kiume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Natafuta Ajira

    JamiiForums Tanzania Kuna delutional theory imesambaa kwenye jamii zetu za kiafrika kwamba kuoa kunafungua milango ya mafanikio

    Kuna delusional theory imesambaa kwenye jamii zetu za kiafrika kwamba kuoa kunafungua milango ya mafanikio kwa mwanaume. Kwa kijana yoyote wa kiume kama wewe ni muumini wa iyo nadharia basi leo nakufungulia code kwamba umedanganywa. Vijana wengi mmejazwa uongo vichwani mwenu kwa kuaminishwa...
  2. G

    JamiiForums Tanzania Kasi ya vijana wa kiume kupungua kuoa si kwajili ya kuogopa majukumu, Kuwaoa wanawake wa sasa kikristo ni kujipiga kitanzi

    Kwa kuwa nchi ina wakristo wengi basi ndoa nyingi huwa zinategemewa kuwa za kiksto, kupungua kwa kasi ya kuoa kumelenga zaidi kwa vijana wa kikristo. Ndoa za kiislam na kitamaduni vijana wanaendelea kuoa kama kawaida, Wengi wanatumia kisingizio cha majukumu lakini hakuna ukweli, kuna vijana...
  3. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania Vijana wa kiume wamegoma kabisa kuowa

    Leo nilikuwa natizama kipindi cha "funguka" kwenye channel ya east Africa Tv almaarufu kama channel 5, mada ili yokuwa ikijadiliwa kwanini vijana hawaowi au kuolewa,?, Kwa upande wa wanawake wao walitoa maoni yao kwa wingi kuwa vijana wa kiume wanaogopa majukumu, Na vijana wa kiume walikomaa Na...
  4. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Wakabidhiwa Mbegu za kiume za mtoto wao aliyefariki

    “Mtoto wetu wa kiume alifariki. Ila tutatumia mbegu zake kupata mjukuu” Wanandoa nchini India wana furaha baada ya mahakama kuamuru hospitali kuwakabidhi sampuli ya mbegu za kiume zilizogandishwa za mtoto wao aliyeaga dunia ili wapate mjukuu kupitia mwanamke atakayebeba ujauzito kwa mbegu hizo...
  5. Yoda

    JamiiForums Tanzania Vijana wa kiume kutongoza wanawake waliowazidi umri sana ni tabia mbaya na ya hovyo?

    Kuna haya malalamiko ya huyu bibi anayesema vijana wanawatongoza wanawake sawa na mama zao akisema ni tabia mbaya na za hovyo! Ni sahihi kuwasema vijana wa aina hiyo hivyo? Akizungumza kwenye kipindi cha JIRANI Mama Terry amesema vijana wengi wa kiume sasa hivi wamekuwa na tabia mbaya na za...
  6. Kichuguu

    JamiiForums Tanzania Kwa vijana wa kiume wanaotafuta wachumba

    Neda Israel; kuna warembo wengi wa kishua mitaani
  7. Trainee

    JamiiForums Tanzania Yanayomaliza na yanayoongeza nguvu za kiume

    Mada pendwa kwa wanaume! Hebu tujikumbushe yale yote tuliyowahi kusikia, kuona, kusoma au hata kuexperience kuwa yanachangia katika nguvu za kiume kuongezeka au kupungua. Nitataja randomly baadhi ya magonjwa, kazi, mazoezi, tabia, vyakula na vinywaji Kula chips- weka za kushiba na kila kitu...
  8. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Nilileta nyuzi nyingi kuhusu wasanii wa kiume na hereni, kusuka pamoja na vipini puani hamkunielewa. Sasa P Didy kaja kuwafumbua macho

    Niliwaambia na nitawaambia kuwa shetani ndiye Mungu wa Dunia hii. Na ili akupe vya Dunia hii au akupe miliki yake lazima umsujudie. Wasanii wetu wanachotaka ni aidha pesa au umaarufu na hivyo vyote ibilisi anavyo. Ukimsujudia (kukubali amri zake) anakupa pesa nyingi na umaarufu anakupa. Hawa...
  9. Brojust

    JamiiForums Tanzania Kupandikiza mimba, je utaratibu wa mbegu za kiume upoje?

    Salaam: Sasa hii mada sijui niwekeje lakini, juzi kati nilikuta kipindi ndio kinaishia niliwaona tu kina Gerald hando na wengine wanatuonyesha chumba cha kuvunia mbegu za kiume, kwa uchache niliona kama chumba kimoja safi, self contained,TV kama inch 48" pamoja na vitu vingine. NB:Sikuona...
  10. KikulachoChako

    JamiiForums Tanzania Mwanaume mwenzangu, mkeo kukunyima unyumba nje ya dharura za kibinadamu ni dharau kubwa sana

    Kumekucha wana Baraza....... Hili halihitaji maelezo mengi kwani limekuwa tatizo sugu kwenye vyumba vya wanandoa mpaka baadhi ya wanaume (mabwege) wameanza kuona ni jambo la kawaida...... Ngoja niongee KIUME...... Kunyimwa uchi na mkeo sio jambo la kawaida.....tendo la ndoa ni nguzo kuu...
  11. haszu

    JamiiForums Tanzania Naomba uzoefu wa kuendana na mke wenye uhitaji wa "sex" kila wakati

    kwa uzoefu wangu nimefikia hitimisho la kusemackua, mke wangu ana nguvu nyingi kwenye tendo la ndoa na si kuwa nina tatizo la nguvu za kiume. Nimejaribu kuendana na kasi yake ya uhitaji wa jambo hili lakini nimeona uhitaji wake ni above average. Naomba msaada wa namna ya kuedanda nae, anapokua...
  12. Natafuta Ajira

    JamiiForums Tanzania Una ushauri gani kwa kijana wa kiume aliyopo umri wa 18-29.

    Katika umri wa miaka 30 ndipo maisha ya mwanaume yanaanza kujibu au kuonyesha muelekeo. Hapa ndipo huwa tunagundua wapi tulikosea wapi tulipatia. Kwa mabroo, wakina baba na wazee ambao mpo 30+ una ushauri gani kwa madogo sana sana kwenye suala la mahusiano na uchumi. Mwaga sumu kwenye...
  13. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Vijana wa kiume muigeni huyu jamaa

    Wanawake tangu kuolewa kwao mpaka kuzeeka huwa hawawapi waume zao nafasi za kuwa huru na kushukuriwa. Kwa bahati mbaya sana vijana wa kiume ndiyo wanaoongoza kwa kuwashutumu na kuwatendea vibaya baba zao. Vijana hao husahau kuwa anayotendewa baba yao na mama yao akisihrikiana na wao, na wao...
  14. Tajiri Tanzanite

    JamiiForums Tanzania Taja sifa za watoto wa kiume waliolelewa na single mother

    Hapo vip! Kiukweli kuna madhara makubwa mtoto wa kiume kulelewa na mama tu. Madhara. 1.Hana msimamo kama mwanaume. 2.Anaamini ushauri wa mwanamke kuliko wa mwanaume. 3.Sio mtu wa kuaminika kama mwanaume mwenye kusimama kama mwanaume(anaweza akawa msaliti juu ya jambo fulani kirahisi) 4.Hawezi...
  15. Mturutumbi255

    JamiiForums Tanzania Spinachi na Nguvu za Kiume: Ukweli na Dhana Potofu

    Nguvu za Kiume ni Nini? Nguvu za kiume, au uwezo wa mwanaume kudumisha na kufanikisha tendo la ndoa kwa ufanisi, inajumuisha mambo kadhaa kama vile hamu ya ngono (libido), uwezo wa kusimamisha uume, na utendaji wa jumla wa tendo la ndoa. Hali hii inategemea mambo mengi, ikiwa ni pamoja na afya...
  16. G

    JamiiForums Tanzania Wazazi sikiliza kwa makini: Mwanaume aliyehukumiwa kwa kosa la kulawiti watoto ahojiwa na kueleza mbinu anazotumia kurubuni watoto

    IMETAFISIRIWA Jack Rynolds alitumikia kifungo kwa miaka zaidi ya 12 gerezani kwa kosa la kulawiti wavulana wadogo hasa wenye miaka 11 hadi 14, hapa anatoa ushuhuda wake kwa vigezo vonavyotumika zaidi kuchagua aina ya wavulana na mbinu. === Tafsiri siyo ya moja kwa moja; Swali la mwandishi...
  17. G

    JamiiForums Tanzania wanaume wenye homoni nyingi za kike na wanawake wenye homoni nyingi za kiume wanazungumziwaje kwenye biblia na Quran?

    Ni nadra kuwakuta ila wapo na watu huwadhania ni jinsia tofauti ni mpaka wakijuzwa zaidi lakini mijadala huanza "huyu ni mwanaume kweli?" "huyu ni mwanamke kweli?" Unamkuta mwanaume ana hormone imbalance ana hips, makalio makubwa, mapaja makubwa, ana sura ya kike, tabia za kike, n.k. vitabu...
  18. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Mkeo akikupa taarifa ya mpangaji mwenzenu wa kiume kumuomba namba utachukua hatua gani?

    Kwa mfano kuna mpangaji mpya amewasili mnapoishi ila baada ya mwezi akamuomba namba ya simu mkeo kwa siri kwamba lengo wewe usijue tena alivyo mshamba akatumia kimemo na ushahidi upo wa kimemo na mkeo akamnyima na akaja kukusimulia wewe ila kwa kuogopa kugombanisha mpangaji na mkewe akakuomba...
  19. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Nani kubeba tuzo ya Msanii bora wa Kiume kwa Bongo kati ya mafahari hawa?

    Kamati ya Tanzania Music Award (TMA) leo August 29,2024 imeanza kutangaza Nominees wanaowania tuzo za muziki Nchini kwa kuanza na category tatu ambazo ni Mwanamuziki bora wa kiume wa mwaka, wimbo bora wa taarabu wa mwaka na wimbo bora Afrika Mashariki, Kusini na Magharibi. Wimbo bora wa taarabu...
  20. Natafuta Ajira

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa kiume ingia kwenye mahusiano kitaalamu

    Kabla mwanamke hajakukubalia tambua ya kwamba ashapiga hesabu zake na kujua atanufaika vipi kupitia wewe iwe kwa sasa au uko mbeleni. Ni wanaume wajinga ndio huwa wanaingia katika mahusiano bila malengo. Ndio maana wanaume hawa huwa wanaishia kutumika na wanawake kwa malengo binafsi, kwa...
Back
Top Bottom