Asante nimeisharekebisha halafu ni sister sio brazaBraza milioni 14000 ni bajeti ya wizara fulani kwa ccm.
Nimerekebisha tayari asanteMbona bei sana
ebu nifanye hesabu: 1,000,000(14,000)- 14,000,000,000 Is this correct?Braza milioni 14000 ni bajeti ya wizara fulani kwa ccm.
Kiasi gani?NAMI na kiwanjaa kinauzwa goba njiaa ya makongo ,huduma zote zipo na nikaribu na lamii
M 100 mkuuKiasi gani?
Kimepimwa?Ninauza kiwanja changu kipo Goba Kulangwa kina ukubwa wa mita 15 kwa mita 30.
Bei ni milioni 14
Nyaraka serikali za mitaa.
Hudama zote za kijamii zipo
0762282526
Bahati mbaya nipo mkoani kuna mtu nimemuomba akanipigie zikiwa tayari nitawekaJapo picha please
Angalia inboxPicha mpk leo bado?
Picha weka kwenye tangazo.Angalia inbox
SawaPicha weka kwenye tangazo.
Utawatumia wangapi PM (inbox)?
Mungu akuwekee baraka zake upate haraka mteja mzuri.Sawa
AmenMungu akuwekee baraka zake upate haraka mteja mzuri.
NAMI nna kiwanja kinauzwa Goba njia ya Makongo, huduma zote zipo na ni karibu na lami.U