kiwanja

  1. JamiiForums Tanzania Kiwanja cha meter 11x15 naweza jenga vyumba 3 na sehemu ya Parking?

    Wakuu Kama kichwa kilivotanabaisha hapo juu,Kuna mahali nina kaplot ka ukubwa wa Meter 11x15 nataka nianze kukafanyia kazi.je naweza fyatua kanyumba ka chumba tatu na eneo la parking likabaki?
  2. JamiiForums Tanzania Kiwanja cha bata chenye Totoz Classic kinachojaza Dodoma

    Wakuuu poleni na majukumu. Ijumaa ntakuwa dodoma ndugu yenu naombeni location ya kiwanja cha bata chenye watoto classic kinachojaza toto zinacheza mziki mkubwa hapa makao makuu Dodoma Natanguliza shukrani zangu za dhati
  3. JamiiForums Tanzania Masada wa kutaka kubadilisha jina la kiwanja

    Habari wakuu. Mimi naombeni msaada wa kutaka kujua kama je ni kweli unaweza kubadili jina la muuzaji kiwanja kwenda kwa mnunuaji kiwanja? Nimenunua kiwanja ambacho kina OFA tu sasa bado sjabadilisha jina na nyaraka zote ninazo ambazo kanipa muuzaji sasa nikaongea na afsa ardhi kaniambia hapo...
  4. M

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba kubwa kwenye kiwanja hekari 1 na nusu - Madale

    Habari! Nyumba kubwa (haijaisha) yenye sifa zifuatazo ikiwa ndani ya kiwanja chenye ukubwa wa Hekari 1 na nusu inauzwa: 1. Sebule kubwa (6M × 8M) 2. Dining room kubwa (4M x 4M) 3. Jiko kubwa (3M x 5M) 4. Vyumba vitatu vikubwa, kimoja master 5. Public toilet 6. Stoo kubwa. 7. Kuna miembe na miti...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, tupitie upya tena mradi mkakati wa ujenzi wa kiwanja cha ndege cha Omukajunguti ambacho kitaunganisha EAC

    Rais wetu kipenzi, Kabla ya mambo kubadilika, kulikuwa na mpango mkakati wa ujenzi wa kiwanja cha ndege eneo la Omukajunguti mkoani Kagera. Huu mradi ulilenga kuziunganisha nchi za Afrika Mashariki, lakini si hivyo tu mama, kama umeenda Bukoba umeona ni jinsi gani ndege zinastrugle kutua katika...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Nauza kiwanja ili nipate mtaji

    Wadau naombeni msaada wenu. Ninauza kiwanja changu ili niweze kupata Mtaji maana mambo yamenibana sana. Ijapokuwa niliplani kujenga nyumba ila nimekwama na hiyo ploti ndio Inaweza kuninyanyua. Kiwanja kimepimwa kina sqm 864 na kiko Gezaurole Kigamboni. Kiwanja kina hati hati safi isiyo na...
  7. JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Bunju A, Dar es Salaam

    Kiwanja kinauzwa Bunju A Kiwanja kiko bunju sehem inaitwa Kinondo kimepakana na kiwanja cha riziwan kikwete document za serikali ya mtaa zipo Bado hakijapimwa Size 30*30 KUHUSU MIUNDOMBINU Umeme upo ni nguzo moja mpaka kiwanjani. Maji yapo. Kiwanja kiko barabara kuu iliyochongwa Bei...
  8. JamiiForums Tanzania Special Thread: Tunauza Vitu mbalimbali (Magari, Nyumba, Mashamba na Viwanja)

    Toyota Rav4 Old Model Model 1998 Engine 3S Cc 1990 Kilometer 82095 Colour Silver New Tyres & Rims Price 14.5ML simu 0677 818283
  9. JamiiForums Tanzania Plot4Sale Bangalo ndani ya kiwanja cha square mita 4,000

    Kiwanja kinaunzwa Kipo karibu na barabara ya kuelekea goba Eneo ni mbezi louis Umbali kutoka barabara kuu ni mita 20 Kubwa square mitre 4,000 Eneo linafaa kwa biashara mbali mbali Bei milioni mia sita 600,000,000/= Mazungumzo yapo na karibu sana Mawasiliano piga sim 0713660178
  10. JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Mbezi Beach - Africana (upande wa bahari)

    Kiwanja kipo Mbezi Beach Africana upande wa chini. Kina ukubwa wa sqm 800, HATI IPO Bei ni milioni 130 tu. WAHI SASAA. MAWASILIANO 0677 818283
  11. JamiiForums Tanzania Kiwanja kipi chenye watoto classic na bei ya beer elekezi kwa hapa Dar es Salaam

    Habar wakuuuuu, Poleni na mahangaiko ya wiki ,Wakuu leo ni weekend tupeane location ya kiwanja chenye watoto classic na beer bei elekezi jijini Dar es salaam . mfano TPS BEI SIO ELEKEZI BEER LOCAL 4000 . Karibuni wakuuu tupeane location.
  12. B

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa Chanika Zogoali 4.5m

    Kina msingi wa kisasa Eneo chanika Zogoali unapita kwa Mzeru mbele kidogo Size 19*19m Simu 0712464478
  13. JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja cha kisasa kinauzwa: Mhandu, jijini Mwanza

    Kiwanja kinauzwa jijini Mwanza. Wilaya: Nyamagana Kata: Mhandu Mtaa: Kisiwani (Karibu na shule ya sekondari Mhandu) Kiwanja kimepimwa na kina hati kamili ya umiliki. Size: 30 kwa 30 (hatua za miguu za mtu mzima. Kina tripu 4 za mawe. Kimezungushiwa fensi. Umeme na maji vipo. Fensi...
  14. JamiiForums Tanzania Nahitaji Kiwanja Arusha maeneo ya Kiserian, Moshono na Chekereni

    Nahitaji Kiwanja Arusha maeneo ya Kiserian, Moshono na Chekereni isiwe porini ukubwa uwe 10x15 au 15x15 bajeti yangu kwa kila kiwanja ni sh mil 2 kushuka chini. Kama unamfahamu aliye nacho njoo DM au nishtue. viwanja hivyo vinatakiwa mpaka wmezi wa 7 viwe vimepatikana.
  15. JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa, kipo Bomba mbili

    Habari wana JF! Kiwanja kina ukubwa wa mita 24 kwa 20 chenye nyumba kubwa iloishia kwenye linta inauzwa,bei ni Milioni 15 (Punguzo unaongea). Nyumba ipo Bomba mbili,unashuka Mombasa(kabla hujafika Gongo la Mboto), Dar Es Salaam . Kwa maelezo zaidi na alie serious kuinunua njoo pm.
  16. Y

    JamiiForums Tanzania Natafuta kiwanja Dodoma maeneo ya Kisasa , Ipagala au Nzuguni

    Salaam wadau. Natafuta Kiwanja Dodoma maeneo ya Kisasa, Ipagala au Nzuguni. Kiwe kimepimwa na kiwe na hati kwa Matumizi ya makazi. aksanteni.
  17. JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kizuri kinauzwa Dodoma Mkonze

    Sokoni leo na land point tunakiwanja Mkonze ambacho kipo kalibu kabsa na huduma zote za kijamii kama maji, umeme, n.k bei na bei yake ni Milion 8 tu ukubwa wake ni SQM 1456 wasiliana nasi kwa 0753 236 012
  18. JamiiForums Tanzania Kiwanja kikali chenye watoto classic Dar es Salaam

    Wakuuuu poleni na majukum. Ndugu yenu nimekuwa kikazi mkoani yapata miaka mwaka mmoja leo nimelejea jijini dar es salaam . Ndugu zangu kipindi cha nyuma nimekula bata viwanja vilivyokuwa vinapiga mziki mkubwa watoto classic wanakata uno kama sinza lacherz, 5N mliman city, samaki samaki...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa-Chanika Mwisho, Zogoali 5.5m

    Sifa za kiwanja 20*20m Kina msingi wa kisasa Vyumba vitatu, kimoja master, sitting, dinning na jiko Kinafikika kwa gari Umeme na maji vipo karibu Mazungumzo mengine yapo
  20. JamiiForums Tanzania INAUZWA Je, unahitaji kiwanja au nyumba ya kununua jijini Mwanza?

    Hello, kama unahitaji huduma tajwa hapo juu.. kununua kiwanja/viwanja kununua nyumba karibu tukuhudumie ndani ya jiji la Mwanza (igoma, kisesa, nyegezi, n.k) Mawasiliano; 0744033555
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…