Matabaka matano (5) ya Waswahili kiuchumi

Matabaka matano (5) ya Waswahili kiuchumi

A man with one idea

Senior Member
Joined
Jul 18, 2022
Posts
125
Reaction score
269
1. Mabwanyenye- Matajiri kupindukia, miungudunia

2. Walala heri- kipato cha kati

3. Walala hai- Wana Chakula cha kutosha tu

4. Walala hoi/Makabwela- Maskini, Mshahara kijungujiko,

5. Mafukara/Hohehahe/hawinde /fakiri - maskini kupindukia

Tuendelee kukuza ulumbi
 
Umesahau watafta hela Leo ya kula Leo hiihii [emoji38]
Watembea na jiko
Kundi la wengi, unatoka na jiko, na masufuria,
Usipopata chochote, mnakunywa maji mnalala, tushukuru ukuu wa Mungu, wa kugawa riziki,
Kila mmoja humpa kwa kipimo chake.
 
Back
Top Bottom