kizuri

Kizuri-Kamikita Station (衣摺加美北駅, Kizuri-Kamikita-eki) is a railway station on the Osaka Higashi Line in Higashiōsaka, Osaka Prefecture, Japan, operated by West Japan Railway Company (JR West). The station was opened on March 17, 2018.

View More On Wikipedia.org
  1. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Watoto ni chanzo kizuri sana cha taarifa. Unapokuwa kazini wao wanazurura mitaani

    Good afternoon jamiiforums Hivi unafahamu ya kwamba watoto wadogo hao unaowaona kama bado hawaijui dunia vema wanaweza kuwa wanajua mambo mengi sana yanayoendelea mitaani kuliko watu wazima? Wakati wewe upo kazini, watoto hawa wanazurura mitaani hivyo wanakutana na mambo mengi sana. Ukiwa...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Kizuri share na mwenzako. Chukua hii...

    Wale wapenzi wa ngoma za Dini kuna hii ngoma inaitwa EKUEME, Ekueme ni neno la ki-Igbo huko Nigeria likimaanisha Mungu anayeahidi, anayesema na kutenda ni spirit song nzuri sana ukipata na video itapendeza zaidi ina. Connection na mambo ya rohoni direct na kama ni mwepesi wa machozi kama Mimi...
  3. Dalali Alpha

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kizuri kinauzwa Goba Centre

    Kiwanja kizuri sana, Kipo karibu na barabara Kubwa ya lami. Ukubwa wa Kiwanja - Mita za Mraba 400 (Unajenga na Nyumba ya Vyumba 3 na eneo linabaki kwa matumizi mengine i.e parking) Bei - Tshs Milioni 15 [ Maongezi yapo] Uhalali wa Umiliki wa kiwanja; Leseni ya maudhiano ya serikali ya mtaa...
Back
Top Bottom