aysha_123456

Member
Dec 16, 2017
58
23
Habari zenu,

Nahitaji kiwanja kwa Tsh 1.5 - 2m mkoa ya Tanga kwenye mitaa kama Duga, Mwahako, Tangasisi, Mwang'ombe, Mikanjuni, Mwanzange, Kasera, Msambweni, Magaoni, Mwambani, Mwakidila, Donge, Kange, Pongwe etc.

Kwa yeyote alokuwa nayo naomba uniambie.

Asanteni.
 
Habari zenu,
Nahitaji kiwanja kwa Tsh 1.5 - 2m mkoa ya Tanga kwenye mitaa kama Duga, Mwahako, Tangasisi, Mwang'ombe, Mikanjuni, Mwanzange, Kasera, Msambweni, Magaoni, Mwambani, Mwakidila, Donge, Kange, Pongwe etc. Kwa yoyote alokuwa nayo naomba unmbie.
Asanteni
Leta no yako nikuunganishe mwahako vipo viwanja
 
Habari zenu,

Nahitaji kiwanja kwa Tsh 1.5 - 2m mkoa ya Tanga kwenye mitaa kama Duga, Mwahako, Tangasisi, Mwang'ombe, Mikanjuni, Mwanzange, Kasera, Msambweni, Magaoni, Mwambani, Mwakidila, Donge, Kange, Pongwe etc.

Kwa yeyote alokuwa nayo naomba uniambie.
Asanteni.
Kipo lkn kichangani je upo tayari???
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom