Walaji wa nyama ya kitimoto hatarini kuugua kifafa

Expensive life

JF-Expert Member
May 2, 2020
1,863
5,919
Mapema leo asubuhi Dkt. Yusuf Jamnagerwalla wakati akiogiwa na kituo cha clouds 360, alunukuliwa akiyasema haya.

Ulaji wa nyama ya kitimoto husababisha ugonjwa wa kifafa, ameenda mbali zaidi na kudai kuwa ulaji wa nyama ya kitimoto unasababisha ugonjwa wa kifafa isipopikwa vizuri.

Kazi kwenu walaji wa kitimoto.

kifafa.JPG

Dkt. Yusuf Jamnagerwalla​
 
Mapema leo asubuhi Dkt. Yusuf Jamnagerwalla wakati akiogiwa na kituo cha clouds 360, alunukuliwa akiyasema haya.

Ulaji wa nyama ya kitimoto husababisha ugonjwa wa kifafa, ameenda mbali zaidi na kudai kuwa ulaji wa nyama ya kitimoto unasababisha ugonjwa wa kifafa isipopikwa vizuri. Kazi kwenu walaji wa kitimotoView attachment 2120482
Wivu ni kitu kibaya sana.
Tangu nazaliwa naila na nimekuta wazazi wanala sijawahi ona wala sikia mgonjwa wa huo ugonjwa.
Mbona dini fula i wanakataa kuila ila kitabu chao kinaruhisu ukiwa na njaa na ukaikuta kule tena kikasistiza ushibe kabisa
 
Huyo dokta mwenyewe shehe ulitegemea aseme Nini sasa
Mi nadhani wivu tuu.
Juzi kwenye foleni tulisimama maeneo ya korogwe pale service road kulia kama unaenda kimara sasa kwenye gari kulikuwa na astaz si gari likasimama usawa wa ile bar nje wanakaanga mdudu?basi nikaona astaz anainua shingo juu kidogo kama kama anajiandaa kupiga chafya kumbe bhana ni ile harufu ya rosti anamezea mate
 
Dokta Kamalizia vizuri, Ya Muhimu ni ile Sentensi Ya Mwisho ' Isipopikwa Vizuri' ...! Sasa mnaotengeneza Hiyo 'hot Chair' cha Muhimu Muipike Vizuri....Maana Hiyo kitu Kwa Mtumiaji SIO RAHISI Kuiacha.
CONCLUSION:
Kifafa sio Kizuri hivyo Jamani chonde chonde Tupikieni Vizuri Dokta 'Karuhusu' hiyo kitu....
 
Back
Top Bottom