kodi

  1. L

    JamiiForums Tanzania Makadirio ya kodi

    Naombeni msaada wa kueleweshwa maana TRA hawajanielewesha Kila nilipohitaji. Juzi nilifika Ofisi za TRA kwa ajili ya kufanyiwa makadirio ya kodi. Nikakutana na ofisa pale nikazungumza nae na baada ya kujibu maswali na kukagua mashine ya EFD akanikadiria laki sita kwa mwaka kama kodi. Baada ya...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Serikali punguzeni kodi kwenye manunuzi ya Nyumba

    Kuna wanaoshangaa kwanini nyumba za NHC zina bei sana kulinganisha na kujenga nyumba yako hii ndiyo sababu Tuchukulie NHC wamejenga nyumba kwa 1 Tsh 100M. Inabidi waongeze faida yao mfano 10% halafu kodi ni 18% Hivyo nyumba ya tsh 100M inabidi iuzwe tsh 128M. Wakati nyumba ile ile ukijenga wewe...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Shabani Matola amuua baba mwenye nyumba baada ya kudaiwa kodi ya pango

    Shabani Saidi Matola mkazi wa Kata ya Likongowele wilaya ya Liwale mkoani Lindi, amemuua baba mwenye nyumba wake aitwaye Siamini Rashidi Mtopoka (40), baada ya kumpiga na panga kichwani katika ugomvi unaolezwa kila mmoja akigombea alipwe fedha zake. Imeelezwa kuwa mwenye nyumba alimfuata...
  4. ommytk

    JamiiForums Tanzania Serikali iangalie hii biashara sehemu za ibada ...maji na mafuta ni chanzo cha mapato vikatwe kodi

    Huu ni ushauri kwa serikali yetu kuna hizi biashara katika sehemu za ibada mfano kuna kuuza maji kuuza mafuta na vinginevyo serikali iweke utaratibu wa kukusanya mapato katika hizi biashara ambazo Inafanyika bila kulipiwa Kodi. Lipa Kodi kwa naendeleo ya nchi
  5. Masokotz

    JamiiForums Tanzania Je, mfumo mpya wa TRA Efiling unaweza kuongeza wigo wa kodi?

    Habari za wakti huu, Kwanza nianze kwa kuwapongeza TRA Tanzania kwa mfumo wao mpya wa usimamizi wa masuala ya kodi. Ni hatua nzuri hasa kutoka kwenye mfumo wa ukusanyaji wa kodi wa "Manual" na kisha kuhamia katika ule mfumo wao wa online uliokuwa very user unfriendly mpaka kwenye huu mfumo wao...
  6. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta na Washirika wake kuchunguzwa juu ya Ukwepaji Kodi

    Serikali ya Rais William Ruto inadaiwa kuanza uchunguzi wa Kampuni takriban 300 zinazohusishwa na kutolipa Kodi, baadhi yake zikimilikiwa na watu waliowahi kuwa na Mamlaka katika Serikali zilizopita. Waziri wa Fedha, Njuguna Ndung’u na Mwenyekiti wa Mamlaka ya Kodi (KRA), Anthony Ng’ang’a...
  7. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Madiwani na mkurugenzi wa Mbeya kauli yenu inamaanisha biashara ya bajaji Mbeya ni haramu!! Maduka ya bajaji yafungwe, na hamtowatoza Kodi?

    Nachojua Mimi madiwani wa Mbeya ndio wamiliki wakubwa wa bajaji hapo mjini ,.nawafahamu na bajaji mnazomiliki nazifahamu mnataka kuwadhibiti raia wa kawaida wasimiliki bajaji ili biashara yenu isiwe na ushindani?? Biashara ni huria huwezi kuzuia watu wasiingize bajaji barabarani kwa sababu...
  8. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Ili mfumuko wa bei upungue Rais apunguze kodi

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu amesema mfumuko wa bei unaoendelea Nchini kwa bei ya vitu vingi kupanda ni wa Rais na kama akitaka upungue lazima apunguze kodi. Amesema “Ukipunguza kodi bidhaa zitapungua bei, ila sijasema ifutwe bali ipunguzwe, kwani ni lazima Serikali inununue VX...
  9. figganigga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais mstaafu Uhuru Kenyatta akalia kuti kavu, Watendaji wake kukaguliwa ukwepaji kodi

    The Star Newspaper Front page tomorrow February 1st, 2023.......... Waandani wa Rais William Ruto wataka makampuni ya Rais mstaafu Uhuru Kenyatta kufanyiwa ukaguzi wa Kodi. Aidha wamedai kuwa familia ya Kenyatta imekwepa kulipa kodi kwa muda mrefu sasa.
  10. kyagata

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, punguza uoga kwa walipa kodi wako, hakuna mwenye mpango wa kukudhuru

    Leo kulikua ma msafara wa mheshimiwa Rais Dr Samia ulikua unapita barabara ya Morogoro Road kuelekea maeneo ya Kibaha huko, cha ajabu sisi raia tunaotumia huduma za usafiri za mwendokasi tukazuiwa kupanda lile daraja la mwendokasi pale Kimara kwa kile tulichoambiwa na wana usalama pale waliokua...
  11. Benjamin10

    JamiiForums Tanzania Manabii wanaouza maji na mafuta ya upako nao waingizwe kwenye system walipe kodi

    Habari za muda huu wakuu.. Naomba niende kwenye maada husika. Mimi ombi langu kwa serikali ni kua.. Wale manabii wanaouza maji ya upako wasajiliwe na mamlaka za maji (ewura) ili na wao walipe kodi.. vivyo hivyo mafuta nao ... maana hiyo imekua ni biashara kubwa watu wanatumia shida zetu...
  12. Benjamin10

    JamiiForums Tanzania Manabii wanaouza maji na mafuta ya upako nao waingizwe kwenye mfumo walipe kodi

    Habari za muda huu wakuu, Naomba niende kwenye maada husika. Mimi ombi langu kwa serikali ni kua wale manabii wanaouza maji ya upako wasajiliwe na mamlaka za maji (EWURA) ili na wao walipe kodi vivyo hivyo mafuta nao, maana hiyo imekua ni biashara kubwa watu wanatumia shida zetu kujinufaisha...
  13. chiembe

    JamiiForums Tanzania Kama Lissu anapinga serikali isiweke Kodi yoyote ile kwa wananchi, yeye atatoa hela mfukoni kuendesha nchi?

    Kwa uelewa wangu, serikali inajiendesha kutokana na Kodi zinazolipwa na wananchi wake. Katika hotuba ya Lissu, alipinga Kodi zote ambazo serikali inazikusanya na kuzitumia kulipa polisi waliokuwa wanalinda mikutano yake, kujenga uwanja wa ndege, kulipa mishahara, kujenga lami ambayo wafuasi...
  14. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania Service Levy ya halmashauri ya jiji Temeke sasa ni kodi ya ujenzi wa madarasa na barabara

    Mimi ni mfanyabiashara, nwishoni mwa mwaka jana niliwekwa mahabusu kwa kukataa kulipa tozo ya kuzoa takataka za wamachinga! Kukataa kwangu kulitokana na kuamini kodi hiyo ya huduma ni kwa ajili ya uzoaji takataka na huduma nyingine, hatahivyo niliambiwa kwa sasa kodi hiyo ni kwa ujenzi wa...
  15. chiembe

    JamiiForums Tanzania Ili kuongeza wigo wa Kodi, kila duka na, au biashara za mitaani, wanapopewa leseni, lazima wawe na lipa namba

    Unapodai maendeleo, jiulize kama unalipa Kodi, nashauri Kila biashara ambayo haitumii EFD receipt, Sasa zilazimishwe kuwa na LIPA NAMBA. Mfanyabiashara, kama anafanya biashara Kila siku, hajatoa taarifa kwa mamlaka kwamba ameifunga, angalau kwa wiki au mwezi aonekane kuitumia, na namba hiyo iwe...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Serikali yajipanga kuongeza walipa kodi

    Waziri wa Fedha na Mipango Dk Mwigulu Nchemba amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuimarisha sekta binafsi inayoiwezesha nchi kukuza uchumi na kupata maendelo. Dk Mwigulu aliwaeleza washirika wa kongamano la kodi Dar es Salaam jana kuwa watanzania wanatakiwa kutafakari uhusiano uliopo...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Kongamano la Kodi Kitaifa, Ukumbi wa Mwalimu Nyerere, Januari 11, 2023

    Lenye lengo la kupokea maoni kuhusu maboresho mbalimbali ya tozo na ada kuelekea uandaaji wa bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2023/24 Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema maendeleo yoyote Nchini lazima yawe na uhusiano wa moja kwa moja na kodi Amesema “Kwa Nchi...
  18. Titicomb

    JamiiForums Tanzania TRA kwanini kodi (ushuru) hutozwa kodi tena kwa jina lingine? Wabunge mko wapi?

    Nimejaribu kuisoma kanuni iliyotolewa na TRA ya kukokotoa kodi inayolipiwa bidhaa zinaoingizwa toka nchi za nje nimepata maswali mengi sana. Mojawapo ya maswali ni kwanini Ushuru wa Forodha unatozwa Ushuru wa Bidhaa pia unatozwa Ushuru wa Ongezeko la Thamani (VAT)? Kwanini Ushuru wa Bidhaa...
  19. S

    JamiiForums Tanzania TRA Wamepandisha kodi kwa magari yanayoingizwa nchini

    Washapandisha kodi kitambo. Baadhi ya gari zimeongezeka hadi milioni. Angalieni TRA tax calculator. ===
  20. IamBrianLeeSnr

    JamiiForums Tanzania Serikali kufanya kongamano la kwanza la kodi kitaifa, linalotarajiwa kufanyika Januari 11, 2023 jijini dar es salaam katika ukumbi wa JNICC

    Serikali kupitia Wizara ya Fedha na Mipango imeanzisha Kongamano la Kodi Kitaifa litakalowashirikisha wadau mbalimbali ikiwemo Sekta Binafsi ili kajadili namna ya kuboresha Sera za Kodi, kuchochea ukuaji wa uchumi, biashara na uwekezaji nchini. Hayo yameelezwa na Kamishna wa Sera kutoka wizara...
Back
Top Bottom