kizazi kipya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Genius Man

    PostGE2025 Wakati huu ambapo machawa wamekataliwa na wananchi ni wakati pia wa wasanii wa kizazi kipya Gen z kuchukua fursa hii kuibuka kuwafunika

    Wakati huu ambapo machawa wamekataliwa na wananchi ni wakati pia wa wasanii wa kizazi kipya Gen z kuchukua fursa hii kuibuka kuwafunika. Tunataka wasanii wapya.
  2. Mhaya

    Hoja: Mapambano kati ya kizazi cha zamani cha wanasiasa na kizazi kipya

    Wana JF, Kuna jambo linanitesa kichwani siku hizi: mapambano yasiyo rasmi kati ya kizazi cha zamani cha wanasiasa na kizazi kipya. Tukiri ukweli: Kizazi cha zamani cha wanasiasa (waliobeba urithi wa siasa za chama kimoja, mapinduzi, na siasa za ujamaa) kimejikita kwenye mfumo wa heshima...
  3. N

    Tanzania ya Maono: Wazo moja, kwa kizazi kipya cha matumaini

    TANZANIA YA MAONO: WAZO MOJA, KWA KIZAZI KIPYA CHA MATUMAINI Na: Abraham Belal Taifa hubadilika si kwa majengo tu, bali kwa fikra zenye maadili, uzalendo na maono yanayowashika wote kutoka kwa kijana wa kijijini hadi Rais wa Jamhuri. Kwa heshima kubwa, naandika ujumbe huu kama kijana wa...
  4. S

    Kizazi kipya kinaelimika zaidi lakini kimeharibika zaidi. Je, tatizo ni Elimu au Malezi?

    Leo hii tuna vijana wengi waliomaliza shule, wana vyeti, wanaweza kutumia mitandao kwa ufasaha—lakini nidhamu iko chini, maadili yameporomoka, na heshima kwa wazazi au jamii haipo kama zamani. Je, tatizo ni mfumo wa elimu unaotoa maarifa bila malezi? Au ni familia zinazokimbizana na maisha hadi...
  5. JOHNGERVAS

    Ushauri kwa wachungaji,manabii na nitumie wa sasa (kizazi kipya)

    Kwenye makanisa ya sasa mtaji mkubwa na nguvu ya kanisa ni watu,yaani kanisa au huduma Yako ipate watu wengi. Kwa dar sasa Imejaa makanisa yapo mengi mno na wanaonufaika ni wale wenye majina ie Mwamposa,kuhani Musa an CO. Mkoa mzuri kwa Huduma kwa sasa ni Dodoma,dodoma inakuwa sana kwa haraka...
  6. Rorscharch

    Kwa Nini Watu Wanazidi Kuacha Kwenda Kanisani? Kasumba Siku Hizi Kwa Wakatoliki ni Kuwa Mtoto Akishapata Kipaimara Anayeyuka Kanisani, Kwanini?

    Wiki hii nilijaribu kuwa mdadisi kidogo kuuliza vijana na watu wazima waliokuwa washiriki wa kanisa lakini kwa sasa wameacha kuhudhuria ibada ili kuelewa sababu zilizopelekea mabadiliko yao ya kiimani. Nilitarajia kusikia sababu za kawaida kama uvivu, majukumu mengi, au hata masuala ya...
  7. Kaka yake shetani

    Kukosekana kwa Open Source ya Symbian: Jinsi Mwelekeo wa Android ulivyoibuka na Kutoa Msaada wa Kizazi Kipya cha Simu za Mkononi

    Symbian OS ilikuwa mfumo wa uendeshaji wa simu za mkononi ulioanzishwa mwishoni mwa miaka ya 1990 na mapema miaka ya 2000, kabla ya Android OS kuingia kwenye soko na ni mojawapo ya mifumo ya kwanza ya uendeshaji kwa simu za mkononi yenye uwezo wa kufanya kazi kama kompyuta ndogo. Iliweza...
  8. M

    SoC04 Tanzania tuitakayo: Kizazi kipya cha wakulima wa kisasa wa kitanzania

    Kilimo ni shughuli ya kibinadamu inayohusika na uzalishaji wa mazao yanayotokana na wanyama pia mimiea. Kutokana na ongezeko la idadi ya watu na mahitaji ya chakula cha binadamu na wanyama pia malighafi kwa ajili ya bidhaa za viwandani mtindo mpya na wa kisasa wa kilimo na kizazi kipya cha...
  9. Mganguzi

    Paul Makonda na vijana wenzake ndio kizazi kilicho bora zaidi kitakacholeta mageuzi makubwa

    Paul makonda ni kizazi kipya cha dhahabu yeye na vijana wenzake wengi. Kama unamchukia kwa Leo utakuwa unafanya makosa makubwa sana ! Makonda ni kitabu kikubwa kilichobeba hatima ijayo. Hawa unaowaona Leo 2030 watakuwa wamekata pumzi kabisa. Wengi watakuwa wamezeeka na wengine wamestaafu...
  10. GANJIBHAAI

    Ni kwanini kwenye ukuaji wa tasnia ya mziki wa kizazi kipya mchango wa shule za sekondari miaka ya 90 haupewi uzito wake?

    Mimi ni mkereketwa mkubwa wa mziki wa kizazi kipya hasa Hip Hop, Soul and R&B toka miaka ya tisini, nimeshuhudia mabadiliko makubwa ya mziki huu kuanzia matumizi ya vinyl, tapes, disc, mp3, mp4 mpaka leo hii. From turntables, radio cassette, walkman cassette, disc player to all blessed...
  11. Nyafwili

    Enyi Manabii wa kizazi kipya ni kweli mmepewa nguvu na Mwenyezi Mungu, au ni ushirikina tu?

    Nyinyi manabii mnao vaa visuluali vimebana, manabii mmesuka rasta, manabii mnawapiga mateke wagonjwa, manabii mnawalisha majani waumini, manabii mnawanywesha mafuta ya taa waumini, manabii mnataka sadaka kuazia elfu Tsh 30,000 na kuendelea, je ni kweli hizo nguvu/mamlaka mmepewa na Mwenyezi...
  12. K

    Baada ya bandari kubinafisishwa kwa miaka 100, ninamuomba radhi chifu Mangungo

    NATAMANI KUWAOMBA MSAMAHA KINA CHIEF MANGUNGO ____________________ Kuna nyakati huwa Natamani Sisi Watanzania Kuwaomba Msamaha mababu zetu akiwemo Chief Mangungo kwa KUWACHEKA na Kuwa na HASIRA nao kwa kuingia Mkataba wa Ulaghai na Dr. Carl Peters wa Ujerumani ambao ndio uliidhinisha mwanzo wa...
  13. mama D

    Zumaridi asichukuliwe kimasihara, imani ni kitu kikubwa sana inahuisha na imani inaua Watanzania tuamke

    Zumaridi anawafundisha watoto kwamba yeye ni mungu, yeye ndie msaada na ndie anayewakinga na mauti, anasema yeye ni mtawala wa dunia mzima na anayetawala vitu vyote vya duniani na mbinguni tena wake kuna uzima wa milele. Halafu anawaambia watoto leo atawapikia tena wali😎😎😎 Inatisha...
  14. Dr am 4 real PhD

    TANZIA Msanii Wa Muziki Wa Kizazi Kipya Hamis Juma Mbizo (H Mbizo) Afariki Dunia

    Msanii wa muziki wa kizazi kipya aliyewahi kutamba na ngoma yake ya Nilonge Nisilonge miaka kadhaa iliyopita, Hamis Juma Mbizo (H Mbizo) amefariki dunia. Msiba wa H- Mbizo umetokea katika hospital ya mkoa wa Morogoro alipolazwa kwa wiki mbili kufuatia matatizo ya mgongo. Mdau mkubwa wa sanaa...
  15. B

    Orodha ya Wasanii Bora wa Muziki wa Kizazi Kipya mwaka 2022

    1. Harmonize 2. Alikiba 3. Marioo 4. Mboso 5. Diamond 6. Nandy 7. Ney wa Mitego 8. Maarifa 9. Rayvanny 10. Zuchu
  16. Samia atosha tukutane2030

    Mambo ya kuzingatia unapotaka kuwa nabii wa kizazi kipya

    Ninaposema nabii wa kizazi kipya namaanisha nabii ambaye amekuja kwa lengo lake mwenyewe, yaani hajatumwa. Sasa nini unatakiwa uwe navyo ili usichokwe haraka? 1. Sauti ngumu. 2. Kuwa mbunifu wa kutafuta majina mazuri ya ibada. Kila wiki unaleta jina jipya, mara ibada ya ukombozi, ibada ya...
  17. NetMaster

    Ronaldo aendelee kusugua benchi, Aaache kizazi kipya kifanye maajabu, kumlazimisha acheze ni kupunguza uwezo wa timu

    Nina uhakika kwamba Vijana wa ureno wapo moto sana, waachwe waendelee kupewa nafasi kwa hakika Ureno inaweza kufika hata fainali. Ronaldo akae bench, Fullstop, hana jipya dimbani Tatizo linapokuja ni kwamba fans wa Ronaldo wanachukia wakiona Timu inashinda huku Ronaldo kasugua benchi :) :)
  18. tpaul

    SoC02 Muziki wa kizazi kipya (Bongo Fleva) unavyoweza kutumika kutatua tatizo la ajira nchini Tanzania

    Utangulizi Leo nitaongelea mada inayohusu muziki wa kizazi kipya na jinsi muziki huo unavyoweza kutumiwa kikamilifu kutoa ajira kwa vijana ili kupunguza tatizo la ajira kwa vijana hapa nchini. Lakini kabla sijaendelea mbele, naomba nielezee mkwamo unaosababisha biashara ya muziki huu usipanuke...
  19. wazanaki

    Swali tunaloshindwa kujibu na kuwaelezea watoto wetu na kizazi kipya

    Wakuu, kuna story nyingi positive zinazowahusu waafrika. Kuna nyingine zinadai kua waafrika walikua powerful sana, sikatai, hili tunaweza lithibitisha hata sasa hv kwenye wakati huu. Kua waafrika wanafit kila sehemu kuanzia kwenye michezo hadi ubunifu na uwezo wao mkubwa wa kuhimili magonjwa na...
  20. Mr Dudumizi

    Freeman Mbowe kuitwa Mandela wa Tanzania ni sawa?

    Kwanz kabisa napenda kuwasalimu kwa jina la alietuumba, ambae ni muweza wa visivyowezwa. Ama baada ya salam napenda nijielekeze katika mada yangu ili kila mwenye uwezo thabiti wa kuchangia aweze kuchangia. Mada hii ni nzito na inawafaa zaidi wale ambao akili zao zipo huru, hazijafungwa wala...
Back
Top Bottom