kiwanja

  1. U

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu kusaini hati ya kiwanja

    Mimi niko mkoa mwingine nimetumiwa hati ya kiwanja changu ili niisaini, ninaomba ushauri hivi mahakama ya mwanzo au ya mkoa Baada ya Mimi kusaini ile sehemu ya mwanasheria wanaweza wakanisainia huku niliko? Hata Kama kiwanja kiko mkoa jirani?Ushauri wenu wadau maana Mimi ni mjinga kwenye...
  2. JamiiForums Tanzania Wapi Dar naweza kupata kiwanja cha milioni mbili?

    Habari wakuu, Nataka nijenge Dar lakini kabla ya hapo nilikuwa nahitaji kufanya survey. Napenda wilaya tatu Kinondoni, Dar na Kigamboni lakini nilivyopitia maeneo mengi ambayo ni mazuri Kawe, Mbezi, Mbezi Beach, Kinyerezi Kimara ni ghali sana, hii survey nimeifanya mtandaoni! Yaani huku kupata...
  3. JamiiForums Tanzania Tunauza Viwanja na Mashamba Chalinze na Dar Es salaam

    *ENEO LINAUZWA* Eneo lenye ukubwa wa *ekari ishirini* linauzwa *Pingo, Chalinze*. Eneo linapakana na *Chuo cha Ualimu Chalinze* kwa mbele na kwa upande wa kulia ni *kiwanda kipya cha vigae cha Twyford* kinachojengwa hapo Pingo.Kama ambavyo baadhi watakuwa wanajua, kiwanda cha vigae kitaajiri...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa maeneo ya Goloka-Mbagala

    Kiwanja kinauzwa maeneo ya goloka-mbagala. Ukubwa wake ni ft 14/13. Bei yake ni shilingi milioni mbili. Kwa maelezo zaidi tafadhali wasiliana na mwenye kiwanja(si dalali) kupitia namba 0713769416.
  5. J

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa Chanika

    Habari Kiwanja kinauzwa Chanika maeneo ya Buyuni, Kigezi Kina ukubwa wa 1600 sqm bei ni milioni 18, ama ukitaka kukatiwa pia sawa Maelezo zaidi DM
  6. JamiiForums Tanzania Plot4Sale Nunua kiwanja chenye pagale Madale Flamingo sasa kwa bei ya milioni 40

    NUNUA KIWANJA CHENYE PAGALE MADALE FLAMINGO SASA KWA BEI YA MILIONI 40 MAZUNGUMZO YAPO KIWANJA KIMEPIMWA NA KINA HATI. WAHI KABLA HAKIJAWAHIWA ●Kiwanja pamoja na nyumba kimepimwa ukubwa Sqm 800 ●Huduma za kijamii zote zipo karibu SIFA ZA PAGALE ●Vyumba 3 viwili ni self kimoja normal ●Jiko...
  7. JamiiForums Tanzania Natafuta kiwanja kuanzia pugu kuelekea town

    Natafuta kiwanja kuanzia pugu kuelekea town kama ukonga ivi kwa ajili ga ujenz wa nyumba ....niinbox au tunawez aelekezana hapa
  8. JamiiForums Tanzania Plot4Sale Nauza kiwanja plot no 157 Medeli East-Dodoma, ukubwa sqm 716 karibu na BOT, Morena Hotel, bei 90 milioni

    Njoo upate eneo la biashara lenye magorofa ya kutosha, haina udalali mmiliki ni mimi mwenyewe. Hati ipo Unaweza kwenda jiji ukamchukua surveyor mwenyewe mkaenda nae hata bila kuniambia ukiridhika nipigie namba 0753477905 tufanye biashara. Napakana na bustan jafo waziri(inapita katikat ya...
  9. Z

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Viwanja vinauzwa Kibaha

    Viwanja vipo kibaha kwa mfipa,karibia na chuo kipya Cha uongozi,vimebaki viwili kila kiwanja kina square meter 400. Bei kwa kila kimoja milioni 4 na nusu. Umbali km 1 na nusu toka morogoro road, Panafaa kujenga hostel au kwa ajili ya makazi. Umeme na maji vipo jirani. Tayari Kuna walioanza...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa maoni kuhusu ununuzi wa kiwanja

    Wakuu habari zenu. Kuna kiwanja Kiko sehemu nzuri sana kimetangazwa kuuzwa. Mwenye kiwanja alishafariki, alikuwa anaishi na mwanamke lakini walitengana kabla marehemu hajafa, na baada ya kufariki familia ilimpa baadhi ya maeneo mke walietangana Ili aweze kumudu kuwahudumia watoto alioacha...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Viwanja DSM na Pwani

    VIWANJA VINAUZWA KWA OFA YA SABASABA VIWANJA vinapatikana Vigwaza ni km 8 kutoka barabara ya Morogoro na km 1 kwenda bandari ya nchi kavu. Kwa msimu huu wa sikukuu utapata kiwanja kwa gharama ya Tsh 1050 kwa sqm 1 Kama utalipa Cash na Tsh 1,250 kwa sqm 1 kwa mkopo ambapo utalipia 40% na...
  12. JamiiForums Tanzania INAUZWA Jipatie ramani kali ya nyumba ya ghorofa moja

    One story design FIRSTST FLOOR -Two bedrooms(master&self) -small living room -toilet -Dining -Gym GROUND FLOOR -Three bedrooms (1master) -Dining -Living room -Kitchen -store -Toilet WhatsApp +255678418272
  13. JamiiForums Tanzania Zingatia haya kununua kiwanja ili kupunguza utapeli

    Habari ya jumapili wakuu, baada ya kutoka kanisani acha nifanye utume kidogo kukumbushana haya machache ili kupunguza vilio na hasara. Ninaamini kabisa kuwa utapeli katika masuala anuwai upo lakini kuna namna huwa watu tunaweza kuchukua tahadhari na kupunguza visa vya kutapeliwa linapokuja...
  14. JamiiForums Tanzania Nini kinatokea hati ya kiwanja inapo expire?

    Nasikia hati ni miaka 33, 66 na 99. Ni kama umekodi kiwanja toka serikalini kwa miaka hiyo. Nini kinafuata baada ya hati kuexpire? Mtu anaweza fika dau serikalini na kukutoa?
  15. M

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Tegeta A

    Kiwanja kinauzwa Tegeta A. Square meter 400. Bei ni shs 15m. Kuna matofali mengi tu kama bonasi. PM au email tajirika@gmail.com. Mhusika mimi kwa hiyo hakuna udalali.
  16. JamiiForums Tanzania Waziri wa Ardhi kumtaja Spika kwamba anunua kiwanja kilichouzwa na Jiji. Je, anataka kumchafua baada ya spika kutoa uamuzi Bungeni?

    Hivi karibuni Waziri wa Ardhi alimshambulia aliyewahi kuwa Mkurugenzi Manispaa ya Dodoma, sasa ni mbunge, kwamba amesababisha migogoro ya ardhi Dodoma, Mbunge huyo aliomba muongozo wa spika, na spika alimuona Waziri alikosea. Nadhani Waziri hakufurahi, hivi majuzi huko Mwanza, kaenda kutaja...
  17. JamiiForums Tanzania House4Rent Nyumba na kiwanja vinauza kwa ajili ya mtu mwenye familia na anaehitaji eneo kubwa Njiro, Arusha

    Kama wewe ni dalali uliobobea unaruhusiwa kushiriki nasi. Hii inakuhusu. Nyumba na kiwanja kikubwa karibu na shule ya renea Njiro inauzwa. Ina kiwanja kinachojitosheleza kuendelea kuijenga au hata kuweka nyumba za kupangisha. Kuna Maji, umeme wa sola, na Nyumba ina vyumba viwili na sebule...
  18. U

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Nauza kiwanja Mbweni Mwisho

    Habarini wadau, nauza kiwanja kipo Kata ya MAPINGA kijiji cha KIHARAKA mtaa wa SOWETO karibu na kambi ya jeshi MBWENI, huduma za kijamii zote zipo na kimeshapimwa tayar, Ukubwa 25x25..dk10 kutoka Bagamoyo rod bei ni ml9...hakina udalali.. kwa mawasiliano 0672875803
  19. S

    JamiiForums Tanzania Usinunue kiwanja au shamba lenye mbuyu mkubwa kama huna uwezo wa kukabiliana na changamoto zake

    Habari wadau Ukataji wa mibuyu au miti mikubwa umekuwa ikiambatana na changamoto nyingi sana kwa wamiliki na hata kwetu mafundi! Ushauri huu tunautoa kwenu tukitambulika kama (SAMICO) ambao ni jopo la mafundi wazoefu katika sekita ya ujenzi, Umeme na gesi asilia! Unaweza kutufuatilia katika...
  20. JamiiForums Tanzania Plot4Sale Njoo nikuuzie kiwanja Mbweni, DSM 625sqm

    KIWANJA KINAUZWA, MBWENI DARE SALAAM SIZE: 25m*25m dakika 5 kutoka Bagamoyo Road Miundombinu yote ipo na kumeshajengeka sana Bei 8.million (milioni 8 tu za kitanzania) Mawasiliano 0713096076
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…