Katika maisha ya kila siku, tunalazimika kuishi, kufanya kazi, au kushirikiana na watu wa kila aina. Wapo wanaotutia moyo, wanaotufanya tucheke hata tukihisi kuzidiwa na mzigo wa maisha; lakini pia wapo wanaotuchosha kwa maneno yao, tabia zao, au hata hulka zao ambazo, kwa dakika chache tu...
Kama huu uwanja ni billion 12 na unabeba watu 16,000 na upo kenya
Basi kwa Tanzania tunaweza jenga kila mkoa mfano wa hiki kiwanja na tukafanya kikawa kizuri zaidi
Tufanye ni billion 16 kwa uwanja mmoja tuna mikoa 31 jumla ni sh billion 496,000,000,000/= hii inawezekana kabisa
Mimi nikiwa...
Leo nimeamini pasi na shaka kuwa Mwamba anahusika na huu mradi wa hama hama ndani ya Chadema na kwakweli bado sijajua sababu hasa ni nini.
Labda anataka kuona kuwa yeye ndiye Chadema? Lakini yote haya ni matokeo ya kiongozi kukaa madarakani muda mrefu maana mwisho wa siku anatengeneza mtandao...
Dada zetu mnafeli wapi? Kwanin wasanii wakubwa hawapendi kuoa dada zetu WA hapa tz?
Jux Kaenda Nigeria
Alikiba alienda Kenya
Benpol alienda Kenya
Na kuna tetesi kuna safari nyingne ya Nigeria kumsindikiza Simba kwani hana mpango WA kumuoa binti kizimkazi.
Hii HARUSI imetikisa, kila siku...
Leo nimkutana na hiki kisa mshikaji analalamika: Mwanao anakupigia simu ana shida ya HELA anakwambia nitaregesha baada ya siku mbili, kimoyomoyo unasema ngoja nimpe tu mwanangu asovu mambo yake wala hakuna haja ya kunirudishia.
Ghafla baada ya siku mbili unampigia mwanao simu kapiga BLOKU afu ww...
“Leo nimeweza kujumuika na watu wengine wa sehemu mbalimbali duniani kuadhimisha Siku ya Kifua Kikuu Duniani, hii yote ni kutokana na hatua ya kuokoa maisha ya kikundi cha 34 cha timu ya madaktari wa China visiwani Zanzibar,” alisema Seif Hassan Mbarouk mgonjwa wa kifua kikuu Zanzibar , huku...
Kijana wa Kitanzania
1. Akioa/Kuolewa mnamchangia
2. Akifa/Akifiwa mnamchangia
3. HBD yake ikifika mnamchangia
4. BBY shower ya mtoto wake mnamchangia
Lakini
Akikosa Mtaji Hakuna wa kumchangia👀
Mwekezaji wa Kitanzania, Josiah Mrimi, ameweka wazi changamoto alizokumbana nazo wakati wa kuanzisha kiwanda cha kuchakata mafuta ya parachichi, Murikado Food Supply, kilichopo katika kijiji cha Itulahumba, wilaya ya Wanging'ombe, mkoa wa Njombe.
Akizungumza siku ya Jumatatu mbele ya Waziri wa...
Klabu ya Simba SC imesaini mkataba wa zaidi ya Shilingi Bilioni 30 na kampuni ambayo imeshinda tenda ya uzabuni wa kutengeneza jezi na kusambaza vifaa vyenye nembo ya Simba Sports Club.
Inatajwa ni mkataba wa miaka mitano na ni kampuni ya Kitanzania.
Pia, Soma
Kampuni ya Umbro yaomba tenda...
Njia Kumi za Kumkwamua Kijana wa Kitanzania Kiuchumi/Biashara
Ili kumkwamua kijana wa Kitanzania kiuchumi na kibiashara, kuna njia kadhaa ambazo zinaweza kuchukuliwa. Kila njia ina mifano yake maalum ambayo inadhihirisha umuhimu na ufanisi wake. Hapa chini ni njia kumi pamoja na mifano ya...
Wadau wa JF, Karibuni!
Wadau wa JF, habari za siku? Poleni na pilika pilika za maisha, najua mitaa imewaka, wengi wanahaha huku na kule kutafuta mkate wa kila siku. Lakini si wote wanahaha – wapo wale waliotoboa, wanadunda bila stress, huku wengine wakibaki wakiwatazama tu kwa mshangao. Swali...
https://youtu.be/9ebMOVI87h0?si=sJm0h1XJPQDVVuaQ
Jana nimetumiwa hiyo link na rafiki zangu ambao sio watanzania wakishtushwa na kukasirishwa na huyo mzungu akiwadhalilisha Watanzania hasa Wanawake,
Kwenye comments nimesikitishwa na baadhi ya wanaume wa Kitanzania wakimsapoti na kujichekesha...
Ninawaza kwa Sauti ya chini sana nikiwa nakunywa taratibu kiburudisho kisicholewesha.
Ni hivi vijana wengi wa Kitanzania wamekuwa na ndoto au matamanio ya kujiunga na jeshi la JW na hivyo kupelekea wengine kushindwa vigezo vya kujiunga na jeshi hilo na wengine kudondokea kwenye mikono ya...
Naishi Dar es salaam nimewahi kufanya kazi kwenye shule za private ili nilishndwa kuendlea kufanya kazi sabbu shule ambazo nilibahatika kufanya kazi hawalipi mishahara Kwa wakati unaweza kukaa hata miezi mitatu hujalipwa hivyo naombeni mnisaidie connection ya kazi yoyote ambayo itaniingizia...
Mtanzania baharia aitwaye Fadhili Mohamed Omar amefariki akiwa kwenye meli nchini Uholanzi baada ya kujinyonga.
Kwa mujibu wa taarifa marehemu alikua ni mwenyeji wa mji wa Moshi, mkoa wa Kilimanjaro...
Klabu ya Yanga imewapa taarifa Kwa barua rasmi wachezaji wake wawili Clement Mzize pamoja Aziz ki kuwa watakuwa sokoni mwishoni mwa msimu huu
Mzize mwenye miaka 21 ametakiwa na club ya Wydad ambayo ilituma offer ya billion 2.5 ambapo Yanga ilipuuza offer hiyo
Leo mchana timu ya Al Ahly Tripoli...
Ithamini Sana Shillingi 100 Uipatayo: Uhalisia wa Maisha ya Kitanzania
Katika mazingira ya maisha ya Kitanzania, shilingi 100 inaweza kuonekana kama fedha ndogo, lakini ina umuhimu mkubwa unaokwenda zaidi ya thamani yake ya kawaida. Maisha ya kila siku yanaendeshwa na juhudi za kila mmoja...
Mimi ni mtu wa sales and marketing na huwa inanipa wakati mgumu kumuelezea mwanamke(hawa ambao ni zero brain waliojaa mitaani but ni pisi kali)
Kazi yangu inahusika na nini,na kwa nature ya kazi yangu naweza nikapitisha hata siku tatu nisiingie job as order zinakua zinaflow zenyewe tu kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.