kitu

Kitu (Persian: كيتو‎, also Romanized as Kītū, Kaītū, and Keytū; also known as Geytow and Gīto) is a village in Gol Tappeh Rural District, Gol Tappeh District, Kabudarahang County, Hamadan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 313, in 79 families.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Je, ni kitu gani ambacho hakina kasoro kabisa duniani?

    Natafuta kitu ambacho hakina kasoro hapa duniani, kitu kikamilifu kwa 100% kitu ambacho huwezi kukuta mawaa ndani yake. Nimeangalia kama dini, zote zinamapungufu ndani yake. Kama ni elimu zote zina mapungufu ndani yake, zimekosa majibu mengi. Kama ni sera za vyama, sera za vuama vyote vimejaa...
  2. JamiiForums Tanzania Ni kitu gani Mpishi akifanya anakuwa kaharibu Ubora wa Chakula?

    Chakula ni afya, chakula ni tia lakini chakula kinaweza kuwa na ubora mdogo au kukosa kabisa iwapo kitakosewa wakati wa kupikwa na kumaliza kabisa virutubisho. Chakula kama hicho watu hula kujaza tumbo lakini kinakuwa hakina faida kwa mwili. Je, nini mpishi asifanye au kuweka ili kupata...
  3. JamiiForums Tanzania Hiki ndicho kitu chenye speed kuliko vyote na anacho binadamu

    Fikra au Mawazo. Speed yake haijaweza pimwa mpaka sasa. Ukikaa ndani ya sekunde unaweza ukawaza umefika Ulaya na kurudi Tz. Ilhali hujanyanyua hata nyusi. Unaweza waza mambo kadhaa ndani ya musa mfupi sana au ukaenda sehemu na lazima kurudi ndani ya muda huo huo mfupi kwa mawazo. Hata unaweza...
  4. JamiiForums Tanzania Kama kitu kinachekesha kwa nini mnatanguliza kichwa cha habari "Utacheka"

    Kiukweli Tanzania sijui tunaelekea wapi hakuna cha wasanii wala habari kule youtube. Yaani hawa wasanii wanaojiita wachekeshaji aka comedy wa Tanznaia. Unafungua YouTube ukiona tu page zao basi neno linatangulizwa "utacheka" sasa ucheke wakati sijaona kinacho chekesha. Msanii anaanza kucheka...
  5. JamiiForums Tanzania Ni kitu gani mtu mzima (Mwanaume) anaweza ingia katika chumba Cha Makahaba na jinsi kilivyo kichafu na kidogo?

    Nipo Tandika hapa , nawaona wadada wale wa kutoka mkoa x wakiwa wamekaa kwa vigoda huku wakiwasubiria wateja . Je wanaume wanaingiaje katika mazingira machafu na harufu kali . Nilichogundua sisi watawa tupo sahihi kukaa mbali na Uzinzi (ngono) maana ni zaidi Uchafu wenyewe
  6. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hapa Tanzania hakuna kitu kinachoitwa mke wa mtu ni Nadharia tu

    Yaani tujikite kutafta riziki zetu za halali na hela Hapa Tanzania hakuna kitu kinaitwa mke wa mtu. Bora niendelee na Maisha yangu ya utawa tu Maana hizi ndoa zenu Ni zaidi ya vichekesho. Pole ndugu yangu hiyo pesa yako umetoa mahali Bora ungemvutia Mama yako maji ya dawasa .
  7. Z

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mume kumgeuza rafiki ndio kila kitu kwake

    Habari zenu wapendwa, Mwenzenu nina changamoto nipo kwenye ndoa miaka 13. Mimi na mume wangu tulikuwa tunapendana sana tulikuwa marafiki wazuri ila baada ya kuhamia Dar mwaka 2015 kuanza maisha mume wangu akapata Rafiki uyo Rafiki yake ni wale watu wenye uswahili mwingi maisha yakaendelea...
  8. JamiiForums Tanzania Mungu akitaka kukufundisha jambo hakudai ada

    Habari za wakati huu, naomba ku declare interest kua muhusika mkuu wa kisa hiki sio Mimi lakini baada ya kusimuliwa nimeona ipo haja ya ku share na wewe tiririka nayo. Mwaka 2016 nikiwa nimetoka mzigoni baada ya kuunganisha night mbili na day moja (hii ni ratiba ya kawaida kabisa kwa intern...
  9. JamiiForums Tanzania Kama ukishamwambia mtu kitu hakitokei tatizo lako ni hili

    Washauri wengi ikiwemo wazazi wamekuwa wakitushauri kuwa watu wasiri. Nikimaanisha tusipende kumwambia mtu mipango yetu. Sa nyingine ni pale tu ukishamwambia mtu mipango yako ndio inavurugika. Hii inatokana na nini ? na nini kifanyike? Inatokana na kumwamini mtu pia kutokujua kuwa anaumia sana...
  10. JamiiForums Tanzania Kinachoniuma kwa Feitoto ni sawa na mpenzi wako akubwage aende kwa mtu anayekuzidi kila kitu

    Kwa mwenye akili unamwambia hongera Sana. Unamtia na moyo na ikiwezekana Basi unajikausha Kama huoni vile. Lkn wanachokifanya Yanga Ni sawa na kulalama tu. Mtu mmempeleka kula miwa Morogoro pre season kweli. Mmemtembeza kwa miguu wee. Muheshimuni Sasa Yuko mamtoni anapata kila anachostalili...
  11. JamiiForums Tanzania Hawa jamaa ndio wameongozwa kutazamwa Facebook 2022 kiulimwengu. Wachekeshaji wetu wajifunze kitu kutoka kwao

    Habari! Mwaka jana nilizungumza kitu kuhusu hawa comedians jinsi wanavyotisha. Wachekeshaji wetu waache kupoteza muda kuropoka. Mimi wachekeshaji wetu wanabiboa, kazi yao ni kuropoka majukwaani tu, wakizidi zaidi basi wataiga kazi za wenzao. Hawana ladha kabisa. Soko lao linaishia ndani tu...
  12. JamiiForums Tanzania JamiiForums msaidieni Umughaka, kazi yake ilindwe na haki miliki

    Ninachofahamu kazi zote zinazotumwa na wanachama hapa jamvini ni mali ya JamiiForums. Kijana wa Kikurya UMUGHAKA ameonyesha kipaji na kipawa cha hali ya juu kwenye uandishi wa riwaya. Lakini hizi kazi zake zinalindwaje dhidi ya maharamia? UMUGHAKA aelekezwe BASATA na umuhimu wa kusajili kazi...
  13. JamiiForums Tanzania Watanzania ni watu wa maneno maneno, kupiga kelele na kulialia tuu, Tukija kwenye Vitendo ni sifuri, 0, zero, nil, hamna kitu!. Je Tutabadilika?

    Wanabodi, Leo 30/12/2022 tunapoanza safari ya kuuaga mwaka 2022 hapo kesho na keshokutwa kuukaribisha mwaka mpya wa 2023 hivyo naomba nianze makala yangu hii ya "Kwa Maslahi ya Taifa" kwa kusema "kwaheri 2022, na Karibu 2023, kwa kuwatakia heri ya mwaka mpya 2023 in advance, kwa rai moja tuu...
  14. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimejikuta nina mahusiano na mke wa mtu ila kuna kitu nimejifunza na wengine itawafunza

    Habari Wakuu Binafsi nimejikuta nikiingia na mahusiano na mke wa mtu lakini ilikuaje? Nilijikuta ninampenda binti mmoja kwa mara ya kwanza nilivyomuona nikamwiita na nikaongea nae na akanipa namba yake ya Simu.Baada ya hapo tukawa tunachat bila kujua mazingira yake yakoje, kuchat tukajikuta...
  15. JamiiForums Tanzania Kitu gani huwa kinaishikilia reli ardhini?

    Eti wakuu sana. Ni kitu gani kinaishikilia reli ya treni ardhini?
  16. JamiiForums Tanzania Hivi sisi Tanzania Tunashindwa wapi hii kitu?

    Wakati Tanzania Iphone ni kama Lulu, wanawake wanahongwa iphone haijalishi ni mdogo au mkubwa ila wanafuraha sana na kutamba wanatumia "latest Iphone" Wenzetu unapewa simu unalipa $15 kwa mwezi ambazo ni TSHS 30,000 tu Shida ni nini? Hizi hapa ni bei kabla ya punguzo unapewa simu kwa mkopo...
  17. JamiiForums Tanzania Hivi mbona wachungaji wanajifanya wanajua kila kitu?

    Mbona madhabahu na injili inavamiwa na washamba sana, yaani akili ya kusoma vifungu vya bible, na hizo lukutu lakata leketee feki ndio wanajifanya na kujikuta wanajua kila kitu, mahusiano wanajua sana, heshima wanajua wao, sifa za kuoa wao, sifa za kuolewa wao, namna ya kutongoza wao namna ya...
  18. JamiiForums Tanzania Hii kitu huwa inauma lakini pia huwa inahamasisha kupambana

    Pale ambapo upo mkoani na unapambana kupata ajira, halafu unapata interviews za Dar mara kadhaa, na unafikia kwa washikaji zako huko Dar ambao kiasi fulani maisha wameyaweza. Ni wa umri wako, wengine hata classmates. Unakuta wana mijengo saafi, usafiri, unakaa pale comfortably unakula...
  19. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hii kitu naomba mnieleweshe

    Kitabu Cha Waefeso 5:31 BHN “Kwa sababu hiyo, mwanamume atamwacha baba yake na mama yake, ataungana na mkewe, nao wawili watakuwa mwili mmoja.” Sasa inakuwaje mwanaume ananiletea ndugu zake Tena inakuwaje kakiuka maandiko . Mnavyoooa mmeoa mje mkajenge familia yenu na mzae nampate watoto. Ila...
  20. JamiiForums Tanzania KITU PEKEE MESSI ANAWEZA ONDOKA NACHO WCUP N MCHEZAJI BORA/MFUNGAJI BORA VINGINE ATAONA KWA MACHO

    DJ NIPE KWANZA NYIMBO YA SINA UBAYA SINA UBAYA NAE UKWELI HALISI EO TUNAISHIA TAMATI TA MASHIDANO YA WCUP NAJUA WENGI WMECHEPUKA SANA KUSINGIZIA WCUP KBW ZAIDI NDUGU YANGU MESSI KITU PEKEE ANAWEZA ONDKKA NACHO LEO N MFUNGAJI BORA HII N 75% MCHEZAJI BORA 90% UBINGWA ASAHAU KABISA NA KAMA...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…