Plot4Sale Viwanja vinauzwa Kibaha

zwenge ndaba

JF-Expert Member
Aug 16, 2016
2,018
3,514
Viwanja vipo kibaha kwa mfipa,karibia na chuo kipya Cha uongozi,vimebaki viwili kila kiwanja kina square meter 400.
Bei kwa kila kimoja milioni 4 na nusu.
Umbali km 1 na nusu toka morogoro road,
Panafaa kujenga hostel au kwa ajili ya makazi.
Umeme na maji vipo jirani.
Tayari Kuna walioanza ujenzi kwenye viwanja vya pembeni
Mawasiliano: 0762976169

IMG_20220819_170707.jpg
IMG_20220819_170213.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom