Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 3,939
- 12,429
Habari zenu? Wakuu nisaidieni hapa nahitaji kupunguza gharama, hichi kitanda mafundi wananitaji bei kubwa sana.
Hivyo nimeona ili kupunguza gharama ni bora nikanunue mbao mwenyewe, fundi nitakubaliana naye matengenezo tu vifaa vingine vyote juu yangu. Wajuzi nisaidieni hapo ninunue mbao ngapi na za size ipi? Ahsante.