kitu

Kitu (Persian: كيتو‎, also Romanized as Kītū, Kaītū, and Keytū; also known as Geytow and Gīto) is a village in Gol Tappeh Rural District, Gol Tappeh District, Kabudarahang County, Hamadan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 313, in 79 families.

View More On Wikipedia.org
  1. Fufua Tumaini Jipya

    JamiiForums Tanzania Kila kitu ni mradi hapa duniani (project) na binadamu ni mradi wa Mungu pamoja na shetani these are making big Profits

    Yaani hapa duniani kila kitu ni mradi (project) ambayo ipo designed by God and evil. God and devil are the same Wote hawa ni kitu kimoja. Wanabariki Wanampa mtu utajiri na umasikini Wanatoa laana . N.k So usipokuwa makini you will hustle in vain forever Lazima ukae na hawa coordinator in...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Watu kitu wasichojua ni kwamba hata hii dunia ni mali ya Marekani. Hata Mungu analijua hilo

    Tukae kwa kujiandaa kuwa anytime Marekani akitaka chochote at any time t anachukua mana tumeazimwa tu. Hata hii hewa tunayovuta ni mali ya mmarekani. Hata hii intetnet tunayotumia ni mali yake siku mkimuudhi tu anqzima saver za africa mnaanza kufa kama nzige nyie kwa nyie mana mtakuwa...
  3. Davidmmarista

    JamiiForums Tanzania Je ni kitu gani kilikufanya uamini Uchawi upo?

    Kuna wadau wanaamini katika uchawi mdau karibu utujuze je ni jambo gani lilikufanya uamini kuna uchawi?
  4. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Kocha Mpya Asema Yanga wanapangiwa match kila baada ya siku 3. Jamaa ana kitu atafika mbali

  5. Setfree

    JamiiForums Tanzania Ukiwa na mapesa unaweza kununua kila kitu, isipokuwa mambo haya

    Ukiwa na Mapesa HUWEZI... 1️⃣ Kununua Wokovu – Wokovu wa Mungu haupatikani kwa fedha bali kwa imani katika Kristo Yesu. (Waefeso 2:8-9) 2️⃣ Kununua Amani ya Moyoni – Amani ya kweli inatoka kwa Mungu. (Yohana 14:27) 3️⃣ Kununua Upendo wa Kweli – Upendo wa dhati haupatikani kwa pesa. (1...
  6. ngara23

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya hali ya hewa, sema kitu, Joto limekuwa kali mno

    Mamlaka ya hali ya hewa ingieni ofsi Mmekuwa mkifanya utabiri ukienda kinyume mara kadhaa Mlitabiri mvua kubwa mwezi February ila Sasa joto ni kali Huku Kanda ya ziwa jua ni kali mno, Joto kama tuko Dar es salaam au Sudan Twambieni utabiri kwenye mitambo yenu inaonyesha nini, tunapanda...
  7. LorenzoA

    JamiiForums Tanzania Kinachowazuia wanasiasa wetu kutumia JF kutupasha habari ni kitu gani?

    Barangumu limelia.. Nchi tajiri zinaona zinafilisi kodi za wananchi wao kwa kuisaidia Africa misaada ya "kishenzi" wakati viongozi wetu wakielea kwenye matumizi ya " anasa" Burkinafaso Imeonyesha mfano wa kutaka kujitegemea na kuondokana na wakoloni mazima... Wameanza na kutengeneza magari...
  8. scot mcomic

    JamiiForums Tanzania Ni kitu gan kinanisumbua wakuu msaada tafadhali

    Wakuu habarini za weekend nisipteze muda sasa ni wiki ya tatu sasa napata kiungulia kikali, kizungu zungu yaani kuna muda nikisimama kama naona naanguka hivi, lips zinauma mara nyingine kichefuchefu. Je wataalam wa JF hali hii inayonitokea, nitakuwa nasumbuliwa na nini? Natanguliza Shukran zangu
  9. J

    JamiiForums Tanzania Laana Inatajwa Sana. Ni kitu Gani? Fuatana nami uifahamu tafsiri yake

    Laana Inatajwa Sana. Ni kitu Gani. Neno laana liko kwa namna mbili, kibiblia. Aina ya kwanza, ni kupoteza sifa ya kukubaliwa na Mungu kwa jambo lolote lile. Na hii chanzo chake ni lile anguko la mwanadamu tangu mwanzo. Aina ya pili, ni apizo alitoalo mwanadamu kwa mwenzake, au alitoalo Mungu...
  10. Minjingu Jingu

    JamiiForums Tanzania Sisi Yanga tunawaonea huruma sana Mikia. Mpanzu hamna kitu pale. Mwacheni

    Huyu mchezaji hafai. Ni hasara mwacheni. Nawashauri hivyo.
  11. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Jamii imekuwa chungu, system imekuwa corrupted. Kama hautatokezea na kitu chenye utofaut kinachohitajika ktk jamii hii kauzu bas utaendelea kusubiri.

    Mzee Jengua: "HAPA NI MJINI, UKIONA MTU ANAMEZA KITU AMBACHO HAJANUNUA BASI NI MATE YAKE MWENYEWE" Cha msingi linda utu na legacy yako, hivyo vikisha tiki, then jifunze wengine wana fanya nini, kifanye ila katika utofauti unaoendana na matakwa na matarajio ya walaji. Unapofanya vile vile...
  12. realMamy

    JamiiForums Tanzania Unahisi unapenda ulivyo? au kuna kitu kinakusukuma kuwa hivyo?

    Nini kinakulazimisha kuwa kama ulivyo? Tofauti na ulivyo?
  13. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Kuhamasishwa au kuhamasika kufanya kitu ni kama cheche, kinachohitajika ni nidhamu yako juu ya unachikifanya

    Kuhamasishwa au kuhamasika kupitia wahamasishaji "motivational speakers" au njia nyingine yoyote ile ni kama cheche ya kuwasha moto ndani yako na kitakachokufanya uendeleze moto uliowashwa siyo kuhamasishwa ila ni nidhamu yako "discipline" juu ya unachokifanya. Wahamasishaji hufanya kazi ya...
  14. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Wakati Chama cha Mapinduzi kinaelekea kutimiza miaka 48 tangu kuzaliwa kwake, moja ya kitu kinajivunia ni kuwa na ofisi nzuri zenye hadhi na muonekano

    Wakati Chama cha Mapinduzi kinaelekea kutimiza miaka 48 tangu kuzaliwa kwake, moja ya kitu kinajivunia ni kuwa na ofisi nzuri zenye hadhi na muonekano wa chama. Hii ni ofisi ya CCM Kata ya Manzese ambayo muonekano wake ni bora na yenye kuvutia. Asante Dotto Magari kwa kututembelea na...
  15. Hammer11

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua kitu wana jamii

    Sasa mm nimeamuaa kuja na wife wangu nyumbani kama nilivyosema awali nina mke mkenya sasa nataka nije nae home jee nitatakiwa kufuata taratibu gani ni mjamzito tayar
  16. realMamy

    JamiiForums Tanzania Ni kitu gani kilikusababishia ufeli interview ya kazi?

    Tunajifunza kutokana na makosa. Tunaomba uzoefu wako katika hili. Asante.
  17. Mkongwe Mzoefu

    JamiiForums Tanzania Je Serikali imewadanganya Watumishi Vikongwe Wastaafu Kuhusu Ongezeko la Pension na Hamna Kitu?

    Mwezi Oktoba 2024 serikali kupitia Waziri Kikwete walitangaza kwa mbwembwe kubwa kuwa watumishi wote wastaafu wanaolipwa pension yao kupitia Hazina wataongezewa kiasi cha 50,000 kuanzia January 2025 baada ya kilio cha muda mrefu sana kuwa hiyo laki moja haikidhi lolote kwa wazee hao walio...
  18. Daby

    JamiiForums Tanzania Mex Cortex wapi remix ya hii kitu weka Hasheem Dogo

    https://youtu.be/9BC7rtFkz0w?si=kjg0X9AFrSevKVE2
  19. Tundazuri

    JamiiForums Tanzania CM trading ni kitu gani

    Jaman marafiki zangu, nilikutana na habari sijui ni za kweli au uongo kwamba Rais amezungumzia CM trading kwa kuinvest laki 7 sawa na dollar 300. Nikaingia kwenye website nikajaribu kufanya usajili, basi nikapigiwa simu kutoka SA. Kumbe zile information walikuwa wanaziona. Yule mtu alitaka...
  20. itakiamo

    JamiiForums Tanzania Kuna kitu waafrika kusini wamenishangaza kuhusu Saed Ramovic

    Kuna kitu waafrika kusini wamenishangaza kuhusu Saed Ramovic, najua humu kuna watu washawahi kuishi au kufatilia any news kutoka South Africa. Nimeshangazwa na baadhi ya waafrika kusini kumtambua kocha huyo kama Plumber. Yeyote mwenye exposure na hili suala naomba ufafanuzi
Back
Top Bottom