kitima

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Nina Imani na TEC nasubilia mrejesho kutoka kwa Faza Kitima mmejadili Nini na Rais? Je yupo tayari kukili?

    Leo TEC imekutana na Rais ikulu ya DODOMA Tunaomba mrejesho,? Naomba KUJUa Faza Kitima kama umemuuliza amili kesho mkuu mlinzi wa Raia na mali zao, walio taka kukuaau VYOMBO vyake vimefikia wapi?
  2. JamiiForums Tanzania Fr Kitima: Unataka uridhiane na nani na hujakiri kosa?

    Father Kitima kanyooka kama rula. Tupo pamoja na Wakatoriki
  3. JamiiForums Tanzania POTOSHI Kitima amshukia vikali Nchimbi, anaigiza na kutudanganya. Je, kuna ukweli hapa?

    Kitima huwa hapindishi kanyooka kama rula. Kumbe Nchimbi anaigiza! Anatudanganya. Roma Locuta; Causa Finita est.!
  4. JamiiForums Tanzania Pacome, Kitima na Warioba wametembelewa

    Ziara hizi zimeratibiwa kiufundi kwa lengo la kisiasa ama imetokea kwa nasibu tu?
  5. JamiiForums Tanzania Anachokifanya Fr. Kitima ni utovu wa nidhamu kwa mamlaka ya Kikatoliki

    Harakati zinazofanywa na Padre Charles Kitima hivi sasa nchini Tanzania zinaibua maswali mazito ya kisheria na kimaadili ndani ya Kanisa Katoliki. Ifahamike kuwa Kanisa Katoliki duniani kote linaongozwa na "Code of Canon Law" ambapo Kanuni ya 287(2) inawakataza wakleri (mapadri na maaskofu)...
  6. JamiiForums Tanzania Yuko wapi Fr. Charles Hugo Kitima, BSc, MSc. Phd Katibu Mkuu wa TEC?

    Na je, Mkapuchini Jude Thaddeus Ruawa'ichi O.F.M.Cap, Archbishop of Diocese of Dar Es Salaam Tanzania, yu hali gani kisiasa kwa sasa? Au amerudishwa madhabahuni kwa lazima na katekista J. Lodovick? Na je, water melon wa kanisa katoliki Tanzania, Wolfgang Pisa, O.F.M Cap, Bishop of Lindi...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Mbunge Kitima: Kijiji ninapotoka hakuna Mawasiliano nikienda ziara nipo gizani, nalazimika kulala mjini

    Mbunge wa Jimbo la Ikungi Mashariki, Thomas Kitima Mgonto akiwa Bungeni Dodoma Leo Aprili 22, 2026 amehoji Serikali ni lini itajenga minara ya Mawasiliano akieleza Vijiji vingi katika jimbo hilo hakuna mawasiliano jambo linalofanya akienda kwenye ziara ni kama yupo gizani na kulazimika kulala...
  8. A

    JamiiForums Tanzania Pope Leo kama Kitima

    “You need to be silent!” — Karoline Leavitt’s tweet targeting Pope Leo XIV backfired spectacularly when he read every single word live on television, capturing the nation’s attention and leaving the entire studio in absolute silence!! When Karoline Leavitt accused Pope Leo XIV of being...
  9. JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli kuwa serikali yetu haishauriki kwa kiasi hiki, au Fr. Kitima unafanya siasa?

    Kipekee sana nimekuwa na heshma kubwa na ukatoliki. Kama ilivyo kwa wakristo wengi, wengi wetu, kwa kiasi kikubwa malezi ya utotoni tumeyapatia katika kanisa katoliki, baadaye baadhi yetu kwasababu mbalimbali tumejikuta ni wakristo wa madhehebu mengine. Mbali na malezi ya kiroho kwa wakristo...
  10. JamiiForums Tanzania Huwezi kumuelewa Padre Kitima mpaka ukutane nae

    Huwezi kumuelewa Padri Kitima kama bado hujakutana na Changamoto ya wasiojulikana mbali na mengine yote huyu Mzee ni hazina ya Taifa alindwe kwa wivu Mkubwa,, Japo ni mwiba kwa watawala ila ni alama ya msimamo juu ya uanaume na maamuzi magumu huitaji kutumia nguvu kubwa kama unafungua bolt za...
  11. JamiiForums Tanzania Dr faza Kitima, hamtamki Dr Samia na Dr Nchemba kama Dr je WAJUA kwa Nini? Elimu ya ZAWADI Haina mvuto

    Nina jua madhara ya andiko kama langu maana aliyehoji elimu ya Magufuli alitekwa na KUPOTEZwa mpaka Leo Sina amani ya kusema Ben Saanane kamwe Inaumiza kwa elimu za kibongo zilivyongumu Kuona mtu anapewa updh una UMMA sana Mimi niliwai Kuoji hivi mwigulu na Dr Jafo wakiwa mawaziri waliwezaje...
  12. JamiiForums Tanzania Shangwe laibuka baada ya Padri Kitima kutambulisha wanasiasa na viongozi wastaafu kwenye msiba wa Kardinali Pengo

    Wakuu, Nauliza tu Kwanini hawa viongozi wastaafu walivyotambulisshwa shangwe limekuwa kubwa mno Hapo Pinda, Warioba na Majaliwa walivyotambulishwa shangwe lilikuwa kubwa mno lakini alivyotajwa Nchimbi vibe halikuwa kubwa hivyo
  13. JamiiForums Tanzania Kitima akitambulisha viongozi wa sasa na wastaafu msiba wa Pengo

    Wakuu, Kitima ametambulisha viongozi wa sasa serikalini pamoja na wastaafu, shangwe la majaliwa sio la nchi hii
  14. JamiiForums Tanzania Padri Kitima akitambulisha uwepo wa vyama vya siasa mbalimbali kwenye msiba Kardinali Pengo. Umegundua nini?

    Wakuu, Hii ni leo wakati Padri Kitima anatambulisho uwepo wa vyama vya siasa mbalimbali kwenye msiba wa Kardinali Pengo Hapo kuna sehemu kataja kuna vyama 17
  15. K

    JamiiForums Tanzania Sarakasi za Fr. Kitima na Maoni ya watu kwenye Msiba wa Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo

    Raha ya milele umpe Ee Bwana, apumzime kwa amani, Amina! Binafsi nimeona mijadala mbalimbali ikimuhusisha Fr. Kitima na namna alivyowatambulisha watu kanisani na namna alivyomkaribisha Rais kuaga mwili wa Marehemu Pengo. Sehemu kubwa ya mjadala watu wanasema kwamba Fr. Kitima kaonyesha dharau...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Kanisa Katoliki mnakwenda wapi? Mmesahau kipigo cha Padre Kitima

    Mnashirikiana nao vipi katika mazishi haya ya Kardinali Pengo? Sisemi mjenge uadui na serikali, hapana. Ila msiwahusishe, waje kama waombolezaji wengine na wapewe kiti cha mbele , lakini si wabeba msiba. Msiwasafishe kwa ya 29/10. Kesho hamtawakemea wakitenda maovu
  17. R

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wa Leo: Wizi wa kura ni Chukizo kwa Mungu by Padre Kitima

    Huu ndio ujumbe wa Leo Msikilize
  18. JamiiForums Tanzania Padri Kitima: Wakatoliki tuna sheria nzuri sana, ukitaka kumtuhumu Kitima anzia kwa Paroko. Ukianzia kwa Papa utarudishwa kwa Paroko

    Akizungumza wakati wa Misa ya kumuombea na kumuaga Marehemu Mariam Kessy aliyekuwa Mwenyekiti wa CPT Taifa, Padre Dakta Charles Kitima, Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Kanisa Katoliki Tanzania alisema: "Sisi kwenye Kanisa Katoliki wewe ukiwa na shida yoyote hata kama ukiwa unataka...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Watu mna Siri Sana Padri Kitima amekuwa Askofu na Hamsemi

    Nimesikiliza video ya dada Mmoja anajiita Lucy Michael mkazi wa Yombo Dovya Kata ya Makangarawe, anajitambulisha kuwa yeye ni Mkatoliki akimtuhumu Padri Kitima kwa kujihusisha na siasa, kilichonishangaza huyu Dada Mkatoliki anamuita Padri Kitima kuwa ni Askofu, hapa imebidi nijiulize yaani Padri...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Script imeshaandikwa tayari wale ‘waliomshambulia’ dada fake wa kikatoliki wamekamatwa

    Hii nchi tunapoelekea Sasa siyo, Kuna script imeandikwa kuwa wale waliomshambulia dada mkatoliki fake wamtaje Padri Kitima ndiyo kawatuma, na wajitambulishe kuwa wao ni waumini wa Katoliki vigango ambavyo ni fake. Lakini Polisi Temeke wamegoma kuicheza script wamewataka husika wakate rufaa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…