Tafsiri ya kitabu The Merchant of Venice.
1939.
SHYLOCK (SHAILOKI) NA ANTONIO
SHYLOCK, Myahudi, alikaa Venice (mji mmoja wa Uitalia). Alikuwa mkopeshaji fedha wa namna mbaya kabisa. Yaani yeye hungoja hadi mchuuzi awe katika hali ya dhiki kubwa ya kuhitaji fedha; ndipo Shylock humkopesha fedha...