kitu kimoja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Palm Beach

    Hii kauli ya Nchimbi inaashiria kitu kimoja tu; kuna jambo zito na baya Ikulu ambalo sisi huku nje hatujalifahamu!

    https://www.jamiiforums.com/threads/nchimbi-awaomba-viongozi-wa-dini-kumwombea-rais-samia-dhidi-ya-watu-wabaya.2418471/ Hiki ni kipande kidogo cha video clip cha hotuba ya VP Dr Emmanuel Nchimbi alipohudhuria mkutano wa CPCT jana tarehe 7/2/2026. Ujumbe wa hotuba hii unasisitiza mambo kadhaa...
  2. Genius Man

    Mauwaji na utekaji sio jambo dogo la kutuweka pamoja ndio maana wananchi wamegawanyika

    Mauwaji na utekaji sio jambo dogo la kutuweka pamoja ndio maana wananchi wamegawanyika na ajiandae kuona jeshi likiasi hatuwezi kuwa kitu kimoja. Mauwaji na utekaji hauwezi kutujenga kitu kimoja bali ni kulazimisha uadui na vita ambavyo haviepukiki.
  3. Genius Man

    Mapinduzi ni suala dogo kuliko mauwaji na utekaji unaofanywa na anayeuwa na kuteka amestahili mapinduzi ni haki yake hatutokuwa kitu kimoja

    Mapinduzi ni suala dogo kuliko mauwaji na utekaji unaofanywa na anayeuwa na kuteka amestahili mapinduzi ni haki yake hatutokuwa kitu kimoja. Na amestahili kwasababu ni mpumbavu na anahatarisha maisha ya kila mmoja wetu ni mwehu mapinduzi yatakuwa mwokozi wa uhai wa watanzania dhidi ya wapumbavu...
  4. Fbn

    Kitu kimoja serikali ya CCM ilichoweza na kutamba nacho ni kuweka ugumu wa kumiliki silaha za moto

    Naweza kutoa mifano ambayo sio kazi rahisi kama ilivyokuwa kwetu unachukuliwa kizembe tena nyumbani kwako au mazingira yoyote wakiwa na mamlaka ya silaha ila wewe cha kujitetea huna. Siwezi kuwa mchochezi ila tunajifunza na wenzetu kwa nini walikomesha mambo kama haya hata kama watawala...
  5. M

    Haki na Amani ni kitu kimoja

    kwa sasa hoja kubwa nchini ni HAKI kwanza kabla ya Amani, mimi ninakubaliana na hilo popote pale kama hakuna haki automatic Amani haipo. Wana falsafa wote enzi za kale walihubiri Haki kisha Amani. Koran na Biblia mitume wote wilihubiria Amani . Sisi waislam dhana muhimu kabisa ni HAKI na vivyo...
  6. Robert Heriel Mtibeli

    Maskini! Lissu na Magufuli waligombanishwa na kujikuta wakiwa kwenye vita kubwa. Wakati wangetakiwa wawe Kitu Kimoja. Nafikiri nchi ingekuwa imeula!

    Mpo salama! Kwa uelewa wangu nafahamu Wazalendo(wapenda nchi) wa dhati wapo popote. Kuna Wazalendo wapo CCM. Kuna Wazalendo wapo CHADEMA Kuna Wazalendo wapo vyama vingine vya upinzani. Na kuna Sisi Wazalendo ambao hatuna chama. Ni kosa la kiufundi na ninyi Mjinga pekee ambaye atafikiri chama...
  7. B

    Nimemwambia binti ambaye ni jirani yangu haina maana "kunyimana" sisi ni kitu kimoja amechukia!

    Wakuu, poleni na pilika Sasa, kuna binti ambaye ni tunaishi nyumba moja, Huwa anavaa khanga moja anapita akaniona tu anapita anatikisa mzigo sio poa, wengine anapita amevaa amejizinga vizuri tu Ila akiniona anavaa "nusu ngozi nusu nguo""🥶 👉Ni mzuri wa maumbiko amejaa haja nyuma sio poa Sasa...
  8. kaputula

    M23 na janjaweed (RSF) ni kitu kimoja kwa itikadi zao za kimbari

    Kwa wale wenye kumbukumbu watakumbuka kile kikosi cha kijeshi cha waasi Sudan kilichokua na jina la Janjaweed wakati wa enzi ya utawala wa el Bashir. Kikosi hiki kilichoundwa na wasudan wenye kujiona wao ni waarabu lengo lake lilikua kuwafurusha waafrika weusi toka kwenye jimbo la Sudan la...
  9. Nirvana G7

    Mungu kaumba vyote lakini kasoro kitu kimoja

    Habar za jion wakuu, I hope mko good. Kama kichwa cha hoja kinavyojieleza, nilikua najihusisha sana na mambo ya dini na hiyo ilikua baada ya kuwa najikuta kuwa na doughts nyingi kuhusiana na uwepo wa mungu. Kwa sasa nimepata majibu lakin ndipo nikaja kugundua pia kwamba huyu Mungu niliekuwa na...
  10. Theofrey Theofrey

    Mpende kila mtu, mheshimu na jua ana mchango fulani kwenye maisha yako

    Dunia yote ni kitu kimoja, sisi binadamu ni kitu kimoja. Huu ndiyo ukweli ambao ukiuelewa na kuuishi kila wakati utakuwa na maisha bora. Tumekuwa tunaambiwa na jamii zetu, kwamba kundi letu ni bora kuliko la wengine, kwamba rangi yetu ni bora au asili na kabila letu ni bora kuliko nyingine...
  11. P

    Mpo 100 kwenye chumba, ili ushinde milioni 100 unatakiwa kufanya kitu kimoja unachokiweza sana kuliko wote. Utafanya nini?

    Wakuu kwema? Tuchangamshe kichwa kidogo. Mpo watu 100 kwenye chumba kimoja, na kuna milioni 100 za kushindaniwa. Ili uweze kunyakua mahela hayo unatakiwa kufanya kitu kimoja ambacho utawashinda wengine wote. Ungefanya kitu gani? Mimi ningekaa kimya tu, maana watu asiku hizi hawajui kunyamaza...
  12. Nyanda Banka

    Siasa na Sheria ni kitu kimoja?

    Kuna rafiki yangu mmoja tulipokuwa kwenye mazungumzo fulani ya kimaendeleo aliniambia kauli kuwa Siasa na Sheria na kitu kimoja kwa kuwa vyote vimejikita kwa kucheza na maneno tu.
  13. Engager

    Nitajie kitu kimoja Mungu aliumba/ aliweka hapa duniani kinavutia kutazama zaidi ya Mwili wa mwanamke

    Uwa nasema, kama kunapahala Mungu alituliza akili katika uumbaji, basi ni wakati anamuumba mwanamke. Mwili wa mwanamke aisee uliumbwa vizuri, unavutia kutazama. Kama unahisi kunakitu Mungu aliumba kinavutia kutazama zaidi ya mwili wa mwanamke, twambie ni kipi.
  14. Samia atosha tukutane2030

    Uwepo wa kitu kimoja sehemu mbili tofauti kwa wakati mmoja

    Habari! Naomba nijadili na ninyi hili jambo ambalo limetutokea juzi Mimi na rafiki yangu. Miaka kadhaa iliyopita nimewahi kusimuliwa na jamaa mmoja ambaye scientific calculator yake ikiwa nyumbani kwake na kuna rafiki yake aliitumia kwenye paper chuoni kwa kipindi kimoja. Yaani the same time iko...
  15. LIKUD

    Ukweli mchungu: Mayele bado ana miss kitu kimoja kikubwa sana!! Ndicho kinacho fanya Kibu Dennis aonekane bora kuliko Mayele

    Mayele ana miss " Njaa" . N jaa ya kutaka kufun ga magoli mengi ndani ya mechi moja. Mayele akifunga goli moja kwenye mechi huwa anaridhika kabisa na huwa haonekani kama ana nia au lengo la kuongeza goli la pili kitu ambacho kinampunguzia credit ya kuwa...
  16. B

    Ili Kuongeza kipato kwa Serikali nimewaza kitu kimoja

    Kupunguza msongamano mjini nashauri serikali iuze petrol lita moja tsh 5,000. Na pia serikali izingatie sana uingizaji wa magari nchini. Magari ya maana ni kuanzia CC 3000 PLUS angalau ya kuaanzia mwaka 2015. Iwe gari zinazoingizwa nchini zisiwe zimepita miaka 5 toka kutengenezwa na zisome...
  17. mama D

    Mama aliyezaa watoto7 akimbiwa na wanawe, aishia kutunzwa na mjukuu wa miaka8 - Kuzaa ni kitu kimoja na kupata furaha ya uzao wako ni kitu kingine!

    Mama amezaa watoto7 lakini hana hata wa kumjulia hali, tena katika maradhi yanayomsibu. Hivi kweli waafrika wa Tanzania tumefikia hatua ya kushindwa kulea wazazi wetu!? Yaani hii ni kinyume kabisa na mila na desturi zetu. Mgonjwa kiasi hiki kutelekezwa na watoto wake wa kuzaa! Inaumaaaa...
  18. Memento

    Nimeamini CCM huwa kitu kimoja kwenye maslahi yao binafsi

    Nimeamini kwenye maslahi CCM ni kitu kimoja, sasa hii itakuwa kazi kubwa kwetu kuanzia sasa kupambana na kuiondoa CCM na wataondoka tu. Miezi michache iliyopita kulikuwa na bifu kubwa sana Kati ya Mataga(CCM ya mwendazake) na CCM asilia(ile ccm ya mafisi) , naiita CCM ya mafisi maana hata...
Back
Top Bottom