luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,328
- 6,877
Kufuatia dili nono walilo saini Simba Sc leo na kampuni ya michezo ya kubaatisha ya M BET ni wazi Simba Sc ina stahili kongoleee.
Na pongezi kubwa zinakwenda kwa kitengo cha inteljensia ambao wali angazia ili diki mapema kisha waka nyutii kimyaa kisha kumcholesha aliyekuwa mzamin wa zamqn kwa kumuuliza anaongezq bei gani?
Ni wazi mzamini wa zamani alikuwa hawezi kuongeza zaidi ya kile kiasi alichopeleka upande wa pili, sasa hapa nawapongeza kitengo cha masoko na intelijensi cha simba kwa sababu kwa makampuni makubwa imekuwa ni hulka kudhamini vilabu ivi viwili ukirejea zamini za makampuni makubwa kama ile ya kinywaji cha maji ya gold, huyu aliye pita sipoti pesa, tazama huyu mwenye haki ya matangazo.
Ukitazama hapa Simba waliamua kuchukua muelekeo mpyaaa yaan kumpoteza kabisaaa Utopolo .
Hakika Simba sc mnastahili pongezi .Bibie Barbara Gonzalenzi ww dada ni fire sanaaaa