kitu

Kitu (Persian: كيتو‎, also Romanized as Kītū, Kaītū, and Keytū; also known as Geytow and Gīto) is a village in Gol Tappeh Rural District, Gol Tappeh District, Kabudarahang County, Hamadan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 313, in 79 families.

View More On Wikipedia.org
  1. Infropreneur

    JamiiForums Tanzania Kwenye dini kila kitu kinafanya kazi katika ulimwengu wa kiroho, Lakini likija suala la pesa 💵 hilo ni la kimwili.

    Kwenye imani za kidini utaambiwa maisha yako si ya kimwili ni ya kiroho. Lakini likija suala la pesa hilo ni la kimwili na wala halina mjadala kuhusu kutoa hela..😂 Kama maisha yako ni ya kiroho, Kwa nini utoe fedha kimwili? Kama maisha yako ni ya kiroho, Hata hela na sadaka inabidi zitolewe...
  2. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Wakristo na Waisilamu wengi hawaujui Uisilamu. Hapa utaufahamu vizuri ili nawe upate kitu. Sikiliza kwa Utulivu

    Hapa nataka watu wajifunze Uisilamu. Wanausikia sikia tu. Ila hawaufahamu. Sasa ni muda wa kuufahamu. Nasisitiza. Hatutaki matusi na kashfa kwa uzi huu. Ni uzi wa kutoa Elimu naomba moderators msiingie kwenye mtego. Mimi niliyeuanzisha sina Dini. Ila nlikuwa Muisilamu na si mbaya nikiwaambia...
  3. Damaso

    JamiiForums Tanzania Kama hauoni kitu hapo basi upo hatarini

    Kwenye hii picha unaweza kudhani ni picha ya kawaida tu ila kama itatokea upo zako porini na haujapata kufahamu kuna kitu gani mbele yako basi fahamu muda wako unahesabika. Wapo watakaosema kuwa hapo hakuna kitu ila ukitazama kwa uangalifu utagundua kuna mzee baba ametulia anakupigia mahesabu...
  4. ngara23

    JamiiForums Tanzania Huwa unajibu vipi swali " nikwambie kitu"

    Hili swali likija kutoka Kwa pisi ujue unaomba pesa au unapigiwa mzinga Ukiwa una chart nae akakwambia ati akuulize kitu, huwa unajitoaje kwenye mdogo wa Simba Ukikubali, na kusema nambie swali Huwa 1. Nimeishiwa luku nyumbani 2.mama ni mgonjwa 3. Nawaza ada ya mdogo wangu n.k 4.nina safari...
  5. KakaKiiza

    JamiiForums Tanzania Ni njia zipi hutumika ili mtu agombee ubunge hili nikawatumikie wananchi wangu katika jimbo langu??

    Naomba mwongozo jinsi ya kuingia katika mbio za kuwatumikia wananchi wajimbo langu baada yakuona mbunge aliyekuwepo hana alichokifanya,Je ni njia gani za wazi nitumie ili niweze kuingia katika Kinyang'anyiro hicho?? Kwa sina pesa za kuhonga wajumbe mimi nina nia ya dhati ya kutaka kugombea na...
  6. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Katika maisha yangu sikuwahi kutegemea kuna kitu kitaanzishwa na chama cha walimu wasio na ajira

    Sikutegemea ipo siku kuna chama kitaanzishwa na walimu waliokosa ajira Basi nakiri kusema kuwa tupo katika unemployment crisis. Kuna wakati waalimu hawakubaki mtaani kwa maana walikuwa on demand. Kwa wewe graduate, kama baba yako ni apeche alolo, sura ngumu kama mimi, hauna connection tafuta...
  7. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Mkataba na Shetani ni kitu kipo?

    Mkataba na Shetani(Deal with the devil) inasemwa ni kitendo cha mtu kuingia mkataba na Shetani apewe umaarufu, pesa, mamlaka, afya njema nk, kisha yeye anampa Shetani nafsi yake(yaani anajitoa kuwa mali ya Shetani. . . ?) Mfano mmoja ni kitendo cha Shetani kumshawishi Yesu amsujudie, na yeye...
  8. Oscar Lyrics

    JamiiForums Tanzania Kitu gani hujawahi kuona tangu kuzaliwa?

    Ni vingi lakini hivi ni baadhi, -Mmasai albino -Mwanajeshi albino -Ambulance ikiwa sheli (kituo cha kujazia mafuta) Najua hata nyie vitinda mimba hamjawahi kuwaona mama zenu wakiwa wajawazito :D -Kwa upande wako wewe hujawahi kuona kitu gani?
  9. Davidmmarista

    JamiiForums Tanzania Wanadamu ni kitu gani mtafanyiwa muamini mafanikio ya wanadamu wengine?

    Aise, nimekuwa nikiandika nyuzi mbalimbali humu, nilizo shuhudia kutokana na mahali nilipoishi. Currently, I'm an online man, nimepitia maisha mbalimbali kuanzia 2011 hadi sasa. Ila kila ninapoandika Uzi, kuna watu nawaita people with low IQ. Mara nyingi nasema, if you don’t have facts...
  10. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Hatari sana: Utapeli unaoenea kwenye biashara ya forex Tanzania

    Katika miaka ya hivi karibuni, biashara ya Forex imekuwa kivutio kikubwa kwa vijana wa Kitanzania wanaotafuta njia mbadala za kujiongezea kipato. Wakati Forex ni fursa halali kwa wale wenye uelewa na utaalamu wa masoko ya kifedha, inasikitisha kuona jinsi baadhi ya watu wameigeuza kuwa mtandao...
  11. kaputula

    JamiiForums Tanzania M23 na janjaweed (RSF) ni kitu kimoja kwa itikadi zao za kimbari

    Kwa wale wenye kumbukumbu watakumbuka kile kikosi cha kijeshi cha waasi Sudan kilichokua na jina la Janjaweed wakati wa enzi ya utawala wa el Bashir. Kikosi hiki kilichoundwa na wasudan wenye kujiona wao ni waarabu lengo lake lilikua kuwafurusha waafrika weusi toka kwenye jimbo la Sudan la...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Uliwahi kuunguziwa kitu gani na matatizo ya umeme ya Tanesco (Kata washa, Umeme kufifia, n.k)

    Tv imepiga shoti, Radio imeungua, Simu imeasti, n.k. Kata washa - unaweza kuhisi kuna mtoto kaachwa anachezea swichi, umeme unarudi na kuwaka mara kwa mara Umeme kufifia - umeme unakuwa mdogo na hufanya vifaa visipate umeme wa kutosha,mfano taa zinafifia
  13. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hiki kizazi ndo kinachoibakiza CCM madarakani. Hukiambii kitu kikakuelewa

    Kataa ukubali Kizazi hiki ndo mtaji mkubwa sana wa Ccm. Ccm kwenye kampeni zao Huwa wanakirinda Kwa wivu mkubwa mno. Kizazi hiki kinakiambia ccm imetulea.Ccm imeleta Amani Nchi hii nk. Kizazi hiki kikiisha wanaobaki ni vijana wachache tu ambao hawajitambui Bado ndo supporters wakubwa wa ccm...
  14. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Hakuna kitu kinaitwa kupoteza fedha, ukitumia kwa namna yoyote ile hiyo fedha haijapotea .

    Waswahili wakitumia fedha na baadaye kujiona wahitaji wanahesabu yale matumizi ni bure ni kama wamepoteza fedha. Iwe ulihonga, ulinunua pombe na kitimoto, ulinunua midoli, gari, nyumba, ulifungua duka likafail hiyo pesa hujapoteza bali ulitumia ila hali ya umaskini ndio inakufanya uhesabu...
  15. Davidmmarista

    JamiiForums Tanzania Je ni kitu gani kilikufanya uwe maarufu shuleni?

    Mdau karibu utuambie
  16. BB_DANGOTE

    JamiiForums Tanzania Fungua mwanga wa mustakabali wa sekta- Jiunge nami kufanya kitu cha kimaendeleo na kuvutia sana(Bila mtaji wa kwanza lakini kwa shauku kubwa )

    Habari za mda huu , JIna langu naitwa Geofrey ni mwanafunzi wa shahada ya kwanza ya uhandisi .Pamoja na masomo yangu nimejitengenezea msingi imara wa uelewa wa biashara kwa kusoma vitabu tofauti vinavyoelezea mbinu bora za ujasiriamali, usimamizi wa biashara na mkakati wa soko. kwa kipindi cha...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini Elon Musk haondoi video za pono kwenye huko twitter, hii kitu ina addiction kali sana kwa vijana

    Nahisi sikuhizi wadau wa haya mambo hawaingii kwenye zile sites zao, wananyooka moja kwa moja twitter MADHARA YAKE Porn inamaliza pesa, ni sembe ya kidijitali, mtu yupo radhi ale maandazi usiku ili anunue kifurushi cha elfu mbili Porn inachochea kujichua ukiwa mraibu wa kujichua kwa muda...
  18. jamaikatz

    JamiiForums Tanzania Ni kitu gani ambacho kinakufanya usiende nyumbani kwenu japo unapamiss sana

    Kwangu mimi ni ugumu wa maisha
  19. Fufua Tumaini Jipya

    JamiiForums Tanzania Kila kitu ni mradi hapa duniani (project) na binadamu ni mradi wa Mungu pamoja na shetani these are making big Profits

    Yaani hapa duniani kila kitu ni mradi (project) ambayo ipo designed by God and evil. God and devil are the same Wote hawa ni kitu kimoja. Wanabariki Wanampa mtu utajiri na umasikini Wanatoa laana . N.k So usipokuwa makini you will hustle in vain forever Lazima ukae na hawa coordinator in...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Watu kitu wasichojua ni kwamba hata hii dunia ni mali ya Marekani. Hata Mungu analijua hilo

    Tukae kwa kujiandaa kuwa anytime Marekani akitaka chochote at any time t anachukua mana tumeazimwa tu. Hata hii hewa tunayovuta ni mali ya mmarekani. Hata hii intetnet tunayotumia ni mali yake siku mkimuudhi tu anqzima saver za africa mnaanza kufa kama nzige nyie kwa nyie mana mtakuwa...
Back
Top Bottom