HAKI KWA WOTE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 1,465
- 1,407
Habarini,
Ni wazi kabisa kwa wenye akili kujua vyama vya upinzani vilivyopo ni matawi ya ccm na viongozi wake ni mamluki wa ccm wanaojinufaisha na familia zao kwa kujificha kwenye upinzani kama ajira zao
Kama kweli tunataka mabadiliko ya kweli ndani ya Tz basi NETO wabadili style yao ya kwenda tu kwa lengo la kupigania ajira bali kuondosha chama tawala na mfumo uliopo ambapo njia rahisi ni kujisajili kama chama cha siasa cha upinzani na kujipatia wanachama wake wote wasio na ajira pasipo kujali taaluma gani.
Ni ndoto yangu kuwa chama cha upinzani wakweli kinawezakikatoka ndani ta NETO iwapo watajumyisha wasio na ajira wote bila kujali ni kada gani na si vinginevyo!!!