alitaka pia kujua kama wafanyabiashara wana uelewa wa usahihi wa kodi wanayolipa. Chanzo: ITV habari. My...
  2. Pendekezo: Majimbo watakayoshinda upinzani kodi zao zibaki jimboni mwao

    Napendekeza, endapo atashinda JPM basi yale majimbo yatakayokuwa yameangukia upinzani kodi zao wabaki nazo ili wapange mipango yao ya maendeleo. Nadhani hili halitakuwa na ubishi kwa sababu JPM ametamka waziwazi kwamba hatapelekea maendeleo kwenye majimbo watakayochagua wabunge wa vyama vingine...
  3. je! ikitokea nusu ya wabunge wakatoka upinzani na raid CCM itabidi Kodi za wananchi wote zihudumie nusu ya nchi?

    Mara kadhaa nimesoma humu kuwa mgombea wa CCM anadai kutoleta maendeleo kwa watu ambao hawatamchagulia Wabunge ( kama sio kweli Uzi ufutwe) Najiuliza ikitokea surprise nusu ya Wananchi wakachagua ubunge upinzani. Kisha Kodi ya nchi nzima ikapelekwa kwa nusu ya wananchi licha ya ukweli kwamba...
  4. T

    Endapo Magufuli atashinda, asitoze kodi Majimbo yatakayonyakuliwa na Upinzani

    Kila anapopita, Magufuli anawatisha Wananchi kuwa wakichagua upinzani hatawaletea maendeleo. Anayasema haya akijiamini kabisa utadhani ameshashinda uchaguzi. Endapo ngekewa itakuwa kwake akafanikiwa kushinda, Majimbo yote yatakayoongozwa na upinzani 'tunamtaka' asikusanye kodi huko, awaachie...
  5. Dar es Salaam: Gharama za kujifungua ni Tshs 75,000. Uchaguzi huu unakupa nafasi ya kukataa uharamia huu

    Wajawazito wanaojifungulia kwenye Hospitali ya Rufaa ya Temeke , wale wanaojifungua kwa njia ya kawaida inawalazimu kulipia pesa taslimu ya kitanzania shilingi elfu 75 kama gharama ya kuzaa , Wale wanaojifungua kwa njia ya upasuaji wanapaswa kulipa zaidi ya Tsh laki 2 na yaweza hata kufika...
  6. GE2020 Mgombea Urais wa JMT kwa tiketi ya ADC, Queen Sendiga aahidi kufuta tozo na kodi zisizo na mashiko

    Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya ADC, Queen Cuthbert Sendiga ameendeleza Kampeni jijini Dar ambapo Septemba 27 alitembelea soko la Stereo Temeke na kuongea na wafanyabiashara Amewaahidi wafanyabiashara hao kufuta tozo na kodi zisizo na mashiko kwa wafanyabiashara...
  7. P

    TRA na kampeni mpya ya ku-block Tansad za Walipa kodi

    Naona kuna policy mpya ya TRA imetokea takriban wiki 2 au 3 zilizopita za ku block Tansads za wananchi walipa kodi, ambao wanaingiza mizigo yao bandarini au kupitia airport. Hii sera kwanini ianze sasa wakati wa kampeni za uchaguzi? Kuna nini kilichojificha nyuma yake na TRA ya CCM? Kwanini...
  8. Kiburi hiki lazima kiondoke, kodi tunalipa wote

    Chakufanya tunacho mwaka huu,kiburi hiki lazima kikomeshwe maamuzi tunayo mkononi mwetu ni kuamua tu, watuombe msamaha kwa ujinga huu.
  9. GE2020 Tafakari ya Kina: Tundu Lissu akifuta kodi ataendeshaje nchi?

    Naendelea na mada zangu za Kumuunga mkono Ndugu Tundu Antipasi Mughai Lissu kwa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania bali kwa sababu namuelewa. Ili kuweka kumbukumbu sawa mimi sio mwanachama wa CHADEMA wala CCM na wala mimi siamini katika ITIKADI za chama cha CHADEMA. Tofauti yangu...
  10. T

    TRA mnachangia kumchonganisha mgombea wetu na wafanyabiashara. Mikoa yote mnatangaza mitaani kwa vitisho Sept. 30 mwisho kulipa kodi bila faini

    Ukimsikiliza Tundu Lissu anavyowasema TRA kubambikizia wafanyabiashara kodi zisizolipika. Halafu TRA hao hao mikoa yote wanapita na magari ya matangazo wakitoa mkwara mzito wa kuanza kwa faini baada ya Septemba 30 bila shaka utajua wako kazini kwa kuongeza kuni kwenye chuki iliyotengenezwa na...
  11. R

    GE2020 Moja ya mambo mazuri aliyofanya Rais Magufuli kuhusu kodi

    Wakati Rais Magufuli anaingia madarakani mwaka 2015, kodi ya majengo (property tax) iliyokuwa inatozwa kila mwaka na serikali za mitaa (LGA) kwa kila nyumba/jengo ilitegemea thamani ya nyumba. Kodi hiyo ilitozwa kwa asilimia 0.1. Hivyo watu wote wenye nyumba/majengo mijini katika maeneo...
  12. KRA vs TRA: Kwanini Kenya inakusanya kodi mara 3 ya Tanzania

    KRA vs TRA (Kwanini Kenya inakusanya kodi mara 3 ya Tanzania) KRA: Kenya Revenue Authority TRA: Tanzania Revenue Authority Makusanyo (Tax Collection July 2019 to June 2020) KRA-Kenya: 34 Trillion (Tsh) TRA-Tanzania: 14 Trillion (Tsh) Sababu ni hizi hapa. Matumizi duni ya teknologia (ICT)...
  13. GE2020 UMD yaahidi kufuta Kodi ya Majengo na Vitambulisho vya Taifa

    Mgombea UMD kufuta vitambulisho vya taifa MGOMBEA urais kwa tiketi ya Chama cha Union for Multiparty Democracy (UMD), Mohamed Mazrui, amesema iwapo atapata ridhaa ya kuongoza Tanzania, Serikali yake itafuta utaratibu wa wananchi kupewa Vitambulisho vya Taifa. Alisema hayo juzi wakati wa...
  14. Ujenzi wa Bomba la Mafuta: Ziara ya Rais Museveni nchini Tanzania - Septemba 13, 2020

    Rais Museveni ametembelea tanzania Kikazi === Rais John Magufuli wa Tanzania na Rais Yoweri Museveni wa Uganda wamesaini makubaliano ya kuanza ujenzi wa Bomba la Mafuta ghafi kutoka Hoima, Uganda hadi Chongoleani mkoani Tanga, Tanzania Rais Magufuli: Tumeshuhudia uwekaji wa saini wa ujenzi...
  15. J

    Rais Magufuli: Wafanyakazi msidanganywe serikali imepandisha mishahara kwa kupandisha madaraja na kupunguza kodi ya PAYE

    Rais Magufuli amesema ziko namna nyingi za kupandisha mishahara ikiwemo kupandisha madaraja watumishi na kupunguza kodi ya wafanyakazi PAYE. Hivyo serikali imeamua kutumia njia hii na watumishi wote wananeemeka. Rais Magufuli amewataka wananchi kumpuuza mgombea urais anayesema watumishi wa umma...
  16. GE2020 Tundu Lissu: Wanaweza kutoza mpaka kodi ya kuzaa

    Hayo ndiyo maneno ya Tundu Lissu leo. Amewaasa watanzania wawe makini kwani kwa lundo la kodi alilotoza Rais Magufuli basi upo uwezekano ikiwa atarudi madarakani akatoza mpaka kodi ya kujifungua. "Tabora hakuna Bodaboda ambaye hajanyang'anywa hela na Polisi, naambiwa ukipark pikipiki 500...
  17. Mahakama ya Rufaa yatupilia mbali pingamizi la Barrick. Kampuni hiyo imetakiwa kulipa kodi ya Tsh. bilioni 95

    Kampuni ya African Barrick Gold ilikata rufaa dhidi ya Mamlaka ya Mapato Nchini (TRA) baada ya Barrick kutakiwa kulipa kodi ya Dola za Kimarekani Millioni 41,250,426 sawa na zaidi ya Bilioni 95 za Kitanzania Hii ni rufaa ya 3 iliyokatwa na Barrick ambapo Kampuni hiyo inashindwa kupata ushindi...
  18. Mhede anafanya jambo TRA, viwango ya kodi vishushwe sasa

    Mimi ni mfuatiliaji wa masuala ya kodi hapa nchini. Kuna mambo kadhaa ambayo naona TRA wanayafanya sasa tena kwa kasi kubwa sana. Mambo haya kwa hakika yataongeza kasi ya makusanyo ya KODI kwa asilimia 300. Katika mtazamo huo nafikiri sasa ni wakati wa Serikali kufikiria namna ya kushusha...
  19. Sherehe za ubatizo, ndoa, kifo, mahari,hitma nk sasa kutozwa kodi hata ukifanyia nyumbani kwako

    Sherehe za ubatizo, Ndoa, kifo, mahari,hitma nk Sasa zinatozwa kodi hata ukifanyia nyumbani kwako. Hii ni aibu Kubwa kwa Serikali hii. https://t.co/pDXnXxa4zD
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…