kitanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wa Kitanzania huwa hawajiamini wanapokua kwenye mahusiano na sisi wanaume Mabrothermen?

    Kwanza ieleweke mwanaume brothermen sio kwamba ni bishoo,hapana yani sisi ni wale wanaume watanashati, tunajipenda hatuna shobo za kijinga kwa binadamu yeyote, tuna vijisent vya hapa na pale vya kuendesha maisha yetu ya kila siku, tunasukuma ndinga pendwa na vijana wa mjini kama vile crown etc...
  2. JamiiForums Tanzania Traders tuungane kwa pamoja kuwa komboa vijana wenzetu kwenye depression

    Habarini za saiz wakuu, napenda kutoa wito huu kwa Traders wenzangu....waje hapa tushare analysis. Nawasilisha.
  3. JamiiForums Tanzania Nikiona kijana wa Kitanzania anapata taabu nafurahi sana

    Hello! Najua mtasema nina roho mbaya, mara roho ya kichawi. Hapana. Niko fiti, nina upendo wote wa Kimungu. Kwanini nifurahi ninapoona kijana wa Kitanzania msomi kwa mjinga wakipata taabu katika maisha? •Kwasababu vijana wa Kitanzania ni much know, hawashauriki. Unamweleza pita hapa pita kule...
  4. JamiiForums Tanzania Hiki ni kielelezo cha jamii yetu ya Kitanzania, tabia na hulka zetu

    Wasalaam, Niseme nimesikitishwa mno, tena kupita maelezo, mtu tuliyekuwa tunaheshimiana sanaa, tunaitana "wakuu", kila tunapokutana kwenye nyuzi hapa JF, "mkuu" ni nyingi, mkuu wangu akanipa mchongo wa kuwekeza mahali fulani huku akijinasibu kuwa yeye anakula mafao (millions) ya uwekezaji wake...
  5. JamiiForums Tanzania Fursa Kwa Madada WA Kitanzania ambao hawajaolewa.

    Kama kichwa cha Habari kinavyojieleza. Kwenye pita pita zangu huko mtandaoni nikakutana na Habari ya kijana Mmoja WA ki Jerumani anataka msichana WA Kitanzania Kwa lengo la ndoa. Nimeweka screenshot hapo chini inajieleza kabisa. Mkitaka maelezo zaidi mnaweza kwenda kwenye account yake ipo...
  6. JamiiForums Tanzania Nini kilipelekea 1 Us dollar kubadilishwa kwa shilingi za kitanzania 7 mwaka 1960 mpaka shilingi 2600 mwaka 2024 ?

    Karibuni wataalamu wa Siasa na Uchumi . 1966 - 1 US dollar ilikuwa shilingi 7 za kitanzania . 2024 -1 us dollar ni shilingi 2600 za kitanzania. Hapa inaelezwa thamani ya shilingi ya Zanzibar kwa kipindi hicho
  7. JamiiForums Tanzania Mafundi wa Kitanzania badilikeni

    Hapa nitaongea kwa ufupi sana na hii mada inawahusu mafundi wa aina zote hasa wale wanaokuja majumbani au maofisini kufanya matengenezo fulani kuanzia mafundi ujenzi, wapakaji rangi, fundi umeme hadi fundi wa maji. Kuna mambo mawili ambayo yanakera sana ambayo wanafanya mafundi wa Kitanzania...
  8. JamiiForums Tanzania Njia za Kuimarisha Ujuzi wa Programming kwa Watoto wa Kitanzania: Kuanzia Shule za Msingi Hadi Vyuo Vikuu (Tupate Fluent Programmers)

    Utangulizi: Habari wana JF! Leo ningependa kushiriki nanyi mawazo juu ya jinsi Tanzania inaweza kuzalisha programmers wenye ujuzi wa hali ya juu kwa kuanzisha elimu ya programming kuanzia shule za msingi hadi vyuo vikuu. Kwa sasa, wanafunzi wengi wanakutana na programming mara ya kwanza wakiwa...
  9. H

    JamiiForums Tanzania Vijana wa kitanzania tupunguze na kuacha haya mambo Kwa sisi tunao jitafuta

    Vijana wengi tz tunajitafuta huku tukiwa hatujui ni lini tutajipata kuwa na maisha Bora ya Leo n kesho za watoto wetu. Viko vitu Kwa vijana wengi huvifanya kama njia za kuona watafanikiwa zaidi wao baadhi kumbe ndio wanaji tokotesha jumla jumla. Vitu vifuatavyo tukiacha vijana wa kitz...
  10. N

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tumtue mama wa kitanzania madeni kwa ustawi bora wa taifa

    Hivi karibuni,tumeshuhudia wingi wa ofisi ndongo ndogo za mikopo katika nchi Yetu,mikopo iliyopewa majina tofauti tofauti,lakini ikiwa inasadifu ugumu wa mikopo iyo katika urejeshwaji wake. Hapa ninazungumzia taasisi za mikopo ambayo haijasajiliwa na BOT(Bank of Tanzania). Mkopo ni mzuri...
  11. JamiiForums Tanzania SoC04 Eight(8) Secrets of Combating poverty among Tanzania youth's toward New Tanzania

    Poverty among youth's in Tanzania is very serious issues thereby inorder to ensure every youth in Tanzania become financially secure the following are 8 Secrets to concentrate as explaned by six points below 1. Education and Continuous Learning Education forms the foundation for personal...
  12. G

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mfumo na muundo wa elimu ya kitanzania uboroshwe kuendana na fura za kujiajiri na ajira duniani

    Utangulizi Tanzania imekua miongoni mwa nchi ambazo imekua ikukumbwa na janga la ukosefu wa ajira kwa wahitimu wa vyuo, vijana na wananchi wengi kiujumla, na tatizo ni kwamba wasomi wamekua ni wengi lakini mahala pakufanyia kazi pamekua ni pa achache au kwa ufupi ajira zimekua finyu lakini...
  13. JamiiForums Tanzania Nikiangalia comment za vijana wa kitanzania kuhusu maandamano ya Kenya ni kama mnatamani ila mnashindwa nani aanzishe. Msithubutu tuipende nchi yetu

    Habr wanjf. Ukweli nimekuwa nikufautilia kwa ukaribu siasa na uchumi wa Kenya, pia maono ya watu mbalimbali, kisaikolojia ukisoma comment nyingi inaonesha wazi vijana wengi wameshaanza kujiona wako tofauti na vijana wa nchi jirani au nchi zingine. Hivyo imekuwa kama mfano halisi kwao. Naomba...
  14. G

    JamiiForums Tanzania Kuna tatizo gani Nigeria ? Kutoka Naira 1 = Shilingi 5 za kitanzania mpaka shilingi 1.8 na bado inazidi kuporomoka.

    Ni kipi hasa kinaendelea huko kwa kina Oga, Tulishazoea kwa muda mrefu Naira moja ni shilingi 5.x ila kwa sasa imeshuka mpaka 1.79
  15. JamiiForums Tanzania Vijana wa Kitanzania waibuka kidedea Mashindano ya TEHAMA Nchini China

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye, amewapongeza vijana watatu wa Tanzania - Dickson Mram, Matimu Mahimbo na James Amos - kwa kuibuka washindi katika mashindano ya TEHAMA duniani ya Huawei yaliyofanyika Mei 23-26,2024 Shenzhen, China. Vijana hao wenye ujuzi...
  16. JamiiForums Tanzania Hawa ni watanzania 10 chini ya umri wa miaka 50 walioleta mabadiliko chanya kwenye jamii kupitia vipaji na vipawa vyao walivyojaliwa

    Hii ni orodha tukufu ya watanzania wenye umri chini ya miaka 50 walioweza kufanya mapinduzi makubwa kupitia jinsi walivyojaliwa na muumba. 1. ZITTO KABWE Haina ubishi Zitto ndo aliamsha wengi kuona inawezekana kuwa mwanasiasa mkubwa mwenye umri mdogo tena kupitia upinzani. Zitto aliingia...
  17. JamiiForums Tanzania SoC04 Wahitimu wa kidato cha sita wanapojiunga JKT watengewe muda wa kuishi kwenye jamii halisi za Kitanzania

    Jeshi la kujenga taifa (JKT) ni moja ya chombo kilichoundwa tarehe 10 Jul, 1963 baada ya nchi yetu kupata uhuru. Lengo kuu ni kuelimisha, kudumisha uzalendo, maadili na nidhamu ya vijana na kuwafanya wawe raia wanaopenda kutumikia na kuiilinda nchi yao. Mara baada ya kumaliza kidato cha sita...
  18. JamiiForums Tanzania Mfumo mbovu wa elimu ndio unazalisha ukosefu wa ajira kwa wasomi vijana wa kitanzania

    Wadau habari za muda poleni na majukumu ninaomba kuuliza kwa wazoefu kwa nini serikali aitaki kuona elimu yetu imepitwa na wakati wabadili mfumo wa elimu uliopo uwe kama nchi zilizoendelea ili nasisi tuweze kupunguza matatizo ya kukosa ajira kwa wahitimu wa chuo.Mfano unakuta ajira zimetangazwa...
  19. JamiiForums Tanzania Program ya BBT ina manufaa gani Kwa vijana wa kitanzania?

    Ni mwaka wa pili sasa nafuatilia hii program ya BBT iliyo anzishwa na mh Bashe chini ya wizara ya kilimo , nilichogundua hii program ni ya kisiasa na kidarali watu wanapiga pesa vibaya mno na vijana wanapotezewa mda na kutumikishwa kama watumwa wakipewa ujira na Kwa malimbikizo. Naona bora...
  20. S

    JamiiForums Tanzania SoC04 Uboreshaji wenye kuleta unafuu wa usafiri kwa watoto wa Kitanzania (wanafunzi) na chakula mashuleni kote

    Awali ya yote nipende kutoa shukurani za kipekee kwa uongozi wa JF na wahisani wengine kuwezesha jukwaa hili kuwa kitovu cha mawazo mapana ya kuijenga nchi yetu ya Tanzania. Nikienda kwenye mada ya namna ya kuboresha sekta ya usafiri ili iweze kuleta wepesi kwa watoto wa kitanzania kupata...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…