kitendo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. 44mg44

    Kitendo cha kumuengua Kagere na kumsajili mzungu, kuna mabadiliko chanya au hasi??

    Ndugu zangu Wana Simba nahisi performance ya Timu yetu tumeiona na hapa nawahakikishieni kama itaendelea hivi tusitegemee ubingwa wa ligi kuu. Ukiangalia usajili uliofanyika naona hakuna mabadiliko chanya yeyote. Tusidanganyane mbadala wa Kagere haupo kabisa, Bora hata wangemwacha tu!! Nini...
  2. More Chances

    Sijafurahishwa na kitendo cha Paula Kajala

    Binti ni mzuri kweli mimi kama mwanaume rijali nakubali hilo bila kupinga. Lkn kitendo cha kupost picha zake yuko uchi hii ni kinyume na maadili yetu na tamaduni zetu watanzania. Naomba mamlaka husika zikomeshe tabia hii maana ni indicator tosha kuwa tupo kwenye mmomonyoko mkubwa wa maadili na...
  3. Mystery

    Kitendo cha Bunge kuendelea kuwakumbatia wabunge waliovuliwa uanachama wao na Chadema, kinaonyesha udhalilishaji wa mhimili wa Mahakama?

    Tulipokea taarifa jana kuwa Mahakama Kuu, chini ya Jaji John Mgeta, kuwa ameyatupilia mbali maombi ya wabunge 19, wakiongozwa na Halima Mdee, waliofungua shauri lao Katika Mahakama hiyo kupinga kuvuliwa uanachama wao na kilichokuwa chama chao cha Chadema. Ikumbukwe kuwa wabunge hao mwezi...
  4. JanguKamaJangu

    Wabunge waliofukuzwa CHADEMA wapo Bungeni leo Juni 23, 2022, Spika kawaruhusu kuuliza maswali

    Wabunge wa Viti Maalum, Salome Makamba na Grace Tendega wapo Bungeni, leo Alhamis Juni 23, 2022 na wameuliza maswali ya nyongeza baada ya kupewa fursa hiyo na Spika wa Bunge, Dk. Tulia Ackson. Wabunge hao walifukuzwa uanachama CHADEMA na kesi waliyofungua kupinga kufukuzwa Mahakamani imetupwa...
  5. sky soldier

    Kitendo cha Manara kumpiga madongo ya wazi Barbara ni ukatili, binti wa watu almanusura azimie

    Huu ni udhalilishaji Kwa kweli kitendo cha Manara kumtupia madongo huyu binti ilikuwa ni ukatili, yani Barbara alikuwa anaombea tu muda uende haraka Manara amalize maana si kwa makombora ya madongo haya Manara aliyokuwa akimfyatulia binti, Manara ana mdomo mchafu aiee. Ilibidi binti wa watu...
  6. Thailand

    Kitendo cha Rais kusimamisha hotuba kisa Adhana ya waislam imakaaje hii kitaifa?

    Leo tarehe 1/5/2022 Rais akiwa anawahutubia wafanyakazi Dodoma katika siku muhimu ya wafanyakazi duniani, ilitokea kusitishwa hotuba Kwa dk kama 3 na Rais pale Adhana ya mchana ilipokuwa ikisika kutokea msikitini karibu na uwanja wa Dodoma. Hivi wadau wa utaifa hili lilipaswa kufanywa na Rais...
  7. K

    Kitendo cha Simba kuwasha moto uwanjani dhidi ya Orlando Pirate hakitawaharibia?

    Kabla ya mchezo baina ya Simba na Orlando Pirates Simba walifanya kituko cha kuwasha moto na kuweka duara kwa kuzunguka ule moto. Je, hiki kituko hakitawaharibia?.
  8. chiembe

    Luhaga Mpina kudaiwa kudhulumu ardhi ya Kijiji ekari 1000 Morogoro, Wizara ya Ardhi iingilie kati

    Serikali ndio mtetezi wa wanyonge dhidi ya matapeli papa wanaodhulumu wanakijiji ardhi yao, hawa ndio wanazua migogoro mikubwa sana kati ya wananchi, na kati ya serikali na wananchi. Nashauri wizara ya ardhi iunde timu ikachunguze na Kisha ichukue hatua ya kurudisha ardhi hiyo kwa wanakijiji...
  9. S

    Ujumbe kwa Dkt. Slaa: Uungwana ni kitendo, jitokeze ukamtembelee Freeman Mbowe

    Ni hivi karibuni ulisikika kwenye vyombo vya habari ukikasirishwa na watu wanaosema "Mbowe siyo Gaidi" ukakasirishwa na wafuasi waliokuwa wanahudhuria Mahakamani wakati kesi ya Mbowe na wenzake ikiendelea, mwisho ukasema swala la Mbowe ni Gaidi au siyo Gaidi iachiwe Mahakama. Ni takribani siku...
Back
Top Bottom