kitimoto

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Sehemu gani kwa DSM wanauza kitimoto rosti nzuri bila kuiba? Nataka niende na shemeji yenu

    Husika na kichwa cha habari hapo juu, mimi Don Pdidy kwa heshima na t aadhima nilipenda kutoka na shemeji yenu siku ya christmass. Kwa bahati nzuri hana ghara ma shuhuli iko kwenye ngrooongroo anapenda iliostaraabika (haiibiwi). Na iliorostiwa standard. Tafadhali kwa maeneo ya dar aaepajua...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Nyama Safi kabisa ya Kitimoto (my wetu) Imeandaliwa vizuri

    Nyama Safi kabisa ya Kitimoto (my wetu) Imeandaliwa vizuri imeshatolewa mafuta na ngozi ya juu! Kwa wakazi woote wa wilaya ya kinondoni mnafikiwa chap kwa haraka!! Nipe order yako mapema nikuletee Kilo 1 tsh 11,000 tu!! Free delivery nakuletea Hadi barabarani! Fanya kutupigia ujirambe aisee...
  3. JamiiForums Tanzania Kitimoto kuuzwa holela si ustaarabu!

    Katika jamii iliyostaarabika kwanini tusiheshimu Imani za wengine? Mabucha holela kila sehemu. Why?
  4. JamiiForums Tanzania Hivi uharamu wa Gongo, Bangi na kitimoto ni nini?

    Tangu nakua mpaka sasa nishazeeka nasikia kuwa Gongo, Bangi na Kitimoto ni haramu. Hivi uharamu wake upo kwenye nini hasa? GONGO Uharamu wa Gongo upo kwenye vikorombwezo vinavyotumika kuitengenezea? Kwenye vyombo vinavyotumika kutengenezea ama kunywea? Upo kwenye sehemu inaponywewa au kwa...
  5. JamiiForums Tanzania Serikali yawatoa hofu walaji wa kitoweo cha nguruwe (kitimoto)

    Mtendaji mkuu wakala wa maabara ya veterinali Tanzania TVLA Dk. Stella Bitanyi amewatoa hofu walaji wa kitoweo cha nguruwe (kitimoto) ambacho kwa siku za hivi karibuni kuliibuka hofu kwa walaji kuhisi kuwa nyama ya mnyama huyo ina wadudu wenye madhara kwa binadamu. Dk. Stella Bitanyi Amesema...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa uto waazimia kumuonyesha mlango wa kutokea kocha wao. Wachezaji wakongomani nao kuwekwa kitimoto

    Jana baada ya uto meza kuwapindukia kwa kupigwa kimoja bila majibu na Al Hilal na hivyo kuangukia Kombe la Losers, uongozi chini ya Injinia wa mchongo wameazimia yafuatayo: 1. Kocha ajieleze na aoneshe hiyo meza aliyowaaminisha wana Yanga ataipingua Khartoum ni meza ya aina gani? 2. Kwa nini...
  7. A

    JamiiForums Tanzania SoC02 Jinsi walaji wa kitimoto walivyo hatarini kupata magonjwa

    Walaji wa nyama ya nguruwe nchini wako hatarini kupata magonjwa mbalimbali kikiwamo kifafa kutokana na maandalizi duni ya kitoweo hicho maeneo ya baa na nyama hiyo kutokaguliwa na wataalamu. Pia, kukosekana kwa machinjio za nguruwe za kutosha ni changamoto nyingine inayosababisha watu kuchinja...
  8. JamiiForums Tanzania Naombeni namna ya kuepuka kula kitimoto

    Nipo jirani na wauzaji kwa kweli napata tabu sana kuacha kula maana nahisi itaniletea madhara jamani na nyama ni tamu. ============= Asanteni sana kwa ushauri naona nimelaaniwa vikali kuacha hii kitu na wadau wadau wote wamesema niendelee kuila ni nzuri...
  9. JamiiForums Tanzania Natafuta kununua Miguu ya kitimoto kwa Dar es Salaam kwa Kongoro

    Wakuu, kama una sehemu unafahamu wanauza miguu ya kitimoto nahitaji ya kununua. Nimefungua kijiwe cha Kuchemsha Kongoro zake. Nahitaji order kuanzia 80 na kuendelea. Nicheki kwa simu 0762 75 31 40, whatsapp pia 0762 75 31 40. Asanteni.
  10. JamiiForums Tanzania Kitimoto nacho BEI JUU!

    Watukufu ndugu zangu. Inakuaje Kitimoto kipande bei ghafla hivi? Yaani nilikipania mwezi mzima sijala. Kutoka 14,000/kg TZS mpaka 21,000/kg. Imebd nilipe tu Sina namna. Ila namna hii sio fair. ***Nakula huku Nina hofu sana
  11. JamiiForums Tanzania Walaji wa nyama ya kitimoto hatarini kuugua kifafa

    Mapema leo asubuhi Dkt. Yusuf Jamnagerwalla wakati akiogiwa na kituo cha clouds 360, alunukuliwa akiyasema haya. Ulaji wa nyama ya kitimoto husababisha ugonjwa wa kifafa, ameenda mbali zaidi na kudai kuwa ulaji wa nyama ya kitimoto unasababisha ugonjwa wa kifafa isipopikwa vizuri. Kazi kwenu...
  12. JamiiForums Tanzania Nilivyokuwa napika kitimoto na ndizi

    Jinsi nilivyokuwa napika kitimoto na ndizi. Kwanza mfahamu kuwa nilikuwa napika chakula kingi, siyo kama kile cha kwenye video. Mahitaji. Kitimoto kilo moja. Ndizi mzuzu kumi, napendelea zile zinakaribia kuiva(zisiive sana). Kitunguu kimoja kikubwa. Nyanya kubwa nne. Hoho moja kubwa Pilipili...
  13. JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu biashara ya kupika kitimoto

    Wakuu habari za miaka Moja kwa moja niende kwenye mada kama kichwa cha habari kinavyosema Kwa mwenye uzoefu wa biashara ya kuuza kitimoto roast au ya kuchoma na makange ya kitimoto naomba anijuze anipe ushaur na changamoto za kuchukua. Ikikupendeza niambie kila unachofahamu kuhusu biashara hii...
  14. JamiiForums Tanzania Nyama ya Nguruwe: Ni kweli ina vimelea hatari vinavyosababisha ugonjwa wa ini?

    Wana JF nawasalimu, Wakuu nikiachana kwa upande wa dini zetu ISLAMIC na SABATO-CHRISTIAN uhalali na haramu wa NGURUWE, kuna mambo mengine yanayosemwa kuhusu nyama ya nguruwe. Mimi sijui kama ni uzushi au ni kweli kwa hivyo nawaomba wana jamvi watufafanulie sifa hizi nzuri na mbaya zinazo...
  15. I

    JamiiForums Tanzania Kwanini baadhi ya watu hawali kitimoto?

    Inasemwa kuwa eti mfalme mmoja aliekuwa na wake wawili wazuri alialika wageni nyumbani kwake. Akaagiza wachinjwe wanyama wa kila aina kutoka katika mifugo yake - mbuzi, ng'ombe, ngamia, kuku, bata, kondoo, nguruwe, nakadhalika. Baada ya mapishi kuwa yamekamilika wake wa yule mfalme waligundua...
  16. JamiiForums Tanzania Biashara ya kusafirisha nyama ya Nguruwe Morogoro - Dar-es-Salaam

    Kwa yeyote ambaye amewahi fanya hii biashara ya usafirishaji nyama ya nguruwe toka Moro to Dar naomba msaada wako. Naomba kujua njia ya usafiri uliyotumia, masoko, changamoto n.k Asante sana.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…