Hapo zamani kidogo nilienda kuchaji betri ya gari, kesho yake narudi nalo sikutaka msaada wa fundi, nikaingia youtube nicheki wazungu wanafanyeje ku connect, Mambo ya DIY Do it yourself, kujifanyia mwenyewe nikiwa najipa moyo hakatwi mtu hapa, siwezi kutoa pesa kirahisi wakati nina bando na...