kitanda

  1. Waufukweni

    Huwa mnatandikaje Kitanda Wakuu? Msinijibu vibaya naumwa!

    Wakuu, mimi sijui kabisa kutandika kitanda 😅 Huwa mnatandikaje? Naomba mnisaidie hatua za kufuata, msinijibu vibaya maana naumwa.
  2. Pdidy

    PASTA HANANJA MASHABIK WA BARCELONA NA ARSENAL TUNAOMBA MAOMBI YAKO USIKU HUU WENGINE KITANDA HAKILALIKI

    BABA MTUMISHI ZA ASBH KWANZA NAJUA HAIJAFIKA INAKARIBIA NIMEONA SEHEMU VIJANA MUAMKE.MAOMBI YA USIKU MAISHA YAMEKUWA MAFUPI SANA TUMJUE MUNGU AMEN KUONGEZEA USIKU WA LEO KAMA UJALA MASHABIKI WA BARCELONA NA ARSENAL WANAOMBA MAOMBI YAKO WAPATE AMANI NA FURAHA MAISHAN MWAOO AMEN
  3. FORBIDDEN HISTORY

    Niliwahi tumia chumvi kuzungushia katika kila angle ya kitanda, usiku nilihangaika sana kulala, ndoto mbaya na taflani kubwa ambayo sijawahi ona

    Sina cha kufaidika kuwadanganya katika hili ila ndio hali ilionipata usiku huo. Wala sikulala na taharuki na wlaa sikulala katika mawazo ya kitanda changu kuwa chumvi ila nilipitia hali ngumu aisee Ningependa kupata elimu nzuri kuhusu chumvi hii ya mawe, ili tusaidiane namna nzuri ya kuitumia
  4. ADESIGN

    Nauza kitanda inch 6×6 kirefu ni sofa bed nyeupe kikubwa 280,000

    Kwa mwenye uhitaji anipigie 0684101707, nimeweka picha hapo haijakamilika sina picha nyingi maana nilikifungua pindi tu nimejifungua, kitanda kina hali nzuri,
  5. Inside10

    Arumeru: Akatwa Uume na Mkewe kisha kutupwa uvunguni mwa Kitanda Usiku Manane

    Mwanaume mmoja anayefahamika kwa jina la Baraka Melami (40) mkazi wa kitongoji cha juhudi kijiji cha Olevolosi kata kimnyaki wilayani Arumeru Mkoani Arusha amekatwa uume wake na mkewe anayejulikana kwa jina la Anna Melami miaka (30) usiku wa kuamkia tar 19 saa saba usiku. Akisimulia kisa hicho...
  6. Dogoli kinyamkela

    Kama unahitaji kuwa na upendo na mwenzi wako badi chukua kiatu chako cha mguu wa kulia kisha weka juu chini ,chini ya kitanda mnacholalia

    Kama unahitaji kuwa na upendo na mwenzi wako badi chukua kiatu chako cha mguu wa kulia kisha weka juu chini ,chini ya kitanda mnacholalia hapo hatoweza kutoka nje na mwanamke yeyote na siku zote atakuwa nawe. Asili ni nguvu💪
  7. Bi zandile

    Usiharibu starehe ya tendo la ndoa kwa kuweka simu karibu na kitanda ikiwa on

    Imagine simu yako ikilia wakati unapofanya mapenzi na umenogewa na mikito ya raha.... Hapo lazima mood iharibike. Mpendwa usiruhusu skrini kuua muunganisho wako na mpenzi wako. Weka simu mbali na kitanda na uizime kabisa utanishukuru. Baadhi ya mambo yanastahili kuzingatiwa bila kugawanyika...
  8. B

    Kitanda 5×6 kinauzwa

    Kitanda kinauzwa NAUZA bei...ni 250,000.. pamoja na kila kitu (taa zake,bedsides,hicho kibox cha kutunzia vitu )mi nilitengenezakwa 650,000 mahali: gongolamboto piga simu 0683473391 uje ukague uchukue
  9. 1Africa54

    Bei ya kitanda Cha mninga?

    Mwenye anajua bei ya kitanda Cha mninga design ni SABUFA
  10. Dogoli kinyamkela

    Ndoa zina mambo!Mimi sio nabii ila usiku huu kuna mwanaume kaamua tu alale sebuleni kwenye makochi, amwache mkewe alale chumbani kwenye kitanda

    Ndoa zina mambo! Mimi sio nabii ila usiku huu kuna mwanaume kaamua tu alale sebuleni kwenye makochi, amwache mkewe alale chumbani kwenye kitanda. Ee Mungu nusuru ndoa za waja wako🙏
  11. KING MIDAS

    Kitanda na rangi za chumba nilichoandaliwa ukweni kimenisononesha sana

    Nimeoa kwenye mkoa mmoja wa Kanda ya Kaskazini ambako huko kunatajwa na kuogopwa sana na watu wasio wa ukanda huo, kwani kunasifika kwa kuua mume akiwa na mafanikio. Hii sio mara ya kwanza kuwatembelea wakwe zangu, na mara zote huwa naandaliwa chumba kizuri chenye kitanda kikubwa, rangi za kuta...
  12. 1Africa54

    Wakuu mwenye anajua mbao hivi vitanda ni vya mbao gani na muundo wake unaitwaje na Kwa tathmini ni mbao ngapi zimetumika

    Wakuu mwenye anajua mbao hivi vitanda ni vya mbao gani na muundo wake unaitwaje na Kwa tathmini ni mbao ngapi zimetumika
  13. 1Africa54

    Wakuu mwenye anajua mbao hiki kitanda ni Cha mbao gani na muundo wake unaitwaje na Kwa tathmini ni mbao ngapi zimetumika

    Wakuu mwenye anajua mbao hivi vitanda ni vya mbao gani na muundo wake unaitwaje na Kwa tathmini ni mbao ngapi zimetumika
  14. 1Africa54

    Wakulima debe la mpunga hutoa kilo ngapi za mchele?

    Wakulima debe la mpunga hutoa kilo ngapi za mchele? Apa nilipo debe la mpunga ni 15,000 nataka kujua hutoa kilo ngapi ili nijue gharama ipo wapi, mchele dukani kilo ni 2,400-2,600
  15. Expensive life

    Mafundi nisaidieni hichi kitanda ninunue mbao ngapi za mninga?

    Habari zenu? Wakuu nisaidieni hapa nahitaji kupunguza gharama, hichi kitanda mafundi wananitaji bei kubwa sana. Hivyo nimeona ili kupunguza gharama ni bora nikanunue mbao mwenyewe, fundi nitakubaliana naye matengenezo tu vifaa vingine vyote juu yangu. Wajuzi nisaidieni hapo ninunue mbao ngapi...
  16. Isenye

    Je ni sahihi kufanyia ngono na mwanamke meingine kwenye kitanda ulichokua unalalia na mkeo?

    Mke kanikimbia siku ya tatu leo,niko tu mwenyewe hapa home,naona ugwadu umenikamata sio poa.nafikiria kuvuta manzi mwingine tu hapa mtaani nimgongee hapa hapa home. Je ni sahihi kulala na mwanamke mwingine kwenye kitanda mnacholalia na mkeo?
  17. mtataina

    Tunauza sun bed / kitanda cha beach cha mbao za plastiki

    Habari ndugu, tunauza vitanda vya beach pamoja na hotelini, vitanda hivi ni imara na vinadum mana tunatumia mbao za plastiki ambazo haziozi, haziliwi na wadudu, wala mchwa, mbao ni imara sana zinafaa ata sehem zenye majimaji, vitanda hivi ni vzr sana , tunapatikana dar es salaam na zanzibar...
  18. KING MIDAS

    Dwight York:- Msimu wa 1999/2000, alikuwa akilala na wanawake 3-5 kwa siku

    Dwight Yorke amefichua kwamba wakati wa msimu wa 1999/2000, alikuwa akilala na wanawake 3-5 kwa siku: "Katika miaka yangu ya baadaye Man United, wanawake walikuwa wakinijia kila mara. Nina watoto huko nje ambao sijakutana nao, na nina uhakika mmoja wao yuko kwenye Ligi ya Premia hivi sasa...
  19. Pdidy

    Penzi likiisha badilisheni kitanda mashuka ikiwezekana nenda HATA Nje ya nchi Katoe stress

    Wassalahm allheikhum Wote kwa wnaoendelea na mateso ya mapenzi na bado mmenganganna chumba KIMOJA Nawape tu hints penzi ukiona limeisha badilisha style ya kitanda kama mLIKUWA mnalala kwa urefu nendeni mkalale kwa upana Ikiwezekana lalen opp side mpaka kieleweki Aka mzungu WA NNE Usiforcee...
  20. Pdidy

    Penzi likiisha badilisheni kitanda mashuka ikiwezekana nenda HATA Nje ya nchi Katoe stress

    Wassalahm allheikhum Wote kwa wnaoendelea na mateso ya mapenzi na bado mmenganganna chumba KIMOJA Nawape tu hints penzi ukiona limeisha badilisha style ya kitanda kama mLIKUWA mnalala kwa urefu nendeni mkalale kwa upana Ikiwezekana lalen opp side mpaka kieleweki Aka mzungu WA NNE Usiforcee...
Back
Top Bottom