Wanajukwaa, nina imani wote mko sawa.
Pasipo kupoteza muda, naomba niingie kwenye mada tajwa hapo juu.
Binadam kwa kawaida, huwa na hulka ya kulipiza kisasi kwa aliyemkosea au adui yake. Hiki ndicho kinajidhihirisha kwa viongozi wetu, hasa wabunge, maana kila anayesimama anakuja na hoja ya...