Nikiuliza bei ya kiroba cha mihogo sokoni niliambiwa ni 70,000-80,000. Inamaana ukiwa na heka tano za mihogo Kisarawe, na una van ndogo inayoweza kubeba viroba vinne kwa siku. Una uwezo wa kuingiza laki tatu kila siku ukipelela mihogo soko la ndizi asubuhi.
Jioni unawapa vijana viroba...