kitimoto

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pakome

    Hii Habari ni ya kweli? Malalamiko ya baadhi ya waumini wa Kiislamu kufuturishwa Pilao ya Kitimoto na kupewa mawaidha ya Kikristo

    Kuna taarifa inaendelea katika mtandao wa YouTube ikilalamikia kuwepo kwa kundi la baadhi ya Wakristo waliowafuturisha baadhi ya Waislamu kwa kuwakaribisha Pilao ya Kitimoto na mahubiri ya Kikristo https://youtu.be/AUGORT9jeF8?si=mEeR6SdYrf78df_- Imechapishwa na:
  2. Mwachiluwi

    Jifunze kupika kitimoto na mboga za majani

    Tulia hapa nikuelekeze jinsi ya kupika kitimoto kizuri cha geto na ugali Kwanza tafuta chainizi au mchicha ukate kama hivi nilivyo kata mimi Kisha anza kukaanga kitimoto chako usiwek mafuta na baada ya hpo weka zako vitunguu kaanga mpaka vilainike na uwke karoti na nyanya usiweke hoho...
  3. comrade_kipepe

    Sasahivi kitimoto hata uende sa9 usiku unaikuta

    Wakati kabla ya mambo ya kushinda na njaa hayajaanza ilikua ukienda hata sa12 tuu huikuti. Je, wakina nani hua wanakula sana Nguruwe hadi kwasasa iwe inabaki nyingi? Nini kimetokea? Karibu katika mjadala. Mapovu pia napokea nitafulia kanzu yangu.
  4. and 998 others

    Wauza kitimoto wasajiliwe Halmashauri

    Nashauri wauza kitimoto wote wasajiliwe na Halmashauri husika. Ili kuboresha huduma na mazingira ya usafi zilipo ofisi za wauza kitimoto
  5. Mshana Jr

    Mada ya kitimoto: Nyama inayajadiliwa na kutawaka mijadala mingi duniani

    Ni haramu sio haramu? Uharamu wake unatokana na nini? Je kuna mazingira haramu inaweza kuwa halali? Je ndio nyama tamu zaidi duniani? Je ndio nyama inayoliwa zaidi duniani? Je ni kweli ndio nyama inayobeba magonjwa mengi? Je ni kweli inafukuza mapepo na kusafisha nyota? Je ni kwanini mganga...
  6. ELI COHEN

    Video: Man Fongo akitetea ulaji wa kitimoto

    hamis77 secretarybird kuna ex-communicado mwenzenu hapa😁😁
  7. Imani rubaba

    Tanzania tunatumia takriban tani 79,000 za kitimoto kwa mwaka, lakini tunazalisha tani 27,000 tu

    Kwa mujibu wa TAPIFA (2024) 🐖 Tanzania hutumia takribani tani 79,000 za nyama ya nguruwe kila mwaka, lakini huzalisha tani 27,000 pekee. 👉 Tani 52,000 huagizwa kutoka nje kila mwaka. Huu si upungufu wa kawaida — 👉 ni fursa kubwa ya biashara kwa wafugaji wa ndani. 🔴 Changamoto si soko...
  8. Fbn

    Bucha la kitimoto linalipa tena ukiliweka classic

    Achana na biashara za kukaanga kitimoto na sema bucha la kitimoto chenye chuki kubwa duniani ila ndio nyama tamu ya kumtoa ubwabwa jikoni. Watu wanasema fursa hakuna ila fursa zipo japo nchi ya utawala wa ovyo ndio shida. Bucha classic ambalo utatoa maelekezo wasio tumia kuwa sio sehemu yao...
  9. Yoda

    Tujitahidi kuboresha biashara ya kitimoto, tunahitaji mapinduzi ya upikaji kitimoto katika nchi

    Hapa nilipo kitimoto inayopatikana ni ya kukaanga iliyo kavu au rosti tu, ya kuchoma inapatikana kwa nadra sana, na hivyo ndivyo hali ilivyo sehemu kubwa ya nchi. Kwa hakika tunahitaji ubunifu zaidi katika mapishi ya kitimoto katika hii nchi, karibia kila mahali wanapouza kitimoto mapishi ni...
  10. Chizi Maarifa

    Mwaka 2002 nilitupiwa Majini pale Ilala. Yakaja yakakuta nakula kitimoto

    Hii hadithi ni ya kweli kabisa. Kwa wakazi wa Ilala wachache wanaweza kuwa wanaikumbuka. Sitotaja details nyingi lakini kwa wale wanaofahamu maeneo yale ya Shariff. Nilipanga kule Si haba miaka hiyo nina kausafiri kangu kama mnazifahamu Toyota Baloon. (Kama sasa vijana wanavyohangaika na Toyota...
  11. Pdidy

    Kitimoto inaliwa na wenye pesa tu!

    Wakuu! Niongezee sautii ama? Kitimoto inaliwa na wenye pesa tu ndugu mheshimu
  12. Yoda

    Mnawezaje Kula Kitimoto mkakifurahia na Ndizi mzuzu ngumu?

    Jana usiku kuna mahali nimefika watu wanauza kitimoto na ndizi mzuzu ngumu sana(zisizo mbivu ambazo zimekaangwa). Hawana kitu kingine cha kulia kitimoto zaidi ya hizo ndizi mzuzu ngumu mbichi au ugali, niliweza kula hizo ndizi moja na nusu mpaka sasa hivi nahisi zimesimama tumboni. Mandizi...
  13. Hyrax

    Nataka kufungua kijiwe cha kitimoto pembezoni mwa barabara Je wazo hili ni sahihi?

    Wakuu nimenunua eneo la biashara mji X na lipo pembezoni mwa barabara nzuri tu, moja ya biashara nayotaka kufanya eneo hilo ni kuweka kibanda cha kisasa cha nyama ya kitimoto. Sasa najiuliza Je, nitakuwa nimevunja sheria yoyote kwa kufanya hivyo ikiwa watakaokuwa wanapita eneo hilo ni ndugu...
  14. Kipenzi Changu

    Hivi kitimoto iliwakosea nini waislamu?!

    Chuki dhidi ya huyu mnyama ni kubwa sana, sijui huyu mnyama aliwakosea nini kikubwa waislamu. Nahitaji kujifunza umahsusi wa dhambi ya kitimoto ni upi kulinganisha na dhambi zingine. Muislamu atamvumilia mtu mlevi, mzinzi, muongo lakini hawezi kuvumilia kusikia kuhusu kitimoto. Nimekuja lodge...
  15. Yoda

    Usumbufu wa paka mpaka kwenye kitimoto, serikali shughulikieni

    Serikali fanyeni mpango wa kuhasi paka wa Bar ili kuwapunguza, wamekuwa wengi sana mpaka kero, kuna paka leo kaniparua kiwiko cha mkono anataka nimpe kitimoto kwa lazima! hii haikubaliki.
  16. Yoda

    Ni sahihi mtu mmoja kula kitimoto nusu kilo peke yake akamaliza?

    Hili suala la mtu mmoja kula kitimoto nusu kilo na ndizi mbili au ugali peke yake na akamaliza limekaaje kiafya? Huu sio ulafi na matumizi mabaya ya pesa?
  17. Lupweko

    Dotto Abdallah Ketto (Doto Magari) atafuna nyama ya kitimoto hadharani

  18. KING MIDAS

    Tupeane machimbo kunapouzwa kitimoto. Pia tubasilishane ujuzi wa mapishi

    Wapendwa, mambo vipi? Tuko hapa kibadilishana mawazo, maarifa, na kujulishana machimbo wanakouza Kitimoto 🐖🐷🐽 katika mikoa mbalimbali na wilaya zake
  19. U

    Ndugu Wasabato kama ni kweli kula kitimoto ni dhambi leteni ushahidi kimaandiko wa adhabu kwa anayeitumia. , dhambi nyingine adhabu zimetajwa

    Wadau hamjamboni nyote? Ushahidi huu adhabu kwa dhambi nyingine:. ::: 19 Basi matendo ya mwili ni dhahiri, ndiyo haya, uasherati, uchafu, ufisadi, Wagalatia 5:19 20 ibada ya sanamu, uchawi, uadui, ugomvi, wivu, hasira, fitina, faraka, uzushi, Wagalatia 5:20 21 husuda, ulevi, ulafi, na...
Back
Top Bottom