kitu

Kitu (Persian: كيتو‎, also Romanized as Kītū, Kaītū, and Keytū; also known as Geytow and Gīto) is a village in Gol Tappeh Rural District, Gol Tappeh District, Kabudarahang County, Hamadan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 313, in 79 families.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Duniani Hakuna kitu cha bure chochote utakacho itaji lazima ukitolee kitu

    Vya Bure Duniani Hakuna. Lazima utalipa/ Unalipa iwe DIRECT PAYMENT/ IN DIRECT PAYMENT
  2. JamiiForums Tanzania Ni kitu gani cha kustaajabisha uliwahi kukiona kwa mtu ulipoenda kumtembelea ukashindwa kuielewa ni wapi alikipata?

    Niliwahi kuona Jamaa wa kwanza alikuwa na kibao Cha ubalozi wa ufilipino ndani Wa pili ni demu ana mashuka yameandikwa PRISON ROOM 4. Wewe ulikutana na nini?
  3. JamiiForums Tanzania Yoda na Infropreneuer njoeni hapa niwaelekeze kitu kuhusu upingaji wenu wa ulimwengu wa kiroho

    Yoda Infropreneur Kwanza Infropreneur unapokuwa unafanya debate au open dialogue usipende kuweka hisia mbele, weka intuition mbele, maana una bwaja bwaja sana. Ni kweli seeing is believing kwamba mnahitaji uhakika wa shetani physically, Mungu physically na uchawi physically ndio kweli muamini...
  4. JamiiForums Tanzania Kuhusisha ushoga na kila kitu ni ujinga unaochipua

    Watanganyika Sasa wanahitaji msaada wa Kisaikolojia Kwanza nakubali kuwa ushoga ni jambo baya Kwa maadili yetu, na inafaa ukemewe Siku hizi watu wengi wapo wanahusisha ushoga na jambo lolote, nilikuwa kijijini Nina Miche ya mapapai Fulani kwenye shamba langu, basi wakaja washikaji wapo pale...
  5. JamiiForums Tanzania JINSI YA KU CUT CIRCLE NA WATU WANAO KUONA HAUFANYI KITU KATIKA MAISHA

    Habari za mda huu Kuna watu tunajuana nao kwenye maisha ambao ni Bora tusingewafahamu Kuna watu ambao wanapenda kuwapangia wenzao jinsi ya kuishi mara Fanya ivi mara Fanya ivi na hapo wewe hauwapangii maisha yao They call you when they need you only mbinu ipi ya kuwa epuka Hawa watu?
  6. JamiiForums Tanzania Je kuna kitu choche cha maana au kizuri watanzania wanaweza kujifunza au kujivunia toka CCM ya sasa na uchawa wake?

    Huwa siachi kujiuliza. Tangu CCM itekwe na mafisadi, kuna kitu cha maana au kizuri tunaweza kujivunia kama watanzania? Kila uchao, kuna matukio ya utekaji, tunapotezwa, tunatishwa, na watu wasiojulikana tunayonywa, tunadharauliwa, tunauzwa na kubinafsishwa, tunanyamazishwa, tunachanganywa na...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Innocent Bashungwa amejiwekea rekodi ya kupita na kufanya kazi Wizara nyingi sana.Unafikiri sababu ni nini?

    Ndugu zangu Watanzania, Katika mabadiliko ya kawaida ya Baraza la Mawaziri yameshuhudia Mheshimiwa Innocent Bashungwa akihamishwa kutoka wizara ya Ujenzi kwenda wizara ya mambo ya ndani. Hii na hatua hiyo ya kupata uteuzi mpya imemfanya kujiwekea rekodi yake binafsi na kuwa kati ya mawaziri...
  8. JamiiForums Tanzania Kipi bora kati ya kuwa winga wa kila kitu au kuwa winga wa bidhaa moja tu?

    Habari zenu wakuuu..! Hivi kipi bora kati ya kuwa winga wa kila kitu au ku-focus na bidhaa moja tu!? Naomba maoni yenu wakuu!
  9. JamiiForums Tanzania Yanga msimfukuze Side Mnyamwezi. Ana kitu mtafika mbali

    Huyu kocha wenu mpeni muda. Atawafikisha mbali
  10. JamiiForums Tanzania Ukiwa Huna Hela Kila Kitu Huwa Kinakuwa Kibaya.

    Mtu anapokuwa maskini au kukumbwa na changamoto za kifedha, mara nyingi akili yake huzongwa na mawazo ya matatizo yanayomzunguka, ambayo yanaweza kumfanya aone kila kitu kuwa kibaya. • Hii ni hali ya kisaikolojia inayotokana na msongo wa mawazo, kukata tamaa, au hata kujihisi kama hana thamani...
  11. JamiiForums Tanzania Kitu gani kinakata vibe sehemu za starehe?

    Kitu gani kinakata vibe sehemu za starehe? Embu tuambiane Binafsi kuombwa kumnunulia mtu vinywaji sipendi kabisa maana kuna watu ni wasumbufu kinoma. Kzi kutia huruma kuomba kunuliwa vitu tu Wewe kwanini ulikuja kwenye sehemu ya starehe bila pesa?
  12. JamiiForums Tanzania Natamani kusikia Rais Samia akisema kitu, maana yanayoendelea nchini yanatisha

    Tegeta kwa Ndevu jijini DSM. Watu waliojitanbulisha kuwa ni maafisa wa TRA wakiwa kwenye gari aina ya Toyota Landcruizer, wameblock gari binafsi aina ya BMW X6 yenye namba za usajili T 229 DHZ na kumtaka dereva ashuke wanamhitaji. Dereva wa BMW amegoma kushuka na kuamua kufunga vioo na milango...
  13. JamiiForums Tanzania Pesa Sio kila Kitu unajidanganya

    Kabla ya kuja Kwa monetary system African people walikuwa wanaishi kupitia burter trade.. Msingi ukiwa ni kilimo uvuvi na ufugaji. Dunia ya Sasa Hela Sio kila Kitu kama utakuwa una moja Kati ya Amani katika familia Afya bora, Kilimo Ukiwa mkulima Kwa namna yoyote either directly or indirectly...
  14. JamiiForums Tanzania Ewe unaeteseka na mapenzi amini katika muda! Muda utakuponya na kukubadilishia kila kitu

    Nikikumbuka mpaka nilipost uzi humu nyie Aiseee siamini kama sasa hivi moyo wangu umekua na ganzi kiasi hiki. Nitajaribu kuhadithia kwa mafungu mafungu Ili kwa yoyote anaepitia changamoto ya kuumiza moyo sana kiasi cha kuhisi dunia sio yako,amini katika muda. Muda huponya mioyo...
  15. JamiiForums Tanzania Maadili tunayoyaamini yanatokana na kitu gani?

    Kwenye jamii zetu unaona kabisa Kuna mifumo mbalimbali inayotumiwa kutunza kitu kinachoitwa maadili. Lakini ili hayo maadili yawe maadili, chanzo chake huwa ni nini hasa. Kwa nini watu washangae mtu kuwa na mahusiano na baba/mama yake au kaka/dada yake? Kwani Baba, mama, kaka au dada, si...
  16. JamiiForums Tanzania Tujifunze kitu kwa misiba ya vigogo hawa na idadi ya watoto

    Nipo nacheki hapa msiba wa Ndugulile, kuacha watoto wawili tu, pamoja alikuwa ana uwezo wa kipesa na cheo lakini kaishia kwenye watoto wawili, watoto wawili hawa naona kawakuza na kuwasomesha kwenye shule za gharama inawezekana nje ya nchi maana hata Kiswahili chao ni broken sana wanakuwa kama...
  17. E

    JamiiForums Tanzania Maana ya hiki kitu ni nini?

    Hivi maana ya hii ni nini? Kustaafishwa kwa maslahi ya utumishi wa umma??
  18. JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa kuhusu hiki kitu..

    Habari za pilika Na majukum.. Kuna kitu Naomba kufahamu kutoka kwenu wakuu.... Hususan waliosoma chuo cha NIT.. au ambao bado wanasoma.. Nina mdg angu anasoma pale NIT ila hadi leo analalamika hajaingiziwa hela ya boom Wakat kwa madai yake ilitakiw apewe mwez Huu mwanzon (November)...
  19. JamiiForums Tanzania Wazazi wenzangu embu jifunzeni kitu hapa kwa nilichokiona nikiwa safarini

    Jumapili nilkuwanasafiri na gari kutoka west kilimanjaro to Dar.sitataja gari ya abiria niliyo safiri nayo.bahati nzuri au mbaya gari haikuwa na abiria wengi mpaka tumefika marangu gari ilikuwa na abiria kumi pamoja na mimi.Tulikaa sana pale kama dakika therasini.Tukaanza safari ya DAR...
  20. JamiiForums Tanzania Unalipi la kuzungumza au ushawai kula hii kitu wapi

    Unalipi la kuzungumza au ushawai kula hii kitu wapi
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…