Hakika zama zimebadilika. Siku hizi vijana wa miaka ya 30 nao bado wanaishi nyumbani, bado wanategemea wazazi wao.
Nilivyo kuwa in my early 20s nilidhani by the end of my 20s Nitakuwa na familia yangu na watoto wawili.
Ila sasa ndo akili zinanijia kuwa it was just a dream, mifumo imebana...