kiume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kiatu cha kiume china 5000 bongo unauziwa 120,000/=

    Mwanzoni nilikua nawaonea huruma sana wabongo wa kariakoo wakilalamika kwanini wachina wamejazana Kariakoo, na walizunguka media mbalimbali kuonesha ubaya wa wachina, kumbe siri wanaijua... Wachina kule kwao bidhaa ni bei ndogo sana, wakawa wanashangaa kwanini wabongo wanajazana kuja kuchukua...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Pigo moja la moyo hutengeneza mbegu za kiume 1,800

    Pigo moja la moyo hujaza korodani kwa sperms 1,800 (elfu moja na mia nane), mwanaume asipokuwa na kitu cha kufanya kuna uwezekano mkubwa wa kuanza kufikiria sex maana kila pigo linajaza mbegu nyingi Kwa wanaume ambao wapo sexually active hasa vijana (18 - 30) wasio na matatizo ya kiafya (B.p...
  3. JamiiForums Tanzania Picha: Wanaume na vijana wa kiume tukumbushane

    Wanaume, ni kumbusho tu—baadhi ya shule zimefungwa, na zingine zinafungwa kesho, na miongoni mwa wasichana hawa wanaweza kuonekana wakubwa, walioiva, wenye kuvutia na kutetema, lakini msiwachanganye. Wanakua haraka na wanajua mengi, lakini kwa sheria, bado ni wanafunzi na watoto. Jiepusheni...
  4. JamiiForums Tanzania Kama una shida ya nguvu za kiume fanya hivi

    Sasa hivi ni msimu wa mapera. Kula mapera manne angalau kila siku. Halafu njoo hapa utoe ushuhuda. Facts: 1. Vitamin C – Husaidia kuongeza uzalishaji wa shahawa na kuzuia uharibifu wa seli kwa sababu ya oksideni nyingi (oxidative stress). Pera lina vitamins C mara nne zaidi ya chungwa. 2...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa kiume miaka 9 akivuta pumzi ndani anasema mgongoni kunauma itakua shida ni nini?

    Habari wakuu Nina kijana wa miaka9 anadai akivuta pumzi kwa ndani anaskia maumivu sehemu yote ya mgongoni,tatizo litakua ni nin msaada kwa wazoefu
  6. JamiiForums Tanzania Hiki ndicho kinachosababisha naonekana kuwa nina upungufu wa nguvu za kiume

    Iko hivi! Wanawake wengi niliojamiana nao wananiona mimi ni mtu nisiyekuwa na nguvu nyingi za kiume kutokana na sababu kadhaa. Jambo la kwanza ni kunuka kwa mdomo; kuna baadhi ya wanawake niliokutana nao kimwili ambao wananunuka mdomo kiasi cha kusema kwa shida wakati wa tendo la ndoa jambo...
  7. JamiiForums Tanzania Kijana wa kiume ambae upo 30's mwanamke wa kuoa ni mwenye miaka 18-23

    Nyakati ambazo kwa kawaida wanaume wengi wanaoa kwa mara ya kwanza ni pale kwenye 30's, kwa sababu 20's ni kipindi ambacho mwanaume bado anajitafuta, sasa utakapoingia hapo third floor na kuona kuna haja ya kuoa, mwanamke anaekufaa ni yule mwenye miaka 18-23. Mwanamke ambae ni agemate wako...
  8. JamiiForums Tanzania Kama una dogo wa kike au kiume 18-25yrs, mpasie hii asome

    Yale ambayo baba yake alikuwa analalamika kuhusu mama yake 70%+ ni ukweli, wala alikuwa hamuonei mama yake. Mapenzi ni shirikisho la mifumo hisia yenye kuidanganya nafsi yako kuwa hisia uliyonayo ina nguvu kuliko akili yako thus inakupatia faraja na matumaini bandia. Tungi na shisha ni...
  9. JamiiForums Tanzania Nelly Kamwelu yupo muhimbili anadai kapigwa vibaya sana

    Duuuh hii domestic violence kwa mrembo Nelly ni balaa, mwenye taarifa kamili atupe tafadhali Nifah cocastic
  10. JamiiForums Tanzania Nchi za Ulaya,Canada na China zapigana kiume dhidi ya Marekani katika vita vya kibiashara

    Katika vita vya kibiashara vilivyoanzishwa na raisi Trump mataifa kadhaa yamerudisha mapigo papo kwa papo dhidi ya Marekani mapigo yanayotishia usalama na utengamano waa taifa hilo lililokuwa kubwa duniani. Kwa mfano Canada baada ya kupandishiwa ushuru wa kuingiza bidhaa za chuma na Aluminium...
  11. JamiiForums Tanzania Kwa Nini nguvu za kiume wanaziita "Umeme"makanisani

    Umewahi kujiulixa hili Makanisa mengi ya kiroho wakianza kuombea watu Kama ULIKUWA HUJUI hili kama ukisikia neno "umeme " nguvu za kiumeee ama za kike Ukisikia mwenye umeme uliopotea nikujuze nguvu za ....kama una shida hioo kimbilia fasta MBELE ukaombeweee Badoo nawaza Hivi ilikuwaje...
  12. JamiiForums Tanzania Wazazi wa kiume malezi mnayowapa vijana wenu wa kike mtavuna mnachokitafuta

    Nimeona wababa wengi wa kisasa hasa hawa wenye vipato vya kubadilisha mboga aka middle-class wanawadekeza sana vijana wao wa kike (mabinti). Sasa nachowaambia endeleeni ivoivo majibu mtayapata bdae. Inajulikana, kiasili kijana wa kike anaenda sawa na baba kwa sababu ni ngumu au kuna uzito...
  13. JamiiForums Tanzania Hamna tatizo la nguvu za kiume, epuka kutapeliwa

    Wadau naandika uzi huu kutokana na uzoefu wangu binafsi wa muda mrefu. Suala la nguvu za kiume linategemea sana na aina ya mwanamke unaelala nae kama anakupa mizuka au lah, Point zangu ziko hivi. Kwa muda mrefu nina mpenzi ambae nakuwa nae muda mwingi. Huyu mpenzi ana mazoea kwa hiyo hatunaga...
  14. JamiiForums Tanzania Mimi ni VVU, mtoto pekee wa kiume wa mzee UKIMWI

    HOTUBA YA VIRUSI VYA UKIMWI (MTOTO PEKEE WA KIUME WA MZEE UKIMWI) VVU amesimama jukwaani mbele ya wanadamu, anasema; "Najua mnanijua ila leo nataka mnijue zaidi. Watu wengi huko mitaani wamenipachika majina ya utani wananiita miwaya, taa, ngoma, kisiki, gonjwa kubwa, na majina mengine...
  15. JamiiForums Tanzania Hasira za vijana na namna wanavyoishi

    Salaam jamiiforum Nyuzi zangu nyingi zimejikita Kwa vijana wadogo ambao wengi hawajaoa,na ndiyo wapo hatarini zaidi kwani ni rahisi kukuta kijana mwenye miaka 30 ameteswa zaidi na mapenzi kuliko mwenye miaka 50 kwenye historia zao. Mkikutana barabarani,wamependeza Sana, wengine wamenyoa vizuri...
  16. JamiiForums Tanzania Haya ndio mapenzi bhana, Ayo ya kwenu mbwembwe tu🤣

    Haya ndio mapenzi bhana, Ayo ya kwenu mbwembwe tu🤣
  17. JamiiForums Tanzania Je, matumizi ya Ajinamoto kuongeza Ladha kwenye chakula kuna athari kwenye nguvu za kiume?

    Kuna kiungo Cha kupikia ni kama chumvi au ndimu, hiki kiungo ni kemikali hutumika majumbani na kwenye mapishi ya biashara kwenye bar na migahawa. Kinajulikana kwa jina la Ajinamoto, ndugu wanajukwaa hasa wadau wa lishe, afya na chakula karibu kwa ufafanuzi kama hiki kitu kinaathari kwenye...
  18. JamiiForums Tanzania Ndoa za vijana wa kiume na wenza wenye Umri mkubwa kuwazidi!.

    Watu wanaposema ‘ndoa ya kale,’ najua wanamaanisha ‘mapenzi ya kipekee.’ Sasa, nini kinatufanya tuone kuwa kupenda Mshangazi ni jambo la ajabu? Labda ni wakati wa kufikiria upya, kwa maana umri ni namba tu!,Kwa nini tupoteze muda tukisema ‘umri ni kikwazo’? Wakati mwingine, mapenzi ya kweli...
  19. JamiiForums Tanzania Elimu juu ya nguvu za kiume, PMS, saikolojia, Sanaa ya mapenzi, lishe na mitishamba. Too deep

    https://youtu.be/Fh1P-A3RQbg?si=tEi8cxUnz1rTIuQe
  20. JamiiForums Tanzania Kukomaa kwa Mbegu za Kiume

    Mbegu za kiume hukomaa kupitia mchakato unaoitwa spermatogenesis, ambao hufanyika ndani ya korodani (testes), hasa kwenye sehemu inayojulikana kama seminiferous tubules. Mchakato huu huchukua takribani siku 64 – 74 ili mbegu mpya za kiume zikomae na ziwe tayari kwa urutubishaji. Hatua Za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…