kitengo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kitengo cha maudhui ya mitandaoni cha Israel kinaongozwa na wahuni au watu wasiojitambua

    Toka huu mzozo wa Israel na Palestine kushika kasi kwa sasa. Kuna baadhi ya mambo ya nimeyang'amua yanayo onesha upuuzi wa idara mbalimbali au vitengo mbalimbali katika taifa la Israel. Moja ya kitu kinacho nishangaza na kunipa mashaka juu ya utimamu wa kiakili wa watu wanaongoza utoaji wa...
  2. JamiiForums Tanzania Yanga wapewe maua yao kwenye kitengo cha Habari lakini tovuti rasmi ni kituko, imekachwa, ina muonekano kama blog za udaku. Mtutolee hii aibu

    Ni kweli Yanga ndio walikuwa na tovuti mapema zaidi kuanzia mwaka 2012 tofauti na Simba walioanza kuwa na tovuti mwaka 2019 lakini kinachoendelea kwenye tovuti ya Yanga ni aibu na wala hakiendani na uzito wa idara ya habari inayofanya makubwa kwenye mitandao ya kijamii. Daima mbele nyuma mwiko...
  3. JamiiForums Tanzania Tanzania: Kila anayeteuliwa anaitwa "Kitengo" hivi Wakulima na Wafanyakazi hawawezi kuteuliwa?

    Hii Nchi ni dhahiri sasa kwamba Wananchi wake wamechoka kuwaza , nadhani hali hii inatokana na dhiki zinazowakabili raia ikiwa ni pamoja na umasikini wa kutupwa pamoja na mgawo kabambe wa umeme . Yaani kila mtu ambaye siyo Mtoto wa kiongozi akiteuliwa kushika wadhifa wowote anaonekana ni...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini nchi haina Kitengo cha Intelijensia ya Uchumi?

    Muundo wa Serikali ulivyo ni wazi hatuna kitengo kinachoratibu na kusimamia intelijensia ya uchumi. Kama mipango yetu ingeongozwa na intelijensia ya uchumi maana yake sera zetu zingeeleweka hadi ngazi ya mtaa ila kwa sasa hata mawaziri hakuna ajuaye tuna threat na opportunity gani kisekta...
  5. JamiiForums Tanzania Angola walitangaza zabuni na DP World ikashinda na sasa yasimamia kitengo cha makontena bandari ya Luanda

    Naam, ni DP World Luanda Port. Bandari ya Luanda ni moja ya bandari kubwa nchini Angola kati ya bandari zake zikiwemo za Lobito na Benguela ambazo zipo pembezoni mwa bahari ya Atlantic. Lakini serikali ya Angola kwa kuona ufanisi mdogo uso na tija kwa uchumi wake ikaamua kutafuta mzabuni ambae...
  6. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa TCRA kitengo cha Tovuti

    TCRA napenda kuwashauri kuhusiana na tovuti hasa zinazo onesha maudhui yasiyo faa. Napenda kuwashauri kuwa hakuna haja ya kufungia tovuti za ngono kwasababu tovuti hizo haziwafuati watumiaji na wala hazilazimishi watumiaji kuzifuata bali ni watumiaji ndio wanaozifuata. Kitendo cha TCRA...
  7. JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara: Chanzo la tatizo Kariakoo ni Kitengo cha Forodha Bandarini, Mawaziri hawamsaidii Rais

    Naibu Katibu Mkuu Jumuiya ya Wafanyabiashara wa Mkoa wa Dar es Salaam, Muliro amesema: “Changamoto ya Kariakoo chanzo ni Bandarini kwenye kitengo cha Forodha, pale mifumo ya kodi si rafiki, ukitaja thamani ya kodi halisi hauwezi kutoa mzigo. Kinachofuata unashirikiana na makamishna wa Forodha...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Ungepata nafasi ya kufanya kazi Serikalini, ungependa kufanya kitengo gani? Na kwanini?

    Ungepata nafasi ya kufanya kazi Serikalini ,ungependa kufanya kitengo gani? Na kwanini! Majibu yako, yatazingatiwa
  9. JamiiForums Tanzania TRA kitengo cha elimu kwa mlipa kodi kijitathmini

    Suala la kulipa kodi ni suala la kizalendo hii elimu inatakiwa iwe inawekwa kwenye mitaala ya shule zetu, mifumo yetu ya elimu imejikita zaidi kwenye kuajiriwa hivi majuzi imekuwa kama kauli mbiu ya serikali Kwamba watu wajiajiri kwani serikali haina ajira za kuwapa..inasikitisha sana inapotokea...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Wanaofanya kazi ya kupoteza watu ndani ya "Kitengo" wanapataje kazi hii?

    Kwa mwenye kujua, hivi watu wanaofanya hii kazi ya kikatili wanakuwa na sifa gani za kupewa hii kazi ndani ya Kitengo? Kama ni vibarua, Je, hununuliwa vitu kama bangi waweze kuifanya hiyo kazi pasipo kujali wanachokiofanya? Au watu wakishapata ajira, baadhi yao hupangiwa hii kazi wapende...
  11. JamiiForums Tanzania Kitengo kipya cha majanga ajali kushughulika katika kuokoa maisha ya watu

    Wizara ya Afya imeendelea kuboresha mikakati ya kuokoa maisha ya watu kutokana na majanga na ajali kwa kuanzisha Kitengo mahsusi kitakachoshughulika na kuokoa maisha ya watu kutokana na ajali. Hayo yamesemwa na Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu leo akiwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa...
  12. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maafisa wa Kitengo kinachodaiwa kuua watu Kenya waomba aliyekuwa Mkuu wa Upelelezi (DCI) ajumuishwe kwenye kesi

    Maafisa hao 21 watakaoanza kuhojiwa leo na Kitengo cha Mambo ya Ndani (IAU) wamesema walikuwa wakifanya kazi kwa maelekezo ya kiongozi huyo hivyo wanataka naye ahojiwe. Mmoja wa maafisa amesema "Kwa siku mbili tumekuwa tukihojiwa juu ya mambo ambayo hatuelewi. Tunayosikia ni masuala ya Mauaji...
  13. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania DCI Kenya aanza uchunguzi dhidi ya Kitengo Maalumu cha Upelelezi kinachodaiwa kuteka na kuua watu

    Ni baada ya Rais William Ruto hivi karibuni kusema Maafisa wa (SSU) wanahusika na mauaji na kupotea kwa watu katika mazingira ya kutatanisha. Wamewekwa chini ya ulinzi na kuhojiwa kwa saa 48 wakituhumiwa na kupotea kwa Zulfiqar Ahmad Khan na Mohamed Zaid Sami Kidwai, wafanyabiashara wa Kihindi...
  14. JamiiForums Tanzania Uteuzi Polisi Trafiki ufanywe na kitengo maalum kati ya TISS , TAKUKURU na Polisi Makao Makuu badala ya RPC wa mikoani

    Sasa ni wakati wa kupindua meza trafic police wachaguliwe na kitengo maalum badala ya kuteuliwa na maRPC wa mikoa kwenda kuwakusanyia fedha barabarani. Iwapo MaRPC Watson dolerà jukumu hilo Jeshi la polisi litaluwa Jeshi la kisasa lisilo na rushwa barabarani. RPC akimteua trafic lazima...
  15. JamiiForums Tanzania Utumishi mko wapi nane nane?.

    Hawa utumishi ndio ilikuwa fursa ya kutatua changamoto za vijana kwenye mfumo uombaji wa ajira kwa kanda zote kipindi hiki cha nane nane kupunguza usumbufu wanaopata vijana,cha ajabu tafuta huwaoni hasa kanda ya nyanda za juu kusini inayofanyika mbeya wenzenu karibia wote wapo. ninyi mnakwama wapi?
  16. JamiiForums Tanzania Kitengo cha Intelijensia cha Simba kipewe kongole

    Kufuatia dili nono walilo saini Simba Sc leo na kampuni ya michezo ya kubaatisha ya M BET ni wazi Simba Sc ina stahili kongoleee. Na pongezi kubwa zinakwenda kwa kitengo cha inteljensia ambao wali angazia ili diki mapema kisha waka nyutii kimyaa kisha kumcholesha aliyekuwa mzamin wa zamqn kwa...
  17. JamiiForums Tanzania Tanzania railway corporation (TRC) kitengo chenu cha IT kinachanganya wateja (wasafiri)

    Kitengo cha IT kinacho shungulika na kuratibu mambo ya kuweka ratiba za train kutoka sehemu moja kwenda nyingine kimekuwa mwiba(kichomi) kwa wateja ambao wanatumia website za TRC kupata hudumu za tiketi. Kwanza kabisa kumekua na tatizo la usumbufu wa Internet katika website zao yaani kupata...
  18. N

    JamiiForums Tanzania AIBU KUU:KITENGO CHA GRAPHICS KILISAHAU KUBADILI FONTS "MATOKEO YA 12-0"

    Ni muhimu sana kitengo chetu cha graphics kiwe very careful katika propaganda za kuwafurahisha wanachama na mashabiki wetu kwani katika kundi la wajinga wwalio wengi kuna wajanja wachache wana o notice vitu vidooogo kama vile FONTS zilizotumika...kwenye picha ya okrah weupe haujatolewa vizuri...
  19. JamiiForums Tanzania Kero: RC DSM tuondolee kampuni zinazokamata magari ni kero na zinachochea rushwa rushwa

    Kilio chetu kwa mkuu mkoa DSM sisi wananchi mkoa DSM kuna tabia sasa imerudi ilikuwepo zamani ikaondolewa wakati fulani sasa imerudi tena kwa kasi. Kuna kampuni zimesajiliwa sijui na TARURA kukamata magari barabarani pale unaposimama na kupaki mahali au gari ikiwa imeharibika njiani. Kwanza ni...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Mrejesho wa usahili wa TANROADS Songea kitengo cha mizani

    Habari wakuu samahani nilikua nauliza kuna mtu yeyote aliyepigiwa simu baada kufanya oral interview ya tar 18/5 mwaka huu
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…